KERO Yard ya GSM Mbagala imeongeza tatizo la foleni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hii ndio comment ya maana inayoelezea tatizo bila kutoa shutuma zisizo na ushahidi
 
Tuache wivu na kumshambulia gsm bila sababu,jadilini tatizo na kutoa maoni jinsi ya kulitatua.Huyo gsm mnayemsema mnajua amewaajiri watanzania wangapi kwenye biashara zake?
Wivu uko wapi? Hakuna alieshambuliwa. Mtoa mada kasema malori ya GSM yanaegeshwa barabarani na kusababisha foleni. Unataka kujua jinsi ya kutatua hii kero? Sio rocket science malori yasiegeshwe barabarani. Kutoa ajira sio kigezo cha kuegeaha magari kinyume na taratibu auk kufanya unavyotaka.
 
Huyu anajali uchawa zaidi
😄

Ova
 
Soma shutuma zinazotolewa juu ya hoja hiyo,mimi nazungumzia shutuma juu ya hoja hiyo sio hoja yenyewe
 
Soma shutuma zinazotolewa juu ya hoja hiyo,mimi nazungumzia shutuma juu ya hoja hiyo sio hoja yenyewe
Jikite kwenye mada. Malori ya huyo unaemtetea yanaleta kero ya foleni. Waambie waegeshe ndani ya yard yao. Barabara ni ya wote sio yao tu. Tujadili mada ya nje ya mada tuyaache. Au wewe unaona sawa malori yao yazuie njia kisa wanatoa ajira?
 
Mimi nimekiri dhahiri shahiri kuwa hoja ni nzuri na wengin e waliotoa hoja au kuijadili hoja nimewapingeza,nachokataa ni kumshutumu huyo anayesemekana mwenye hayo malori,ati mara ana shea na kikwete,mara i mwizi,mara kaitia serikali mfukoni
 
Jikite kwenye mada. Malori ya huyo unaemtetea yanaleta kero ya foleni. Waambie waegeshe ndani ya yard yao. Barabara ni ya wote sio yao tu. Tujadili mada ya nje ya mada tuyaache. Au wewe unaona sawa malori yao yazuie njia kisa wanatoa ajira?
Soma hoja yangu vizuri,sikatai hoja ya malori kuzuia njia,nachokataa ni kumshutumu huyo mwenye malori mara kaiweka serikali mfukoni,mara ana shea na kikwete,mara oh serikali haina nguvu kwake.
 
Ni swala la muda tu. Hii nchi haina sheria wala utaratibu. Ni mwenye hela/nguvu mpishe. Hiyo miviongozi wenyewe haiwezi tia neno mbele yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…