KERO Yard ya GSM Mbagala imeongeza tatizo la foleni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
9,024
Reaction score
18,683
Ni kweli tunataka maendeleo ila kiukweli naona kabisa Yard ile kua pale jeshini sio sehemu sahihi. Kwa mtazamo wangu ilibidi isogezwe huko nje ya miji kuliko pale.

Mfano usiku huu malori yamefunga njia moja(yamepaki barabrani) magari yanapita kwa shida kutoka Sabasaba hadi Zakhem.

Mamlaka husika liangalieni hili vinginevyo mnazalisha tatizo kubwa siku zijazo.
 
Screenshot_20260403-213830.png
 
Hahahahahaaaaa ndio hao kina ChoiceVariable na Malaria 2 wanajivunia kupitia kwao waislamu ni matajiri kuliko Wakristo.
 
Ni kweli tunataka maendeleo ila kiukweli naona kabisa Yard ile kua pale jeshini sio sehemu sahihi. Kwa mtazamo wangu ilibidi isogezwe huko nje ya miji kuliko pale.

Mfano usiku huu malori yamefunga njia moja(yamepaki barabrani) magari yanapita kwa shida kutoka Sabasaba hadi Zakhem.

Mamlaka husika liangalieni hili vinginevyo mnazalisha tatizo kubwa siku zijazo.
Aliichangia CCM bilioni kumi
 
Back
Top Bottom