Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

Hata msimu uliopita mlikuja na porojo za aina hii! Lakini mwisho wa siku kidume akacheza fainali kombe la Shirikisho.
 
Majabu ya mpira hayajawahi kuisha usishangae yanga akadraw nyumbani na hao warabu Koko alafu akaenda Cairo kumchinja mwarabu pure.
Au yanga akashinda home and away vyote vinawezekana kwenye mpira
 
Yanga anaweza kupita, goli 3 zinawezekana kabisa. Anahitaji huo ushindi tu, kwani wakiwa point sawa head to head itatumika baina yao kuona katika yake na CR nani kachukua point nyingi kwa mwenzake, ikiwa sawa magoli yatachukua nafasi.
Ndo yaliyotokea
 
Sheikh Yahaya unajisikiaje huko uliko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…