Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Acha uzushi. Kwani umewachunguza wanawake wote? Je wanaume hawawachunguzi wanawake? Kwanini unaogopa kuchunguzwa kama hakuna namna mwanangu?Women are smart, yooo.
Anakunusa kiaina, anacheza na saikolojia hapo hapo, anajaribu "mind reading", anakuangalia kwa jicho la tatu, etc
Yani wewe unaona mtu anasmile ile amekupokea ila ghafla unashangaa mood swings zinaanza😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu majibu anakupa week ijayo .. wasenge wananusa sana kama mbwa la police
Huo ndo uanaume sasa😁🤣🤣saa nyingine hanaga hata mood ya kusikiliza ujinga namuona kabisa ila atafanyaje
M awadekeza sana hawa kenge.Women are smart, yooo.
Anakunusa kiaina, anacheza na saikolojia hapo hapo, anajaribu "mind reading", anakuangalia kwa jicho la tatu, etc
Yani wewe unaona mtu anasmile ile amekupokea ila ghafla unashangaa mood swings zinaanza😂😂
Kama ile EVA, noma sanaSabuni za kuogea wakati mwingine shida sana.
Comment niliyokuwa naitafuta nimeipata😉Sikuhizi hawana huo muda wananusa hela tu!
Mh! kwanini uitafuteComment niliyokuwa naitafuta nimeipata😉
Mh! Kwanini umeuliza?Mh! kwanini uitafute
Wa kwangu namuitaga nyokaWomen are smart, yooo.
Anakunusa kiaina, anacheza na saikolojia hapo hapo, anajaribu "mind reading", anakuangalia kwa jicho la tatu, etc
Yani wewe unaona mtu anasmile ile amekupokea ila ghafla unashangaa mood swings zinaanza😂😂
🤣🤣🤣🤣Hivi kwa nini lakini?kuna mwanasaikolojia mmoja alimalizaga nguvu alisema kina dada huwa mnahaingaika bure,unaenda date unaanza kuhangaika na kumechisha kucha na viatu na kubanio mwenzio hata hafikirii hivyo vitu anawaza mambo me gine kabisaa😂Huo ndo uanaume sasa😁
Wanaume banaaa anaweza akarudi home maybe akakuta mabadiliko sitting room / sehem yyt hata asiulizee😆 mpk unajiuliza ina maana haoni ama🤣
Ni kwa sababu hii moja joana🤣🤣🤣🤣Hivi kwa nini lakini?kuna mwanasaikolojia mmoja alimalizaga nguvu alisema kina dada huwa mnahaingaika bure,unaenda date unaanza kuhangaika na kumechisha kucha na viatu na kubanio mwenzio hata hafikirii hivyo vitu anawaza mambo me gine kabisaa😂
Yaani huwa mnatushushua sana😂😂😂halafu hapo kwenye rangi ndio kuna tatizo kubwa,yaani nyinyi mnajua primary colours only😇Ni kwa sababu hii moja joana
Mwanaume mind yake haiko sided and multiple kama nyie, tuna guarantee kuona kile kitu kilichobadirika pale tu akili itakapotulia ili itoke katika mazingira iliyotoka.
So sio kwamba tunafanya makusudi ila vision yetu iko hivyo
Ndio maama hatujui rangi hadi leo ,tunachanganya😂😂