Matakua yao ni yapi?
Yanga wametoa taarifa rasmi kwa Umma leo 9/6/2025 wakisisitiza kuwa hawatacheza mchezo huo hadi pale matakwa yao waliyowaandikia bodi ya Ligi yatimizwe..
Soma Pia: Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025
Soma taarifa hiyo kwa undani...View attachment 3361983
Hayo masharti yako wapi ili site tuyajue?Yanga wametoa taarifa rasmi kwa Umma leo 9/6/2025 wakisisitiza kuwa hawatacheza mchezo huo hadi pale matakwa yao waliyowaandikia bodi ya Ligi yatimizwe..
Soma Pia: Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025
Soma taarifa hiyo kwa undani...View attachment 3361983
Nenda kwenye official account ya Yanga kama wewe ni Tomaso.Hii taarifa mbona haiana hata sahihi?
No reform no election.Hii timu Ina upuuzi mwingi sana