Yanga yupo kwenye kundi gumu ila fixture inaweza kumbeba

Yanga yupo kwenye kundi gumu ila fixture inaweza kumbeba

Jana Yanga wamepoteza dhidi ya Belouizdad kwa kufungwa goli tatu kwa bila. Kimpira, Yanga alicheza soka safi sana na walikuwa wanapiga mipira ya kasi sana ila safu ya ulinzi ikawa inajisahau sana kurudi, magoli wamefungwa ya counter attacks nadhani ni somo kwao ni vitu vidogo sana vilivyowangusha.

Kuna watu wamewachukulia poa Belouizdad ila kama timu ya wazee wangecheza na hawa jamaa pengine ingejirudia ya zama za magoli matano. Jamaa wanajua kuzitumia nafasi chache wanazozipata. Ili Yanga aweze kufuzu ni lazima, tena lazima apate alama tatu dhidi ya Al Ahly kwa Mkapa.

Kwanini fixture ipo upande wa Yanga?
Yanga atacheza mechi yake ya pili dhidi ya Al Ahly, kama atashinda atakuwa na point 3.Mechi mbili zinafuata zote ni dhidi ya Medeama, hapo inatakiwa Yanga apate point zote sita kwa Medeama. Ili imfanye kufikisha point 9 huku akibakisha michezo miwili (mmoja home na mmoja away).

Kwenye michuano ya klabu huwa mara nyingi sana timu zilizopo pot 3 zinasonga mbele hatua inayofuata kwasababu mpangilio wa mechi zinawabeba sana.

Bado hujasemaaaa
 
Wanataka kutembelea upepo wa Simba jinsi anvyomnyanyasa Alhly wanadhani na wao itakua nyepesi..
Simba hajawahi mnyanyasa Alhly ila Simba anamheshimu, akicheza naye anacheza kwa adabu na tahadhari.
 
Mzee mpra huchezewi mdomoni hao medeam mwnyew unawez ambulia point moja tu🤣🤣🤣
Halafu kwenye hili kundi kama medeam ni dhaifu sana kwamba mpango ni kupata point 6 basi na wenzake wanaweza kuzipata hivyo hasipokaza akagawa tena point 3 kwa al hly basi zoezi linakuwa gumu zaidi.
 
1. Namba 2 na 3 walijisahau kwa kukariri kushambulia sana na kusahau jukumu Lao kubwa la kuzuia hasa kwa timu yenye kasi( belouzid sio simba )
Wabadilishe mfumo kulingana na timu wanayokutana nayo na lomalisa aache mchezo wa chenga golini kwake

2. Kalid aucho ni mzito sana wa kusaidia ulinzi kwa timu yenye kasi (belouzid sio simba ) next game awekwe mkude .

3. Match analyst Kama hayupo basi gamondi ameshindwa kuwasoma belouzid katika mfumo wa mechi zao za nyuma .

4.bacca alionekana kuchoka na kufanya makosa kadhaa ikiwemo goli la kwanza na kumsahau mfungaji goli la pili angepumzishwa Kama bakari ili gift Fred achukue nafasi .

5.pengo la diara lilionekana huenda magoli yangepungua Kama sio sare .

6.Pacome aache chenga nyingi akifika golini aidha apige mashuti au atoe pasi ingawa kuna chenga moja alipiga akakatwa na beki ilikuwa penalti ya wazi mshika kibendera akaachia

7. Aziz ki na maxi walitakiwa wapige Mashuti baada ya mpango wa kupenya lundo la mabeki kushindikana.
 
Shirikisho na club bingwa tofauti shehe ngoja inyeshe tuone panapovuja
Kweli Ni tofauti
Ila kumbuka ulibugizwa tano na Al ahly, ukachukua tano Kwa as vita, ukachukua tatu nyumbani Kwa J's Soura ila mwishoni ukafuzu
Au umesahau,
Kwa hiyo bado saana kuhitimisha
 
Hiyo Al Ahly wangeomba kwa CAF ibadilishwe icheze na Simba maana Simba ndiyo wanawamudu Al Ahly ndani nje. Kwa Yanga ni kinyume, itakuwa mvua ya magoli ndani nje!
Kifupi tu niseme ‘asanteni utopolo kwa kushiriki’ CAF 2023/24
Yaan akifungwa au sare basi ujue bye bye utopolo tuliwaambia CAF pagumu watu wanacheza kwa malengo sasa wamekubali
 
