Yatakayoendelea kutoka sasa hadi Oktoba mwaka huu si mazuri kwa CCM

Aisee....
Ngoja nipupute mchanga kwenye gari kwanza
 

Nchi zote zenye viongozi wenye mitazamo ya kikomunisti hujenga hofu kwa wananchi, na hutengeza mapenzi ya shuruti. Mara nyingi viongozi wa aina hiyo huwa hawaheshimu box la kura kwani wanajua watapata matokeo yasiyowafurahisha. Na huwa wanahakikisha wapinzani wao hawapati nafasi yoyote ya kuwa karibu na wananchi, kwani wanajua fika watu hawana mapenzi nao, zaidi ya hofu.
 

Mtu mwenye hoja hawezi kuandika, kisha akawa anachanganya herufi kubwa na ndogo.
 
Ila naona sasa hawa jamaa wanaotunyanyasa wanatusaidia kuonyesha unyama na udhalimu wa CCM. Nawasihi endeleeni tu kutupiga na kutubambikia kesi nimegundua nyie ni msaada kwetu kuionyesha dunia kuwa CCM siyo chama cha siasa tena bali ni genge la kihalifu linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
 
Kama alikuwa msafi angejiuzulu, kuendelea kuwa mmoja wao maana yake anayakubali maovu yote.
 
Wewe hujijui tu, tuulize sisi ambao tunaifahamu CCM vizuri. Kijana wakeup, unatumika kama KONDOMU na mwishowe utatupwa huko kama GAMBO. Shauri yako.
Yaani kweli VIJANA waCDM mapopoma... KOMREDI Mrisho Gambo Wala HAJATUMIKA NA WALA HAJATUPWA....
Kwani aliokwambia nafasi za UTEUZI NI professional yenye hatimiliki EEE?
Kwanza Gambo ameshakuwa RC na anaweza akateuliwa tena POPOTE km ALIVYOTEULIWA TENA MH.MWIGULU NCHEMBA....
Karibu Cha "mwenyekiti" hapa lol!
 
Amefuata nyayo za Magesa Mulongo, unaweza kutuambia alipo we mlamba MASABURI?
 
N
Kama alikuwa msafi angejiuzulu, kuendelea kuwa mmoja wao maana yake anayakubali maovu yote.
Ni rahisi kiasi hicho EEE?!!!
Kutokujiuzulu kumembakisha akiwa na NGUVU ZAIDI ya kutenda Yale ALIYOZUIWA....
HUYO NDIYE MWANAUME WA CHATO...

Pamoja na tuhuma lukuki kwa miaka 20 Sasa dhidi ya mh.FARU JOHN ndani ya chama Cha UTOPOLO,kamwe HAJAJIUZULU....
 
Hii mada ilivyoandikwa kama uponje ya nchi unaweza dhani tanzania kunahali mbaya ya amani,watu hawatoki nje,polisi wamezagaa mitaani.
Wakati sikweli ni maandishi tu mtoa mada kaandika.
Sure komredi yaani we acha tu..kweli jamaa wasanii....lakini unategemea nini ilihali viongozi wao WOTE wanafanana....
Hebu ANGALIA SQUAD HII...
1.Mbowe
2.Lissu
3.Mnyika
4.Mdee
5.Msigwa
6.Lema

HAWA HAWANA UHARAKATI WA MASHIKO WOWOTE BALI WABWABWAJI na WABISHI WA KILA KITU.....
 
Vipi Membe bado ndo mgombea uraisi kwa ticket ya CCM na bado ni suala la muda tu!?., Nimegundua watanzania kwa kujipa matumaini mwaweza kuwa mnaongoza duniani.
 
Ndiyo yeye ni suala la muda tu.
Hahahaa.... Mwisho wa kurudisha fomu kwa CCM ni jumanne tarehe 30 June. Na tarehe 11 July anachaguliwa mgombea kwa ticket ya CCM. Sasa huyo Membe labda aje huko CHADEMA au aende ACT/NCCR labda.
 
Hahahaa.... Mwisho wa kurudisha fomu kwa CCM ni jumanne tarehe 30 June. Na tarehe 11 July anachaguliwa mgombea kwa ticket ya CCM. Sasa huyo Membe labda aje huko CHADEMA au aende ACT/NCCR labda.
Lolote laweza tokea
 
Bosi wako mzungu ndio ameenda huko.Lazima aende na mtumishi wake wa kazi za ndani na ndio maana amekuchukua na wewe
 
Huo ndiyo ukweli, hata watumishi siku hizi utakuta wanauliza hivi jamani wiki hii hakuna holly day tupumzike na hii mikazi!

Watu hawana tena ule moyo wa kujitolea wala mshikamano tena
 
Hakuna msafi CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…