fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Una ushahidi au ni kutuhumu tuHUO NI MNYORORO WA KIKWETE NA MMILIKI WA YANGA
Una ushahidi au ni kutuhumu tuHUO NI MNYORORO WA KIKWETE NA MMILIKI WA YANGA
Hii ndio comment ya maana inayoelezea tatizo bila kutoa shutuma zisizo na ushahidiKuna ile ukifika Tazara karibu na njia ya panda ya vigunguti.panaitwa karakana Sijui mchicha,..yale maroli yanasababishaga foleni njia ya airport na soon hiyo barabara ya airport itaharibika tu. Na baadhi ya siku yatakuwa yanavamia mwendokasi na vituo vyake
Imagine njia ya airport inakuwa na maroli
Una ushahidi na usemayo?Msoga ana hisa nyingi hapo.....
Hio kampuni ni untouchable
Wivu uko wapi? Hakuna alieshambuliwa. Mtoa mada kasema malori ya GSM yanaegeshwa barabarani na kusababisha foleni. Unataka kujua jinsi ya kutatua hii kero? Sio rocket science malori yasiegeshwe barabarani. Kutoa ajira sio kigezo cha kuegeaha magari kinyume na taratibu auk kufanya unavyotaka.Tuache wivu na kumshambulia gsm bila sababu,jadilini tatizo na kutoa maoni jinsi ya kulitatua.Huyo gsm mnayemsema mnajua amewaajiri watanzania wangapi kwenye biashara zake?
TUkutane mahakamaniUna ushahidi na usemayo?
Kabisa,kwa wale wanawezaSoon wanachukua na lugalo, ni suala la muda tu
Huyu anajali uchawa zaidiWivu uko wapi? Hakuna alieshambuliwa. Mtoa mada kasema malori ya GSM yanaegeshwa barabarani na kusababisha foleni. Unataka kujua jinsi ya kutatua hii kero? Sio rocket science malori yasiegeshwe barabarani. Kutoa ajira sio kigezo cha kuegeaha magari kinyume na taratibu auk kufanya unavyotaka.
Haya,sawa.Lakini hoja yangu ni kwamba uongo,uvivu,ndio vimetutawala.Hata akishinda huyo kiongozi mumtakaye,naye baada ya muda mtamshutumu hivihivi bila ushahidiTUkutane mahakamani
Soma shutuma zinazotolewa juu ya hoja hiyo,mimi nazungumzia shutuma juu ya hoja hiyo sio hoja yenyeweWivu uko wapi? Hakuna alieshambuliwa. Mtoa mada kasema malori ya GSM yanaegeshwa barabarani na kusababisha foleni. Unataka kujua jinsi ya kutatua hii kero? Sio rocket science malori yasiegeshwe barabarani. Kutoa ajira sio kigezo cha kuegeaha magari kinyume na taratibu auk kufanya unavyotaka.
Una ushahidi na usemayo?
Jikite kwenye mada. Malori ya huyo unaemtetea yanaleta kero ya foleni. Waambie waegeshe ndani ya yard yao. Barabara ni ya wote sio yao tu. Tujadili mada ya nje ya mada tuyaache. Au wewe unaona sawa malori yao yazuie njia kisa wanatoa ajira?Soma shutuma zinazotolewa juu ya hoja hiyo,mimi nazungumzia shutuma juu ya hoja hiyo sio hoja yenyewe
Kile kichwa chake kishapitisha hewa kadiri siku zinavyokwenda akili zinazidi kupukutika kichwani mwake, sidhani kama hili anaweza kulionaMkuu wa mkoa anasemaje???
Ova
Mimi nimekiri dhahiri shahiri kuwa hoja ni nzuri na wengin e waliotoa hoja au kuijadili hoja nimewapingeza,nachokataa ni kumshutumu huyo anayesemekana mwenye hayo malori,ati mara ana shea na kikwete,mara i mwizi,mara kaitia serikali mfukoniJikite kwenye mada. Malori ya huyo unaemtetea yanaleta kero ya foleni. Waambie waegeshe ndani ya yard yao. Barabara ni ya wote sio yao tu. Tujadili mada ya nje ya mada tuyaache. Au wewe unaona sawa malori yao yazuie njia kisa wanatoa ajira?
Soma hoja yangu vizuri,sikatai hoja ya malori kuzuia njia,nachokataa ni kumshutumu huyo mwenye malori mara kaiweka serikali mfukoni,mara ana shea na kikwete,mara oh serikali haina nguvu kwake.Jikite kwenye mada. Malori ya huyo unaemtetea yanaleta kero ya foleni. Waambie waegeshe ndani ya yard yao. Barabara ni ya wote sio yao tu. Tujadili mada ya nje ya mada tuyaache. Au wewe unaona sawa malori yao yazuie njia kisa wanatoa ajira?
Kuna ile ukifika Tazara karibu na njia ya panda ya vigunguti.panaitwa karakana Sijui mchicha,..yale maroli yanasababishaga foleni njia ya airport na soon hiyo barabara ya airport itaharibika tu. Na baadhi ya siku yatakuwa yanavamia mwendokasi na vituo vyake
Imagine njia ya airport inakuwa na maroli
Na lile ni eneo la jeshi. Siku za nyuma wajeshi walikuwa wanafurusha magari yanayojipitisha ovyo kando zileHakuna kitu mamlaka itawafanya hao Waarabu. Hata madereva wanajua hakuna mtu anaweza kuwafanya chochote.
duh inchii hii ngumu sana.Na lile ni eneo la jeshi.