Yanga yanunua Bus Aina ya Scania kama ya Madrid yenye thamani ya Tshs Bilion Moja, sio TATA kama ya Mtani

Ok, naona mmenunua mtumba bora mfanane na Real Madrid sio mbaya sana
 
Basi kitu gani,yani kununua basi la mtumba ndo kelele mji mzima!
 
Aibu naona Mimi [emoji116]
Habari za mitandaoni sio za kuziamini sana, uzushi ni mwingi. Hilo bus limepost na kampuni ya usafirishaji ya Hunters inayofanya safari zake Dar-MwanzaView attachment 1849740
 
hii chai
 
Nyie wapuuzi mnauziwa mbuzi kwenye kiroba. Hivi HSC waliwaahidi ubingwa wa VPL au bus?
 
Kwetu hiyo ni pesa ya kumnunua mchezaji mmoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…