Hiyo Al Ahly wangeomba kwa CAF ibadilishwe icheze na Simba maana Simba ndiyo wanawamudu Al Ahly ndani nje. Kwa Yanga ni kinyume, itakuwa mvua ya magoli ndani nje!
Kifupi tu niseme ‘asanteni utopolo kwa kushiriki’ CAF 2023/24
Simba na Yanga dhidi ya Ahly, Yanga ana matokeo mazuri Zaidi kama ukileta hesabu zako za majedwali
Ahly hajawahi kumfunga Yanga Zaidi ya Goli 3, Simba kachezea mkono
Simba hajawahi kumfunga Ahly Zaidi ya Goli moja, Yanga pia hivyo hivyo
Kwa hiyo tulia Mzee, bado kuna mechi tano za kuamua hatima
Pambana na ASRC Kwanza leo
 
Jana Yanga wamepoteza dhidi ya Belouizdad kwa kufungwa goli tatu kwa bila. Kimpira, Yanga alicheza soka safi sana na walikuwa wanapiga mipira ya kasi sana ila safu ya ulinzi ikawa inajisahau sana kurudi, magoli yamefungwa ya counter attack nadhani ni somo kwao ni vitu vidogo sana vilivyowangusha.

Kuna watu wamewachukulia poa Belouizdad ila kama timu ya wazee wangecheza na hawa jamaa pengine ingejirudia ya zama za magoli matano. Jamaa wanajua kuzitumia nafasi chache wanazozipata. Ili Yanga aweze kufuzu ni lazima, tena lazima apate alama tatu dhidi ya Al Ahly kwa Mkapa.

Kwanini fixture ipo upande wa Yanga?
Yanga atacheza mechi yake ya pili dhidi ya Al Ahly, kama atashinda itakuwa na point 3.Mechi mbili zinafuata zote dhidi ya Medeama, hapo inatakiwa Yanga apate point zote sita kwa Medeama. Ilimfanye kufikisha point 9 huku akibakisha michezo miwili (mmoja home na mmoja away).

Kwenye michuano ya klabu huwa mara nyingi sana timu zilizopo pot 3 zinasonga mbele hatua ya mpangilio sana wa mechi zinazowabeba.
U
Kweli lakini hiyo ni msaada tu, kikubwa tujipange vizuri.
Hili kundi tunapita
Jipe moyo tu, wale waliowatungua jana, wakija hapa, wanakupasueni tena, mmejitahidi mpate drow.

Al ahly, akija anaondoka na point 3, ungawa ushindi utakua under 2.5. Tataona trh 2 Des.
.madeama kwao mnadrow, Taifa yanga anashinda, timu zinazotakiwa kupenya mbili hesabu point zako kwa mkeka huo.
 
1. Namba 2 na 3 walijisahau kwa kukariri kushambulia sana na kusahau jukumu Lao kubwa la kuzuia hasa kwa timu yenye kasi( belouzid sio simba )
Wabadili mfumo kulingana na timu wanayokutana nayo na lomalisa aache mchezo wa chenga golini kwake

2. Kalid aucho ni mzito sana wa mlinzi kwa timu yenye kasi (belouzid sio simba ) next game awekwe mkude .

3. Mchambuzi wa mechi Kama hayupo basi gamondi ameshindwa kuwasoma belouzid katika mfumo wa mechi zao za nyuma .

4.bacca alionekana kuchoka na kufanya makosa kadhaa ikiwemo goli la kwanza na kumsahau mfungaji goli la pili angepumzishwa Kama bakari ili gift Fred achukue nafasi .

5.pengo la diara lilionekana huenda magoli yangepungua Kama sio sare .

6.Pacome aache chenga nyingi akifika golini aidha apige mashuti au atoe pasi ingawa kuna chenga moja alipiga akakatwa na beki ilikuwa penalti ya wazi mshika kibendera akaachia.

7. Aziz ki na maxi walitakiwa wapige Mashuti baada ya mpango wa kupenya lundo la mabeki kushindikana.
Diara mzuri kwenye mipira, ila kwenye kudaka ni wakawaida sana na anafungika.
.Magori ya jana, sioni kosa la metacha.
.Gori la kwanza lilotokana na sako la nyani, na maswali utatoa hutoi, ile kushika kifua kifua, beki ikalegeza jamaa wakapita gori.
.
.Gori la pili ile kaunta, imemkuta jamaa kapiga krosi ikampita beki wa yanga kabla ya mfungaji wa bao. Goli la tatu ile chuma kuvu, golikipa hustukia tu iko nyavuni, beki osipofanya kazi yake.

