Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

Wengi wao wajinga ndo maana waliitwa mbumbumbu na Ismail Aden Rage coz Ishu iko wazi kabisa siku ya mwananchi ni tar 29, wanataka timu ikae huko mpaka lini sasa?
Ko nyie furaha yenu ni kufurahisha biashara ya GSM uku timu yenu ikiendelea kufanya viby?
Azam fc wenye akili wameona bora kusitisha Azam festival ili kujiandaa na mashindano. Afu nyie mnaongea utopolo wenu
 
Yaani hili limenishangaza na limenihuzunisha sana pamoja na kuwa ni mshabiki wa Yanga lakini naona uongozi wa Yanga hawana akili ya kujua kufanya vitu vya msingi. Yaani wanaona wiki ya mwananchi ni bora kuliko maandalizi ya klabu bingwa. Na shabiki anakuja kutamba hapa jukwaani juu ya wiki ya mwananchi sijui ujinga utatuisha lini
 
Kosa lililofanyika ni kua yule aliekojoa pembeni ya uwanja alikojoa mbele ya Geti la hoteli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] [emoji867][emoji867] so wametimuliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si kazi rahisi kupaka rangi upepo,binafsi ninakuelewa Mkuu.
 
sasa kama mlijua kuna ufinyu wa ratiba kulikua na haja gani ya kwenda morocco kukaa siku 5 si kupoteza pesa bila sababu ya msingi au ni ulimbukeni kisa simba yupo kule na nyie ili muonekane mpo level moja na mnyama. Acheni ujuha mkwepa kodi jiesiemu atuachie yanga yetu
 
Yaaa hilo lipo wazi mkuu, coz match ya taifa stars ni tar 2 kama sio 3, kwahyo hii automatically ila wachezaji wengi wapya watakuwepo na kama sikosei wote watakuwepo pale taifa

Sasa hao si wangeendelea kubaki kambini mpaka hiyo tar 27? Eng Hersi anasema sababu kubwa ni “hali ya hewa ya joto kali” ndiyo imewafanya kuvunja kambi,wewe unatuletea sababu ya ratiba kuwa si rafiki.Nani tumwamini hapa? Anaesema hali ya hewa kuwa si rafiki au wewe?
 
Simba ni kama wanabebwa tangu mapemaaa!
 
Jengeni basi kauwanja ka mazoezi basi na nyinyi utopolo. Wachezaji wametoka kwenye kambi yenye viwanja vya kisasa halafu wakirudi bongo mnawapeleka viwanja vibovu vya shule ya msingi.
 
Timu ya Taifa imeitwa katikati na tena ni juzi kati wakati timu za Taifa zipo kambini nchini Morroco na sisi tu ni nchi zote za Africa katika kufuzu kombe la dunia
Mbona timu ya taifa ya congo ilitajwa muda tu ata yanga haijaenda uko ,ata ivyo sioni kama iyo sababu ya msingi kwa sababu je hao wachezaji waliobak ambao hawajaitwa timu ya taifa ina maana hawatafanya mazoez adi wenzao warudi
 
Legeza misuli ya kichwa wewe mbumbumbu ndo utaelewa.
 
Mbona timu ya taifa ya congo ilitajwa muda tu ata yanga haijaenda uko ,ata ivyo sioni kama iyo sababu ya msingi kwa sababu je hao wachezaji waliobak ambao hawajaitwa timu ya taifa ina maana hawatafanya mazoez adi wenzao warudi
Siku ya Mwananchi ni tar 29 Jumapili na mwisho wa wiki hii, unataka turudi lini ndugu mwandishi?
 
Mbumbumbu at your own peak, hii laana ya Aden Rage ya UMBUMBUMBU inaendelea kuwatafuna
 
Mbona timu ya taifa ya congo ilitajwa muda tu ata yanga haijaenda uko ,ata ivyo sioni kama iyo sababu ya msingi kwa sababu je hao wachezaji waliobak ambao hawajaitwa timu ya taifa ina maana hawatafanya mazoez adi wenzao warudi
Legeza misuli ya kichwa na matako ndo utaelewa mbumbumbu ww, siku ya mwananchi ni tar 29 Jumapili na mwisho wa wiki hii, unataka timu ya wananchi ikae Morroco mpaka lini ndugu mwandishi?
 
Ratiba aiwabani Yanga ila wao Yanga ndo wanajibana,kama wanajua ratiba inawabana kulikua na sababu ipi ya kuweka kambi Moroco mbali kote huko?,kwenda Moroco na kurudi kunatumia siku nne,kwenda siku mbili na kurudi siku mbili,wewe huoni kwamba wameharibu muda wa kujiandaa na mechi zao ngao ya hisani na CAFCL?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…