900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
subiri mtu ataliwa kichwa kama kuku wa kitalianoNi mashabik wa simba tu mpaka sasa kwa wingi wame comment 😂.
Roho zinawadundaaa!!😂😂😂
subiri mtu ataliwa kichwa kama kuku wa kitalianoNi mashabik wa simba tu mpaka sasa kwa wingi wame comment 😂.
Roho zinawadundaaa!!😂😂😂
Ndio tunasubiri na nyie tuone itakavyokua.Nyie mlivyokataa kucheza mbona hamkunyanganywa point?
Alafu nyie tu awadai pesa zetu mara mbili mjue...derby na ile ya berkane. Shenz typeMmenza lainika...
Hahaa haaaa sawa tutawalipeni. Sisi tuliandik barua moja tu kuwa hatuchezi. Ila ninyi naona karibia kila wiki mnakuja na press. So shikilieni msimamo wenu na nyie tuone mwisho wake.Alafu nyie tu awadai pesa zetu mara mbili mjue...derby na ile ya berkane. Shenz type
Mie sijali yanga anagoma au hagomi nachotaka nyie matapeli mnirudishie hela zangu. Yaani 250k ya platinum mnasepa nayo kirahisi eti itatumika simba day....nyambaf. rudisheni hela zetuHahaa haaaa sawa tutawalipeni. Sisi tuliandik barua moja tu kuwa hatuchezi. Ila ninyi naona karibia kila wiki mnakuja na press. So shikilieni msimamo wenu na nyie tuone mwisho wake.
MhhhMimi mwenyewe nipo pamoja na nyie hakikisheni mnasimamia huo msimamo mpaka mwisho.
Sisi tunataka kuona hizo point zetu 3 za tarehe 15 tunazipata katika mazingira gani.
Je hayo magoli matatu atapewa yote Ahoua au atapewa nani?
Labda ligi ya Jupiter, hakuna anayepokonywa pointiYanga shikilieni hapo hapo tunataka tuone iwapo mkinyang'anywa point mtachukua hatua zipi kudhihirisha ukubwa wenu. Nyinyi wakubwa mno, inawezekana hata msinyang'anywe hizo point maana mnaogopwa mno.
wanaweza wasishinde kwa timu bora lkn siyo MakoloTimu yenye confidence na uhakika wa kushinda isingeweza kugomea mechi.
Kugomea mechi kumetokana na tafakuri ya kina walioifanya na kuona hakuna mazingira yeyote wanayoyaona kwa wao kuweza kushinda mechi.
Shida mnataka kuwalisha viongozi wa Yanga mtazamo wenu. Hakuna anayesema Yanga wakubwa. Ni nani alisema Yanga inaogopwa?Yanga shikilieni hapo hapo tunataka tuone iwapo mkinyang'anywa point mtachukua hatua zipi kudhihirisha ukubwa wenu. Nyinyi wakubwa mno, inawezekana hata msinyang'anywe hizo point maana mnaogopwa mno.
Si uwashauri.Inaelekea wewe ndio kichaa nafuu katika vichaa kwenye hiyo timu.Gomeni hivyo hivyo.kimoyo moyo una furahi ila yanga wakisema wanaleta timu unanyong'ony'ea
Si wametimiza kwa kupanga tarehe ya mchezo?Shida mnataka kuwalisha viongozi wa Yanga mtazamo wenu. Hakuna anayesema Yanga wakubwa. Ni nani alisema Yanga inaogopwa?
TFF na bodi ya ligi watimize wajibu wao tu ndio kinachotakiwa
1: Mwenyekiti wa bodi ya ligi ajiuzuruHayo masharti yako wapi ili site tuyajue?
Unaandika huku unafurahi maana unajua mkitua tu ni kipigo. Hii mechi itakuwa ya funga dimba.Mmenza lainika...