Yatakayoendelea kutoka sasa hadi Oktoba mwaka huu si mazuri kwa CCM

Kuzika usiku wa manane ni snema mlizotengeneza nyinyi na tunawajua.
takwimu ni namba wala hazisaidii kupunguza corona kikubwa ni kuwa na tahadhari.corona haikuletwa na serikali.
Pambana na hali yako.
 
Wala SIJICHANGANYI...
KWANI MADUDU YOTE HAPO JUU YALIFANYIKA MIKONONI MWA RAIS MAGUFULI?!!
YALIFANYIKA AWAMU YA 5?!!!!
 
N
Wala SIJICHANGANYI...
KWANI MADUDU YOTE HAPO JUU YALIFANYIKA MIKONONI MWA RAIS MAGUFULI?!!
YALIFANYIKA AWAMU YA 5?!!!!
Na NDIYO Maana tukasema awamu hii NI SPECIAL kulirudisha taifa LILIKOPOTEA......
 
Kuzika usiku wa manane ni snema mlizotengeneza nyinyi na tunawajua.
takwimu ni namba wala hazisaidii kupunguza corona kikubwa ni kuwa na tahadhari.corona haikuletwa na serikali.
Pambana na hali yako.
Yaani WANARUKARUKA KM TUMBILI
(maneno ya profesa Muhongo kumwambia KOMREDI DAVID KAFULILA KIPINDI KILE KABLA HAJAJITAMBUA).
 
Na watakamatwa sana kama watajifanya wakaidi katika kufuata sheria na taratibu. Kama wanadhani jumuiya za kimataifa ndiyo zitawasaidia basi wamefeli sana.

Tofautisha Sheria na maagizo.Au kuna sheria mbili za ccm na za upinzani.
Uoga wa nn mnamiliki diamond Hadi harmonize still amjiamini
 
Akili za Serengeti national Park!
Sasa mtu kama wewe unaechukua posho ya mlo wako wa kila siku pale lumumba utakubaliana vipi na ukweli huu.Sidhani kama una hoja ya msingi ya kukinzana na ukweli huu.Najua hoja zenu ni tumejenga sijui nini tumefanya niki na kile haya ni mambo ya msingi ambayo hata mimi mwananchi nayaunga mkono.Mambo ya ovyo yanayofanywa na awamu hii na ccm mbona yanaonekana dhahiri kama unayaona ila unakengeuka niko chini ya miguu yako kwa ruhusa yako nakuomba nakuomba nikuite mpumbavu kwa leo tu na kwenye hii thread tu na wote wanaoutambua ukweli waseme ameen!
 
Unapoteza muda kumuelewesha mtu ambae anajua kabisa ukweli ila hawez kuuweka wazi kwa sababu utamgandamiza yeye
 
Yalifanyika chini ya utawala wa CCM, Magu akiwa waziri.
Tatizo VIJANA wa CDM NI WEPESI SANA,SIJAPATAPO KUMUONA SMART CRITIC miongoni mwa MAGENGE YENU...
Hamhifadhi kumbukumbu ya YANAYOTOKEA HAPA NCHINI...

NIWAKUMBUSHE NYINYI matopolo...
Wakati akiweka msingi wa flyover pale ubungo mh.Magufuli alimwambia mh.PINDA kuwa KIPINDI akiwa waziri wa UJENZI alitaka kulivunja lile jengo la TANESCO UBUNGO(kwa kutofuata taratibu za barabara)..akasema HAKUWEZA KUTIMIZA HILO KWA KUWA HAKUWA NA MENO NA ALITII ALIPOZUIWA NA WAZIRI WAKE MKUU,ILA SASA AMEKUWA NDIO TOP...AMEZIVUA ZILE PINGU ALIZOVISHWA....
Karibu jichupa la FARU JOHN hapa kwi kwi kwi in Bulaya voice
 
Ast
naendelea kumuomba mungu amuue huyu jamaa!kwa vyovyote vile!!
Astaghafirrullah....

KIPINDI KILE WALE WOTE WALIOMUOMBEA LOWASSA AONDOKE DUNIANI...walitangulia wao kwi kwi kwi,mwenzao ANADUNDA na karibuni hivi YEYE NA MKEWE WAMEMDHAMINI MH.RAIS.....
Mwenyezi asiipokeee DUA YAKO aaamin aaaamin
 
Acha kutetea u-dikteta na u-nduli uliopo. Nchi inaelekea pabaya sana siku hizi.
 
Wana hofu ya kushindwa hao wanaweweseka
Tutawachapa hadi waikimbie siasa
Wewe hujijui tu, tuulize sisi ambao tunaifahamu CCM vizuri. Kijana wakeup, unatumika kama KONDOMU na mwishowe utatupwa huko kama GAMBO. Shauri yako.
 
Ki Kila anayewajibu kwa hoja mnasema anachukua POSHO sijui wapi kwi kwi kwi wengine tunakula Bata mbugani Sadani huku,mbeleni tuko na chupa kubwaaa km zile FARU JOHN za mwenyekiti desh desh...
Vichwa vyetu VINA THAMANI ZAIDI YA HIO POSHO YA LUNCH...matopolo nyinyi kwi kwi kwi in Hallima Mdee voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…