Yani mwanamke ukirudi nyumbani anajaribu kukuchunguza kwa kila aina ya sense aliyonayo bila wewe kujijua

Women are smart, yooo.

Anakunusa kiaina, anacheza na saikolojia hapo hapo, anajaribu "mind reading", anakuangalia kwa jicho la tatu, etc

Yani wewe unaona mtu anasmile ile amekupokea ila ghafla unashangaa mood swings zinaanza😂😂
Acha uzushi. Kwani umewachunguza wanawake wote? Je wanaume hawawachunguzi wanawake? Kwanini unaogopa kuchunguzwa kama hakuna namna mwanangu?
 
Women are smart, yooo.

Anakunusa kiaina, anacheza na saikolojia hapo hapo, anajaribu "mind reading", anakuangalia kwa jicho la tatu, etc

Yani wewe unaona mtu anasmile ile amekupokea ila ghafla unashangaa mood swings zinaanza😂😂
M awadekeza sana hawa kenge.
Nenda nao taliban style tuu
 
Women are smart, yooo.

Anakunusa kiaina, anacheza na saikolojia hapo hapo, anajaribu "mind reading", anakuangalia kwa jicho la tatu, etc

Yani wewe unaona mtu anasmile ile amekupokea ila ghafla unashangaa mood swings zinaanza😂😂
Wa kwangu namuitaga nyoka
 
Huo ndo uanaume sasa😁

Wanaume banaaa anaweza akarudi home maybe akakuta mabadiliko sitting room / sehem yyt hata asiulizee😆 mpk unajiuliza ina maana haoni ama🤣
🤣🤣🤣🤣Hivi kwa nini lakini?kuna mwanasaikolojia mmoja alimalizaga nguvu alisema kina dada huwa mnahaingaika bure,unaenda date unaanza kuhangaika na kumechisha kucha na viatu na kubanio mwenzio hata hafikirii hivyo vitu anawaza mambo me gine kabisaa😂
 
Ni kwa sababu hii moja joana

Mwanaume mind yake haiko sided and multiple kama nyie, tuna guarantee kuona kile kitu kilichobadirika pale tu akili itakapotulia ili itoke katika mazingira iliyotoka.

So sio kwamba tunafanya makusudi ila vision yetu iko hivyo

Ndio maama hatujui rangi hadi leo ,tunachanganya😂😂
 
Yaani huwa mnatushushua sana😂😂😂halafu hapo kwenye rangi ndio kuna tatizo kubwa,yaani nyinyi mnajua primary colours only😇
 
Back
Top Bottom