Yatakayoendelea kutoka sasa hadi Oktoba mwaka huu si mazuri kwa CCM

Hahahaa.... Mwisho wa kurudisha fomu kwa CCM ni jumanne tarehe 30 June. Na tarehe 11 July anachaguliwa mgombea kwa ticket ya CCM. Sasa huyo Membe labda aje huko CHADEMA au aende ACT/NCCR labda.

Mgombea wa ccm anachaguliwa au anajichagua, kisha anaipa kamati kazi ya kumtangaza?
 
Bosi wako mzungu ndio ameenda huko.Lazima aende na mtumishi wake wa kazi za ndani na ndio maana amekuchukua na wewe
Ha ha ha kweli boss huyu bilionea yaani ana house boy kijana mwenye PhD akiwa na early thirties kwi kwi kwi UTOPOROOOO,wanaonijua wananisifu HOUSE BOY mm msomi Masha Allah.
KALAGHABAHO.
 
Wala SIJICHANGANYI...
KWANI MADUDU YOTE HAPO JUU YALIFANYIKA MIKONONI MWA RAIS MAGUFULI?!!
YALIFANYIKA AWAMU YA 5?!!!!
Yeye mwenye awamu yake hii anakuwaje msafi kwa mfano ilihali kakulia na kuzeekea ccm? Yaani alikuwa sehemu ya dhambi zote hizo for 20 yrs halafu Leo hii awe msafi? How? Hivi fisi akibahatika kuishi na mbuzi hubadilika tabia yake?
Usiitese nafsi yako kwa kiasi hicho japo I know ni kwanini unaitetea ccm! Kwa akili ya kawaida tu huitetei ccm Bali tumbo lako!
 
Nitajie mambo manne tu ya kweli ya MAENDELEO yalivyoletwa na jiwe ambayo mtu mwingine au wewe ungekuwa rais yasingekuwepo leo.
 
Hayo yote na mabaya zaidi yanafanyika tofauti ni kwamba hakuna mtu wa kukosoa tena manake Tundu Lissu na wahanga wengine walijaribu kukosoa na wote tunajua yaliyowapata. Hakuna uhuru wa kuongea na mengi hayajulikani.
 
Nitajie mambo manne tu ya kweli ya MAENDELEO yalivyoletwa na jiwe ambayo mtu mwingine au wewe ungekuwa rais yasingekuwepo leo.
Swali lako litengeneze KIWELEDI...huwezi kusema ningekuwa mm Rais yasingekuwepo....
 
Ha ha ha kweli boss huyu bilionea yaani ana house boy kijana mwenye PhD akiwa na early thirties kwi kwi kwi UTOPOROOOO,wanaonijua wananisifu HOUSE BOY mm msomi Masha Allah.
KALAGHABAHO.
Weka Title ya Thesis yako hapo sio unabwabwaja kama Pampous Headed Dweeb
 
Hayo yote na mabaya zaidi yanafanyika tofauti ni kwamba hakuna mtu wa kukosoa tena manake Tundu Lissu na wahanga wengine walijaribu kukosoa na wote tunajua yaliyowapata. Hakuna uhuru wa kuongea na mengi hayajulikani.
ALIKUWA ni Dr slaa aliyeibua mengi ya hayo...usiseme amepewa ubalozi kitakrima Bali kwa usomi na UZALENDO wake juu ya nchi hii.....
Kwa Upande wa CCM whirstleblowers walikuwa ni kina MAREHEMU shelukindo(Mr&Mrs)mola awalaze mahali pema aamin na wale WABUNGE 10 WALIOBATIZWA UTUME kwa UZALENDO wao akiwemo Dr Mwakyembe.
Kwa hiyo usiongope kusema hatimiliki ya VILIPUZI iko kwa Tundu Lissu TU.
 
Mimi ningekuona mchambuzi wa siasa makini kama ungejengea hoja Sera na Mikakati mbadala za maendeleo. Kuendelea kulalamika na kulaumu, wakati nchi inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu, ni kutokujua mahitaji ya wapiga kura.

Wapiga kura wamesikia na wanaona yanayofanywa na Serikali iliyoko mdarakani na ya vyama vya upinzani. Labda kama unaamini wote ni vipofu au viziwi. Lakini, ili kuwaondoa kwenye reli waliyoipanda yabidi waonyeshwe reli mbadala iliyo bora zaidi.
 
Facts,dozee dozeee!
 
Barkiwa kwa ujumbe uliotukuka
 
A
Amen
 
Hakuna nchi duniani ilitoa takwimu za kweli kuhusu korona... tafuta kiki mpya.

Trump ameilalamikia nchi yake kuwa taarifa zilikuwa zinapikwa ili kumuangusha kisiasa.

Nchi za Afrika zili inflate data ili zipate misaada mikubwa...

Kuna vijihoja mnavyotoa tunashindwa kuunga mkono.
 
Wachapakazi tunaifurahia zaidi awamu hii..

Nafurahi sikutani na watoto wa vigogo waliokuwa wakiuliza unajua babangu ninani?
Tangu misingi ya dunia iwekwe hakujawahi kuwa na awamu ya hovyo kama hii ya tano inayoongozwa na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…