Yanga yashikilia msimamo wake wa kutocheza derby ya Kariakoo 15/6/2025

Yanga yashikilia msimamo wake wa kutocheza derby ya Kariakoo 15/6/2025

Naona na wewe huna nafuu.Ukichaa wako kujidhihirisha lilikuwa ni suala la muda tu.Gongowazi mnatofautiana sura tu lakini uwezo wenu mdogo sana wa kutafakuri ni ule ule.
Umesoma barua walioandika vichaa wenzako?
Pia msikilize kichaa mwenzako hapo juu.
Mbumbu wa mwisho kabisa katika mikia wote ni rahisi kuona wengine vichaa kazi kutafuta kama kuna mbumbumbu mwenzio kukuunga mkono. Nakuelewa
 
mbona inafahamika ukinyimwa kufanya mazoezi adhabu ni nini sio kukimbia mechi
Adhabu inayotolewa ni ndogo kulinganisha na athari ambazo timu imezipata.

Baharesa kumwambia alipe faini ya 20,000 kwenye kosa alilofanya ni kudhurumu haki ya mtu kwasababu tunajua lengo la adhabu ya faini hulipishwa ili uumie na ikufanye ujutie makosa yako.

Kosa ambalo Simba angeenda kuathirika kwa kukosa ubingwa halafu wewe unataka ulimalize kwa faini ya laki 5 seriously?
 
Vitisho vya nini? Subiri ifike tarehe 15 mpeleke timu yenu mkapewe point tatu mfurahi.
Sio tu point 3 tunataka na pointi zenu zikatwe.

Msituletee undezi wenu tupo siriasi
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Adhabu inayotolewa ni ndogo kulinganisha na athari ambazo timu imezipata.

Baharesa kumwambia alipe faini ya 20,000 kwenye kosa alilofanya ni kudhurumu haki ya mtu kwasababu tunajua lengo la adhabu ya faini hulipishwa ili uumie na ikufanye ujutie makosa yako.

Kosa ambalo Simba angeenda kuathirika kwa kukosa ubingwa halafu wewe unataka ulimalize kwa faini ya laki 5 seriously?
izo kanuni kwani aliziweka yanga

hata mechi ipigwe sa hivi simba hawez toboa wala kuchukua kombe
 
izo kanuni kwani aliziweka yanga

hata mechi ipigwe sa hivi simba hawez toboa wala kuchukua kombe
Kama hakuziweka kwanini tena aumizwe na kitendo cha Bodi ya ligi kuahirisha mechi kupitia kanuni hizo hizo?
 
Derby buuuulshit....
Hii timu wanaiendekeza kipumbavu sababu Kuna wapumbavu nyuma yake , ilitakiwa bodi ifanye maamuzi makali ili iwe fundisho hata kama timu Ina wakubwa nyuma...upumbavu tu, tumesikia eti wanatoa amri kua watu kadhaa wafukuzwe kazi ama kujiuzulu kuanzia mwenyekiti bodi ya ligi Hadi katibu sijui,, ulishawahi kuona wapi ujinga wa namna hio, Ina mana Sasa na timu nyingine zijitokeze Sasa ziwaambie bodi ya ligi tunataka matakwa haya ili tucheze mechi za ligi kuu...itakua ligi ya namna Gani hio?
Makolo mnataka Hawa wahuni waendelee kubaki muendeleze UBAYA UBWELA WENU.
NR NO DERBY.
 
Mngekuwa mnaiishi haki kama mnavyohubiri basi msingethubutu kuwazuia Simba wasifanye mazoezi wakati mnajua fika kuwa ni haki yao.

By the way huna haki yeyote kwenye hili na ndio maana CAS, TFF mmeshindwa na saizi naskia hapo juzi mlienda mahakama ya serikali nako mkashindwa.

Sasa how dare you kusema unataka haki itendeke ilihali vyombo vyote vinavyohusika na huo utoaji Haki vimekutema?

Gomeni kuja tuwaoneshe kwanini huwa wanagawa ndimu kwenye boti.
Acha maneno mengi hamna jipya Mtani.
 
TAARIFA KWA UMΜΑ
JUNI 09, 2025​

Uongozi wa Young Africans Sports Club, unapenda kuutarifu umma kuwa, tarehe 7 Juni, 2025 tulipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kikao maalum cha kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC, YANGA dhidi ya Simba.

Uongozi wa Klabu yetu ulitii wito huo na kushiriki kwenye kikao kilichofanyika leo, Jumatatu Juni 9, 2025 kwenye ofisi za Bodi ya Ligi Tanzania zilizopo jengo la NSSF Mafao House, Dar Es Salaam, kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Baada ya majadiliano ya saa kadhaa, Viongozi wa Klabu waliwasilisha msimamo wa Klabu yetu kuwa hatutashiriki mchezo namba 184 uliopangwa kufanyika tarehe 15 Juni 2025 mpaka pale matakwa yetu tuliyoyawasilisha kwa maandishi kwao yatakapotimizwa.

Tunawatakia kila la heri Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini katika kushughulikia matakwa yetu yenye mustakabali mkubwa kwenye maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania.

Imetolewa na
Kamati ya Utendaji
Young Africans Sports Club

Soma Pia: Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025


Soma Almas Kasongo: Tumekutana na Yanga, Derby ya Kariakoo iko palepale na hakuna kilichobadilika
Safi sana Yanga shikilieni hapo hapo Ili kuondoa upuzi katika ligi yetu
 
Back
Top Bottom