KERO Yard ya GSM Mbagala imeongeza tatizo la foleni

KERO Yard ya GSM Mbagala imeongeza tatizo la foleni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Soma hoja yangu vizuri,sikatai hoja ya malori kuzuia njia,nachokataa ni kumshutumu huyo mwenye malori mara kaiweka serikali mfukoni,mara ana shea na kikwete,mara oh serikali haina nguvu kwake.
Tatizo la uchawa linamaliza uwezo wa kufikiri.
Kwa akili yako fupi huoni hayo malori yanastahili kupigwa chain za jiji kama zinavyofanyiwa gari nyingine zikipaki hovyo!
 
Kuna ile ukifika Tazara karibu na njia ya panda ya vigunguti.panaitwa karakana Sijui mchicha,..yale maroli yanasababishaga foleni njia ya airport na soon hiyo barabara ya airport itaharibika tu. Na baadhi ya siku yatakuwa yanavamia mwendokasi na vituo vyake

Imagine njia ya airport inakuwa na maroli
Ajabu iliyojee.
 
Tatizo la uchawa linamaliza uwezo wa kufikiri.
Kwa akili yako fupi huoni hayo malori yanastahili kupigwa chain za jiji kama zinavyofanyiwa gari nyingine zikipaki hovyo!
Unajua akili zako zinakutosha wewe,mtu anapoleya hoja ya masna mnakumbilia eti chawa,sasa kwa mtu kama mimi ambae sijawahi kuwa na chama toka ujana wangu hadi leo huo uchawa nautoa wapi? Muda nilioishi Tanzania sio mwingi kiasi cha kuwa chawa wa chama fulani,na hata maisha yangu kwa Tanzania huwa huwa ni ya kuingia na kutoka siwezi kuwa na chama,tujadili hoja tuache bangi
 
Hakuna kitu mamlaka itawafanya hao Waarabu. Hata madereva wanajua hakuna mtu anaweza kuwafanya chochote.
Alitoa 10bil uchaguzi uliopita.
Maswali yangu ni alipataje hilo eneo

Ila kwa uhalisia Hapo wapewe muda maalumu wa kushusha na kupitisha magari, nayo iwe kuanzia saa4 usiku hadi saa 11 asubuhi
 
Alitoa 10bil uchaguzi uliopita.
Maswali yangu ni alipataje hilo eneo

Ila kwa uhalisia Hapo wapewe muda maalumu wa kushusha na kupitisha magari, nayo iwe kuanzia saa4 usiku hadi saa 11 asubuhi
Ok uzuri alitoa huo mchango hadharani,kwamba alipataje hilo eneo kama wapo waandishi wa habai makini wafanye uchunguzi,pia umetoa pendekezo zuri
 
Jikite kwenye mada. Malori ya huyo unaemtetea yanaleta kero ya foleni. Waambie waegeshe ndani ya yard yao. Barabara ni ya wote sio yao tu. Tujadili mada ya nje ya mada tuyaache. Au wewe unaona sawa malori yao yazuie njia kisa wanatoa ajira?
Hawawezi kukuelewa

Ova
 
Wivu uko wapi? Hakuna alieshambuliwa. Mtoa mada kasema malori ya GSM yanaegeshwa barabarani na kusababisha foleni. Unataka kujua jinsi ya kutatua hii kero? Sio rocket science malori yasiegeshwe barabarani. Kutoa ajira sio kigezo cha kuegeaha magari kinyume na taratibu auk kufanya unavyotaka.
Hivi ICD yao pale changombe mataa ishakamilika,naona bomb lingine la foleni pale litazidi

Ova
 
Nilikua na msikiliza Dr Mwinyi kuna clip alikua anazungumzia ishu hizi hizi miundo mbinu holela na biashara holela dah Sijui why yule mshikaji hajakua rais wa huku malawi.
Magu alitakaga huyo ndio awe makamu wake lile jambazi la msoga likalazimisha awekwe huyu taahira wetu
 
Back
Top Bottom