900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Yanga wametoa taarifa rasmi kwa Umma leo 9/6/2025 wakisisitiza kuwa hawatacheza mchezo huo hadi pale matakwa yao waliyowaandikia bodi ya Ligi yatimizwe..
Soma Pia: Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025
Soma taarifa hiyo kwa undani...View attachment 3361983
Haina maana mtajua wenyewe ,no reforms no electionYanga wametoa taarifa rasmi kwa Umma leo 9/6/2025 wakisisitiza kuwa hawatacheza mchezo huo hadi pale matakwa yao waliyowaandikia bodi ya Ligi yatimizwe..
Soma Pia: Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025
Soma taarifa hiyo kwa undani...View attachment 3361983