Yani mwanamke ukirudi nyumbani anajaribu kukuchunguza kwa kila aina ya sense aliyonayo bila wewe kujijua

Yani mwanamke ukirudi nyumbani anajaribu kukuchunguza kwa kila aina ya sense aliyonayo bila wewe kujijua

Bila shaka wanaijua harufu ya kule chini kwao ndio maana wanatunusa mi-pipe yetu kujua kama iliingizwa sehemu
 
Women are smart, yooo.

Anakunusa kiaina, anacheza na saikolojia hapo hapo, anajaribu "mind reading", anakuangalia kwa jicho la tatu, etc

Yani wewe unaona mtu anasmile ile amekupokea ila ghafla unashangaa mood swings zinaanza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndio utamu wa Ndoa, inanogesha sana mapenzi
 
Back
Top Bottom