Yanga yamtambulisha winga wake wa kushoto Skudu kutoka Marumo Gallants

Yanga yamtambulisha winga wake wa kushoto Skudu kutoka Marumo Gallants

Saidooo ana miaka mingapi star wenu?
Gundogan ana 33 amesajiliwa barca
Assencio yuko psg
Casemiro
Auba
Xhaka
We mbumbumbu umekariri kuwa miaka 32 ni uzee
Mbumbumbu kazindueni lonya zenu porini
League ianze yanga bingwa tena
Hii imeeendaaaaa
 
Muda alioutumia kucheza uwanjani kwa kila msimu

2022/2023. Dakika 879

2021/2022. Dakika 299

2020/2021. Dakika 65

2019/2020. Dakika. 86

2018/2019. Dakika. 19

2017/2018. Dakika. 209

2016/2017. Dakika. 284

2015/2016. Dakika. 299

2014/2015. Dakika. 692

2013/2014. Dakika 182

2012/2013. Dakika. 1408


Jumla ya dakika kwa misimu yote 4422
 
Muda alioutumia kucheza uwanjani kwa kila msimu

2022/2023. Dakika 879

2021/2022. Dakika 299

2020/2021. Dakika 65

2019/2020. Dakika. 86

2018/2019. Dakika. 19

2017/2018. Dakika. 209

2016/2017. Dakika. 284

2015/2016. Dakika. 299

2014/2015. Dakika. 692

2013/2014. Dakika 182

2012/2013. Dakika. 1408


Jumla ya dakika kwa misimu yote 4422
4422 Ni sawa na jumla ya mechi 50 kama atacheza dakika zote 90.

Ambazo hixi mechi 50 kwa full minutes jamaa alihitaji miaka 11 kuzikamilisha.

Kwa dakika tisini hiyo ni sawa na wastani wa mechi 5 kwa kila mwaka.

Ambapo kwa nusu msimu ni sawa na mechi 2.5 yani mechi mbili za dakika 90 na moja ya dakika 45.
 
Muda alioutumia kucheza uwanjani kwa kila msimu

2022/2023. Dakika 879

2021/2022. Dakika 299

2020/2021. Dakika 65

2019/2020. Dakika. 86

2018/2019. Dakika. 19

2017/2018. Dakika. 209

2016/2017. Dakika. 284

2015/2016. Dakika. 299

2014/2015. Dakika. 692

2013/2014. Dakika 182

2012/2013. Dakika. 1408


Jumla ya dakika kwa misimu yote 4422
Tupe takwimu za mikson pale al ahly kacheza mechi ngapi na kafunga goals ngap?
Mikson mnaemkimbilia hajacheza hata mechi moja kwa msimu

Au ndo top scorer pale egypt

Yanga tuna mchezaji kutoka psl ambayo ndo league bora africa
 
Saidooo ana miaka mingapi star wenu?
Gundogan ana 33 amesajiliwa barca
Assencio yuko psg
Casemiro
Auba
Xhaka
We mbumbumbu umekariri kuwa miaka 32 ni uzee
Mbumbumbu kazindueni lonya zenu porini
League ianze yanga bingwa tena
Hii imeeendaaaaa
Lakini mimi sijasema kuhusu uzee

Kule Casablanca tulifungwa mkasema sababu ni Onyango mechi za usiku ule uzee unamfanya asinzie.

Sasa leo tumempata Kaka yake, je mmejipanga kwa mechi za usiku?
 
Hata wenyewe lazima watakuwa smart

Watakuwa wamemsainisha mkataba kama ule wa Kambole.

Kambole alipewa mkataba wa miezi 6, yani kodi ya chumba walichompangia ilikuwa inaenda sambamba na life span ya mkataba wa Club.
Kama CEO wetu miezi 6
 
Winga hatari anaweza kutoka kwenye timu iliyoshuka daraja kweli?

Kwa miaka 11 Skudu amecheza dakika 4422 sawa na mechi 11

Hersi anatuchukuliaje sisi wananchi?
Kapime utimamu wa akili James Madison yupo wapi? Jimson Mwanuke mlitoa wapi?
 
4422 Ni sawa na jumla ya mechi 50 kama atacheza dakika zote 90.

Ambazo hixi mechi 50 kwa full minutes jamaa alihitaji miaka 11 kuzikamilisha.

Kwa dakika tisini hiyo ni sawa na wastani wa mechi 5 kwa kila mwaka.

Ambapo kwa nusu msimu ni sawa na mechi 2.5 yani mechi mbili za dakika 90 na moja ya dakika 45.
So unaumia?
 
Kwa jinsi puyanga walivyovurugwa, usingewafungulia huu uzi wasingekuja kumtambulisha huyu mwamba humu JF.

Nimeangalia lile tangazo lake kabla sijajua ni nani, nikawa najiuliza mbona mchezaji mwenyewe hawamuonyeshi, kumbe ndo jamaa anayecheza amapiano na Juma. Uto wamevurugwa.
 
Labda kandarasi ya mwaka mmoja tu; huu siyo usajiri kwani hawawezi kumuuza tena.
 
Usajili wenu wa maana ni Mkude tu hao wengine wote wabangaizaji tu.

Wengine wana viwango vyenye asili ya graph yani vinashuka na kupanda
Hao mnaosajili wao viwango vyao vinapanda tu ila havijawahi kushuka
 
Back
Top Bottom