KERO Yard ya GSM Mbagala imeongeza tatizo la foleni

KERO Yard ya GSM Mbagala imeongeza tatizo la foleni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Siyo hiyo tu, kando ya barabara zote za Dar es salaam hivi sasa zimejaa Yard na Bandari kavu bila mpangilio.
Barabara ya Nyerere, Barabara ya Chan'ombe, Mbozi road, barabara za Temeke mpaka Buza, Mbagala Kongowe, nk.
Barabara zimepanuliwa ili kutoa nafuu ya foleni, lakini matajiri nao wametumia mwanya huo huo kujinufaisha na kuongeza ugumu wa maisha kwa wakazi jiji hili.
 
Ni kweli tunataka maendeleo ila kiukweli naona kabisa Yard ile kua pale jeshini sio sehemu sahihi. Kwa mtazamo wangu ilibidi isogezwe huko nje ya miji kuliko pale.

Mfano usiku huu malori yamefunga njia moja(yamepaki barabrani) magari yanapita kwa shida kutoka Sabasaba hadi Zakhem.

Mamlaka husika liangalieni hili vinginevyo mnazalisha tatizo kubwa siku zijazo.
Tuache wivu na kumshambulia gsm bila sababu,jadilini tatizo na kutoa maoni jinsi ya kulitatua.Huyo gsm mnayemsema mnajua amewaajiri watanzania wangapi kwenye biashara zake?
 
Ni kweli tunataka maendeleo ila kiukweli naona kabisa Yard ile kua pale jeshini sio sehemu sahihi. Kwa mtazamo wangu ilibidi isogezwe huko nje ya miji kuliko pale.

Mfano usiku huu malori yamefunga njia moja(yamepaki barabrani) magari yanapita kwa shida kutoka Sabasaba hadi Zakhem.

Mamlaka husika liangalieni hili vinginevyo mnazalisha tatizo kubwa siku zijazo.
Africans leaders have no brain
 
Kuna nyingine iko pale Sokoni kama unaenda tazara upande wa kulia...yaan vitu vya ajabu
Kuna ile ukifika Tazara karibu na njia ya panda ya vigunguti.panaitwa karakana Sijui mchicha,..yale maroli yanasababishaga foleni njia ya airport na soon hiyo barabara ya airport itaharibika tu. Na baadhi ya siku yatakuwa yanavamia mwendokasi na vituo vyake

Imagine njia ya airport inakuwa na maroli
 
Back
Top Bottom