Yanga yamtambulisha winga wake wa kushoto Skudu kutoka Marumo Gallants

Tupe takwimu za mikson pale al ahly kacheza mechi ngapi na kafunga goals ngap?
Mikson mnaemkimbilia hajacheza hata mechi moja kwa msimu

Au ndo top scorer pale egypt

Yanga tuna mchezaji kutoka psl ambayo ndo league bora africa
Sasa wewe chagua
Mchezaji aliyekaa benchi Al ahly bingwa wa Afrika au kwasukwasu lililoshuka daraja psl
 
Hatimaye Club ya Yanga imefanikisha kunasa saini ya mchezaji kinda kutoka Afrika Kusini anayeitwa Mahlatsi Makudubela (33) almaarufu kama Skudu.

Mchezaji huyo kinda (33) alikuwa anakipiga kwenye timu ya Marumo Gallants ya Afrika kusini iliyofika nusu fainali kombe la shirikisho Africa.

Kwa sasa Club yake ya zamani imeondolewa ligi kuu huko Afrika kusini kutokana na kutofanya vizuri na kusababisha ishuke daraja.

Mwana nusu fainali huyu alizua gumzo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kutoka na tetesi zake za kujiunga na miamba ya Soka ya Jangwani.

Club ya Yanga imempa jezi namba 6 winga huyu na anatarajiwa kufanya makubwa sana.

Hii ni replacement nzuri ya Morrison.
Kinda miaka 33?!
 
Saidooo ana miaka mingapi star wenu?
Gundogan ana 33 amesajiliwa barca
Assencio yuko psg
Casemiro
Auba
Xhaka
We mbumbumbu umekariri kuwa miaka 32 ni uzee
Mbumbumbu kazindueni lonya zenu porini
League ianze yanga bingwa tena
Hii imeeendaaaaa
Umeeleza vizuri sana na soka unalifahamu humu kuna mizuzu inayojifanya inajua lakini ni ovyo kabisa.
Yanga kipindi tunamsajili saido walisema tunabeba wazee leo saido ndio faraja yao kubwa mpaka wanajivunia kuchukua kiatu cha ufungaji bora wakisahau hawana kombe lolote misimu miwili mfululizo.
 
SKUDO AKIWA MALUMO GALLATS

Mechi alizocheza. 22.

Dakika. 1103

MAGOLi 0 2

Assist. 0 2.

MIAKA 3 3

YANGA WANAZIDI KUBOMOKA MASIKINI.
HII SI ⁶ TULIYOITEGEMEA.
 
Sasa wewe chagua
Mchezaji aliyekaa benchi Al ahly bingwa wa Afrika au kwasukwasu lililoshuka daraja psl
Team kuwa bingwa bila kuweka mchango wowote ni ujinga
Kushuka daraja sio hoja chivaviro makamu top scorer yupo kaizer
Madson wa Leicester yupo wap
Lavia wa southmpton yupo arsenal
 
SKUDO AKIWA MALUMO GALLATS

Mechi alizocheza. 22.

Dakika. 1103

MAGOLi 0 2

Assist. 0 2.

MIAKA 3 3

YANGA WANAZIDI KUBOMOKA MASIKINI.
HII SI ⁶ TULIYOITEGEMEA.
Sio kila mchezaji unampima kwa takwimu za magoli au assist nyie mbumbumbu mlilogwa na nani?
 
Hatimaye Club ya Yanga imefanikisha kunasa saini ya mchezaji kinda kutoka Afrika Kusini anayeitwa Mahlatsi Makudubela (33) almaarufu kama Skudu.

Mchezaji huyo kinda (33) alikuwa anakipiga kwenye timu ya Marumo Gallants ya Afrika kusini iliyofika nusu fainali kombe la shirikisho Africa.

Kwa sasa Club yake ya zamani imeondolewa ligi kuu huko Afrika kusini kutokana na kutofanya vizuri na kusababisha ishuke daraja.

Mwana nusu fainali huyu alizua gumzo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kutoka na tetesi zake za kujiunga na miamba ya Soka ya Jangwani.

Club ya Yanga imempa jezi namba 6 winga huyu na anatarajiwa kufanya makubwa sana.

Hii ni replacement nzuri ya Morrison.
age 33 ni kinda?

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Wamesajili babu, mbwembwe kibao, wamepigwa
 
Back
Top Bottom