Tatizo la uchawa linamaliza uwezo wa kufikiri.Soma hoja yangu vizuri,sikatai hoja ya malori kuzuia njia,nachokataa ni kumshutumu huyo mwenye malori mara kaiweka serikali mfukoni,mara ana shea na kikwete,mara oh serikali haina nguvu kwake.
Tena umuambie kwa utuo, asiseme hakuambiwa. LolUnataka kutekwa?
MmmmhYah mwinyi ana historia ya kuwa na nizamu kazini, na mpenda hali
[emoji23][emoji23][emoji23]Nabado mpaka ng'ombe atoe damu na sio maziwa.,CCM wala hawajali.
[emoji23][emoji23][emoji23]Msijali foleni itapungua tutakapo anza kulipia Kodi ya kupita njia Kuu:
Vi Vitz namba A viishie Mwanaromango, na viguta
Kwahiyo unataka kusemajee labdaa??Tuache wivu na kumshambulia gsm bila sababu,jadilini tatizo na kutoa maoni jinsi ya kulitatua.Huyo gsm mnayemsema mnajua amewaajiri watanzania wangapi kwenye biashara zake?
Ajabu iliyojee.Kuna ile ukifika Tazara karibu na njia ya panda ya vigunguti.panaitwa karakana Sijui mchicha,..yale maroli yanasababishaga foleni njia ya airport na soon hiyo barabara ya airport itaharibika tu. Na baadhi ya siku yatakuwa yanavamia mwendokasi na vituo vyake
Imagine njia ya airport inakuwa na maroli
Nachosema tujadili hoja zenye mashiko na tunapomtuhumu mtu tuje na ushahidi.Ni kweli malori yanaleta shida lakini kumtuhumu mtu kuwa ni mwizi bika ushahidi sio sawaKwahiyo unataka kusemajee labdaa??
Unajua akili zako zinakutosha wewe,mtu anapoleya hoja ya masna mnakumbilia eti chawa,sasa kwa mtu kama mimi ambae sijawahi kuwa na chama toka ujana wangu hadi leo huo uchawa nautoa wapi? Muda nilioishi Tanzania sio mwingi kiasi cha kuwa chawa wa chama fulani,na hata maisha yangu kwa Tanzania huwa huwa ni ya kuingia na kutoka siwezi kuwa na chama,tujadili hoja tuache bangiTatizo la uchawa linamaliza uwezo wa kufikiri.
Kwa akili yako fupi huoni hayo malori yanastahili kupigwa chain za jiji kama zinavyofanyiwa gari nyingine zikipaki hovyo!
Alitoa 10bil uchaguzi uliopita.Hakuna kitu mamlaka itawafanya hao Waarabu. Hata madereva wanajua hakuna mtu anaweza kuwafanya chochote.
Ok uzuri alitoa huo mchango hadharani,kwamba alipataje hilo eneo kama wapo waandishi wa habai makini wafanye uchunguzi,pia umetoa pendekezo zuriAlitoa 10bil uchaguzi uliopita.
Maswali yangu ni alipataje hilo eneo
Ila kwa uhalisia Hapo wapewe muda maalumu wa kushusha na kupitisha magari, nayo iwe kuanzia saa4 usiku hadi saa 11 asubuhi
Akili zako ziko matakoni,ndio maana unawaza kila mtu ni chawaTatizo la uchawa linamaliza uwezo wa kufikiri.
Kwa akili yako fupi huoni hayo malori yanastahili kupigwa chain za jiji kama zinavyofanyiwa gari nyingine zikipaki hovyo!
Hawawezi kukuelewaJikite kwenye mada. Malori ya huyo unaemtetea yanaleta kero ya foleni. Waambie waegeshe ndani ya yard yao. Barabara ni ya wote sio yao tu. Tujadili mada ya nje ya mada tuyaache. Au wewe unaona sawa malori yao yazuie njia kisa wanatoa ajira?
Hivi ICD yao pale changombe mataa ishakamilika,naona bomb lingine la foleni pale litazidiWivu uko wapi? Hakuna alieshambuliwa. Mtoa mada kasema malori ya GSM yanaegeshwa barabarani na kusababisha foleni. Unataka kujua jinsi ya kutatua hii kero? Sio rocket science malori yasiegeshwe barabarani. Kutoa ajira sio kigezo cha kuegeaha magari kinyume na taratibu auk kufanya unavyotaka.
Kwala huko wamepa potezea kabisa,mizigo ya transit yote ilitakiwa iwe hukoHivi mpango wa kupeleka makontena yanayokwenda nje ya Dar bandari kavu ya Kwala umekwama wapi?
Magu alitakaga huyo ndio awe makamu wake lile jambazi la msoga likalazimisha awekwe huyu taahira wetuNilikua na msikiliza Dr Mwinyi kuna clip alikua anazungumzia ishu hizi hizi miundo mbinu holela na biashara holela dah Sijui why yule mshikaji hajakua rais wa huku malawi.