King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Sisi tulio nunuliwa TATA EICHER na Muddy mpigaji sura zetu tutaziweka wapi jamani
We unalionaje?.liko kama mkate uliochachaLazima simba watasema baya
Sawa lakini wa TATA mbona mnateseka?Kweli Minyani haina Akili yani yanadanganywa na yanakubali kichwakichwa! Basi la Kampuni ya HUNTER LUXURY yameambiwa ni la Yanga basi yameanza Mipasho! Haya subirini mpaka likiandikwa KUNEED HUNTER pia museme ni jina jengine la Yanga.
Wana Tata la kihindi. Spea wanachangia na mafundi cherehaniShish ish Shimba, wacha waendelee kuhenya na michina
utelembwe bana kweli wanatawaliwa na wivu mkubwa mno! hilo gari limepelekwa kwny gerej ya azam kupigwa rangi.., tulieni na tata lenu, mbna mlitamba sana na kejeli kibao? sasa kinawauma nini? nyie si matajiri? mnamuoneaje wivu masikini aliyetembeza bakuli mpaka kapata kilicho bora zaidi yenu?
Ndani ya wiki hii mtaliona mtaani,sasa linapigwa stickers,tunawasubiri mje kusema bus lenyewe bayaaa 😀Habari za mitandaoni sio za kuziamini sana, uzushi ni mwingi. Hilo bus limepost na kampuni ya usafirishaji ya Hunters inayofanya safari zake Dar-MwanzaView attachment 1849740
Bus la Yanga bei yake linanunua tata 8 kama za manunu fcKweli Minyani haina Akili yani yanadanganywa na yanakubali kichwakichwa! Basi la Kampuni ya HUNTER LUXURY yameambiwa ni la Yanga basi yameanza Mipasho! Haya subirini mpaka likiandikwa KUNEED HUNTER pia museme ni jina jengine la Yanga.
Mkuu naona hutaki utabiri wa match ya kigomaYeah lina choo cha shimo ndani
Inaitwa irrizar i6 na sio 16 ! Ni model ya 2017 kwa sasa hivi latest ni irrizar i8 .Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani
Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA IRIZA 16 ambayo thamani yake ni zaidi ya Tsh Milion 900 hadi Tsh Bilioni moja pamoja na ushuru
Yanga inaungana na klabu matajiri duniani kama Real Madrid na Liverpool ambazo zinatumia mabasi ya aina hiyo
Kwa hakika 'Sisi tuna watu'...
View attachment 1849703
Bus la Yanga bei yake linanunua tata 8 kama za manunu fc
Kwa hiyo wale viluilui/chura wa Jangwani wapo kila kiti humo ndani ya basi, Yanga kweli wana watu.Yeah lina choo cha shimo ndani
Jina tu TATA Linakera. Basi hata milioni 100 halifiki. Tata ni saizi ya timu kama ihefu au transit campBaada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani
Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA IRIZA 16 ambayo thamani yake ni zaidi ya Tsh Milion 900 hadi Tsh Bilioni moja pamoja na ushuru
Yanga inaungana na klabu matajiri duniani kama Real Madrid na Liverpool ambazo zinatumia mabasi ya aina hiyo
Kwa hakika 'Sisi tuna watu'...
View attachment 1849703
Mimi sijakataa Yanga kununua gari bali ninachokataa ni picha aliyoleta mleta uzi. Ukiangalia muonekano wa hilo bus na mazingira yote yanayunguka pembeni yanafanana kila kitu na walicho post kampuni ya usafirishaji ya Hunters. Kuna walakini hapoNdani ya wiki hii mtaliona mtaani,sasa linapigwa stickers,tunawasubiri mje kusema bus lenyewe bayaaa [emoji3]
Yanga wamenunua gari kama ile,scania irizar 16,picha ya hunters umetumika kama mfano tuMimi sijakataa Yanga kununua gari bali ninachokataa ni picha aliyoleta mleta uzi. Ukiangalia muonekano wa hilo bus na mazingira yote yanayunguka pembeni yanafanana kila kitu na walicho post kampuni ya usafirishaji ya Hunters. Kuna walakini hapo
Yanga wekezeni kwenye mpira , acheneni na mambo madogo ya urembo urembo! Hizo bilion 1 mlizotumia kununua hilo bus mngezitumia kujenga uwanja wa kisasa ningewapongeza lakini si kwa anasa hizo wakati makombe ya ligi yakiwapita kushoto miaka kibao!Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani
Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA IRIZA 16 ambayo thamani yake ni zaidi ya Tsh Milion 900 hadi Tsh Bilioni moja pamoja na ushuru
Yanga inaungana na klabu matajiri duniani kama Real Madrid na Liverpool ambazo zinatumia mabasi ya aina hiyo
Kwa hakika 'Sisi tuna watu'...
View attachment 1849703
Yanga wekezeni kwenye mpira , acheneni na mambo madogo ya urembo urembo! Hizo bilion 1 mlizotumia kununua hilo bus mngezitumia kujenga uwanja wa kisasa ningewapongeza lakini si kwa anasa hizo wakati makombe ya ligi yakiwapita kushoto miaka kibao!
Simba tunahesabu ubingwa wa 4 mfululizo Yanga mnazungumzia basi mpya la gharama huku mkiwa na mkiwa na makesi ya kudaiwa pesa na makocha mlowafukuza na wachezaji kama Tambwe! ni aibu aisee hebu watani zetu mjitathmini!