Yanga yanunua Bus Aina ya Scania kama ya Madrid yenye thamani ya Tshs Bilion Moja, sio TATA kama ya Mtani

Wenzenu wana rekodi ya "mataji" ya kimataifa. MTAJILINGANISHAJE?????
 

Ni wa kuwaonea tu huruma,sasa mtu kama huyu aliyeanzisha huu Uzi sijui anajionaje kwa sasa[emoji3][emoji3]
 
Wanawachukulia kama utopolo, na kweli uto ni utopolo sana [emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Msingi wa dabi ya yanga na simba ni kushindana kisoka. sasa huko kwenye mabasi kunatoka wapi
 
Jina tu TATA Linakera. Basi hata milioni 100 halifiki. Tata ni saizi ya timu kama ihefu au transit camp
Eicher yenyewe tu ni 135

Hilo basi ni bei kubwa, kaangalie TATA ni nani duniani
 
Eicher yenyewe tu ni 135

Hilo basi ni bei kubwa, kaangalie TATA ni nani duniani
Mara ya mwisho zile daladala za tata zilikua zinauzwa 100.........wakati zinaingia ilikua 70 tu
 
๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ฒ ๐ณ๐š ๐ฎ๐›๐ข๐ง๐ ๐ฐ๐š ๐ง๐๐ข๐จ ๐›๐š๐ฌ๐ข ๐ญ๐ž๐ง๐š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