Yanga yamtambulisha winga wake wa kushoto Skudu kutoka Marumo Gallants

Yanga yamtambulisha winga wake wa kushoto Skudu kutoka Marumo Gallants

Winga hatari anaweza kutoka kwenye timu iliyoshuka daraja kweli?

Kwa miaka 11 Skudu amecheza dakika 4422 sawa na mechi 50

Hersi anatuchukuliaje sisi wananchi?
Andy Robertson alitoka timu gani kwenda liver
 
Hatimaye Club ya Yanga imefanikisha kunasa saini ya mchezaji kinda kutoka Afrika Kusini anayeitwa Mahlatsi Makudubela (33) almaarufu kama Skudu.

Mchezaji huyo kinda (33) alikuwa anakipiga kwenye timu ya Marumo Gallants ya Afrika kusini iliyofika nusu fainali kombe la shirikisho Africa.

Kwa sasa Club yake ya zamani imeondolewa ligi kuu huko Afrika kusini kutokana na kutofanya vizuri na kusababisha ishuke daraja.

Mwana nusu fainali huyu alizua gumzo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kutoka na tetesi zake za kujiunga na miamba ya Soka ya Jangwani.

Club ya Yanga imempa jezi namba 6 winga huyu na anatarajiwa kufanya makubwa sana.

Hii ni replacement nzuri ya Morrison.View attachment 2693016View attachment 2693017View attachment 2693018View attachment 2693019View attachment 2693020View attachment 2693021View attachment 2693022View attachment 2693023
Umeandika miaka 33 je anaweza kuwa kinda?
 
Back
Top Bottom