Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Viongozi wako ndiyo wanaojua ukweli na ndio maana wanasisitiza hawachezi.Una timu hata ya kutoa sare na Yanga?
Viongozi wako ndiyo wanaojua ukweli na ndio maana wanasisitiza hawachezi.Una timu hata ya kutoa sare na Yanga?
sisiemu watataka hii mechi ichezwe siku ya kesi ya LisuSiasa za Tanzania ni kubwa kuliko Simba na yanga kwa hiyo upo uwezekano wanasiasa wanatia mkono wao kwenye hili sakata la derby ili kupoozesha hali ya kisiasa ya mashinikizo yanayowakabili watawala.
Fumba macho utembee ujifanye kipofuHakuna kitu Kama icho.....!
Nendeni Mahakamani muone jinsi Rungu La FIFA Litakavyowaangukia 'nyie kama nyie'..!
Yaani aende Mahakamani Yanga halafu adhabu ipewe TFF ? Uliona wapi?
Huu ndo mwaka Wa Msongo Wa Mawazo mpaka mpasuke kwa stress..!
Mcheze, msicheze SIMBA BINGWA NBC LIGI 2024/2025TAARIFA KWA UMΜΑ
JUNI 09, 2025
Uongozi wa Young Africans Sports Club, unapenda kuutarifu umma kuwa, tarehe 7 Juni, 2025 tulipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kikao maalum cha kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC, YANGA dhidi ya Simba.
Uongozi wa Klabu yetu ulitii wito huo na kushiriki kwenye kikao kilichofanyika leo, Jumatatu Juni 9, 2025 kwenye ofisi za Bodi ya Ligi Tanzania zilizopo jengo la NSSF Mafao House, Dar Es Salaam, kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Baada ya majadiliano ya saa kadhaa, Viongozi wa Klabu waliwasilisha msimamo wa Klabu yetu kuwa hatutashiriki mchezo namba 184 uliopangwa kufanyika tarehe 15 Juni 2025 mpaka pale matakwa yetu tuliyoyawasilisha kwa maandishi kwao yatakapotimizwa.
Tunawatakia kila la heri Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini katika kushughulikia matakwa yetu yenye mustakabali mkubwa kwenye maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania.
Imetolewa na
Kamati ya Utendaji
Young Africans Sports Club
Soma Pia: Ali Kamwe: Bodi ya Ligi ikisikiliza na kutekeleza mahitaji yetu tutacheza Kariakoo Derby ya Juni 15, 2025
Soma Almas Kasongo: Tumekutana na Yanga, Derby ya Kariakoo iko palepale na hakuna kilichobadilika
Rudia tena ile barua ya kwanza ya Yanga, mbona matakwa yote matatu yaliandikwa mkuu?Hii sentensi ya mwisho kama imenitia ukakasi.. mpaka matakwa yatimizwe sio pamatafutwa mwaya wa kuja kucheza???! Mana bodi inaweza kuja hadharani tarehe 12 wakasema tumeyatimiza matakwa yenu ambayo kimsingi hayajawekwa wazi! Tutakataa kucheza?
Kwani nyie kama nani labda wenye kujua kuwa mtaifunga Simba? Mbona kama mnajeuri hivi...yani na mechi ya mwisho mlisaidiwa na kayoko na kujifunga kwa kiijlli ila bado mna kiburi si ndio?.Unaandika huku unafurahi maana unajua mkitua tu ni kipigo. Hii mechi itakuwa ya funga dimba.
mbona inafahamika ukinyimwa kufanya mazoezi adhabu ni nini sio kukimbia mechiMi nadhani nyie ndio mliokuwa na malengo ya kukimbia mechi that's why mkaja na njama za kuwazuia wachezaji wasifanye mazoezi mkijua hiyo ndio nafasi ya nyie kujifichia.
Wanaendekezwa sana Hawa ,, naskia wanataka bodi nzima ijiuzulu, naskia Hadi Karia wanataka aondoke...halafu eti Simba isiruhusiwe kufanya mazoezi siku Moja kabla ya mechi uwanja wa taifa ..wapewe uwanja mwingine ambao hautatumika...vichekesho..Kwani nyie kama nani labda wenye kujua kuwa mtaifunga Simba? Mbona kama mnajeuri hivi...yani na mechi ya mwisho mlisaidiwa na kayoko na kujifunga kwa kiijlli ila bado mna kiburi si ndio?.
Mkuu ninaamini wewe ni mtu mzima una familia nyumbani,,mwanao wa primary akiwa anakataa kwenda shule, utakua unamchapa tu na kumlazimisha kwenda shule? au utatafuta nafasi ukae akuambie kwanini hataki kwenda shule na utachunguza malalamiko yake?Derby buuuulshit....
Hii timu wanaiendekeza kipumbavu sababu Kuna wapumbavu nyuma yake , ilitakiwa bodi ifanye maamuzi makali ili iwe fundisho hata kama timu Ina wakubwa nyuma...upumbavu tu, tumesikia eti wanatoa amri kua watu kadhaa wafukuzwe kazi ama kujiuzulu kuanzia mwenyekiti bodi ya ligi Hadi katibu sijui,, ulishawahi kuona wapi ujinga wa namna hio, Ina mana Sasa na timu nyingine zijitokeze Sasa ziwaambie bodi ya ligi tunataka matakwa haya ili tucheze mechi za ligi kuu...itakua ligi ya namna Gani hio?
Itabidi mechi ijayo ya derby yule mwamuzi saa mbovu au Kayombo. Ikishindikana kabisa awe tatu.Kwani nyie kama nani labda wenye kujua kuwa mtaifunga Simba? Mbona kama mnajeuri hivi...yani na mechi ya mwisho mlisaidiwa na kayoko na kujifunga kwa kiijlli ila bado mna kiburi si ndio?.
Moto upi labda?? Pale kuna watu walipelekewa moto kama uto mpk wakaanza kucheza rafu mfululuItabidi mechi ijayo ya derby yule mwamuzi saa mbovu au Kayombo. Ikishindikana kabisa awe tatu.
Hiyo ya kijili kujifunga nimecheka sana maana alikuwa hana namna kwa moto mliokuwa mnapelekewa🤣🤣🤣🤣
Vitisho vya nini? Subiri ifike tarehe 15 mpeleke timu yenu mkapewe point tatu mfurahi.Mngekuwa mnaiishi haki kama mnavyohubiri basi msingethubutu kuwazuia Simba wasifanye mazoezi wakati mnajua fika kuwa ni haki yao.
By the way huna haki yeyote kwenye hili na ndio maana CAS, TFF mmeshindwa na saizi naskia hapo juzi mlienda mahakama ya serikali nako mkashindwa.
Sasa how dare you kusema unataka haki itendeke ilihali vyombo vyote vinavyohusika na huo utoaji Haki vimekutema?
Gomeni kuja tuwaoneshe kwanini huwa wanagawa ndimu kwenye boti.
Good job. Hapa ndio inatakiwa tuanzie. Adhabu ya hili ni nini?Mmoja wa mabaunsa wa Simba akiongea namna walivyo wazuia Simba kufanya mazoezi
View attachment 3362152