Goli la kwanza kama uliangalia vizuri bacca alipiga Mpira vibaya badala ya kuokoa akarudisha golini , hii ni dalili ya mwili kuzidiwa akili inataka lakini mwili unakataa.

Goli la pili Yao aliacha gap kulia krosi ikapigwa metacha akashindwa kuruka mapema kublock Krosi na bacca akamsahau mfungaji nyuma yake .
 
Hua anashinda Goli moja hapa
Akienda kule anachukua kuanzia tatu
Simba ni mzuri wa kuheshimu nafasi ya mpinzani wake aliyemzidi uzoefu esp kwenye makundi ndo maana amekuwa akivuka. Akiendelea hivi ni suala la muda ataweza kuvuka robo mara kwa mara.

Real Madrid hata akiwa mbovu, ukikutana nae champion league lazima umheshimu, ukimdharau tu anaweza kukuadhibu hata kama yeye ana kikosi kibovu na wewe usiye na uzoefu una kikosi bora kwa wakati huo.
 
Kwenye michuano ya klabu huwa mara nyingi sana timu zilizopo pot 3 zinasonga mbele hatua inayofuata kwasababu mpangilio wa mechi zinawabeba sana

[/QUOTE]

Sio kweli mkuu tukitolea mfano klabu bingwa msimu uliopita 2022/2023 timu pekee iliyokuwa Pot namba 3 na kufanikiwa kufika robo fainali ilikuwa ni Simba Sc kwenye makundi yote manne,
Sasa wewe mkuu hiyo mara nyingi unayoisemea hapo unatoa reference ya msimu upi labda?
 
Jana Yanga wamepoteza dhidi ya Belouizdad kwa kufungwa goli tatu kwa bila. Kimpira, Yanga alicheza soka safi sana na walikuwa wanapiga mipira ya kasi sana ila safu ya ulinzi ikawa inajisahau sana kurudi, magoli wamefungwa ya counter attacks nadhani ni somo kwao ni vitu vidogo sana vilivyowangusha.

Kuna watu wamewachukulia poa Belouizdad ila kama timu ya wazee wangecheza na hawa jamaa pengine ingejirudia ya zama za magoli matano. Jamaa wanajua kuzitumia nafasi chache wanazozipata. Ili Yanga aweze kufuzu ni lazima, tena lazima apate alama tatu dhidi ya Al Ahly kwa Mkapa.

Kwanini fixture ipo upande wa Yanga?
Yanga atacheza mechi yake ya pili dhidi ya Al Ahly, kama atashinda atakuwa na point 3.Mechi mbili zinafuata zote ni dhidi ya Medeama, hapo inatakiwa Yanga apate point zote sita kwa Medeama. Ili imfanye kufikisha point 9 huku akibakisha michezo miwili (mmoja home na mmoja away).

Kwenye michuano ya klabu huwa mara nyingi sana timu zilizopo pot 3 zinasonga mbele hatua inayofuata kwasababu mpangilio wa mechi zinawabeba sana.
Nivizuri kuweka akiba ya maneno..

Mpira una matokeo ya ajabu sana...

Yanga anaweza kuwa wa mwisho hadi mwisho, au anaweza kuwa wa kwanza.
 
Kuna watu wamewachukulia poa Belouizdad ila kama timu ya wazee wangecheza na hawa jamaa pengine ingejirudia ya zama za magoli matano.

Simba toka ipigwe hizo tano tano kwenye Champions League ameshacheza away na timu kubwa toka huko kaskazini, Wydad Athletic Club, Al Ahly Mara 3 ikiwemo hii droo ya moja moja pale Cairo
Sasa kwa uelewa wako mdogo wa mpira unataka kutuaminisha CR Belouzdad ni hatari zaidi kuliko Al Ahly au Wydad Casablanca just kwakua tu kakupiga 3 kama umesimama?
Yaani kwenye suala la klabu bingwa Simba ni ya kuitishia Belouzdad kweli??? Yaani uweze kubatle na timu namba 1 na namba 2 Africa tena wakiwa mabingwa watetezi uje ututishie Belouzdad ??[emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom