Yatakayoendelea kutoka sasa hadi Oktoba mwaka huu si mazuri kwa CCM

Lijuakali alielezea jinsi walivyoina kura...
 
Hata wewe huna uhuru?
Nguvu zako ndio zimeishia hapa jf?
Hayo yote na mabaya zaidi yanafanyika tofauti ni kwamba hakuna mtu wa kukosoa tena manake Tundu Lissu na wahanga wengine walijaribu kukosoa na wote tunajua yaliyowapata. Hakuna uhuru wa kuongea na mengi hayajulikani.
 
Huo utaratibu ndio umeanza leo?

Kuna walioshughulikiwa walipochukua forms za uenyekiti wakaikimbia chadema...

NO hukuyaona hayo....

Hii ni ccm mpya inajinasibu kuachana na mazoea, je ni kweli imeachana na mazoea kwa vitendo? Hao walioshughulikiwa baada ya kuchukua fomu, huko walikokimbilia ndiko walikotokea kwa malalamiko hayo hayo ya kutotendewa haki! Je tuwaeleweje, ni uchu wa madaraka au ni waendekeza siasa chafu? Kwanini wasianzishe vyama vyao ili tuone wanachomiss kwenye vyama vya wengine?
 
Tafit ya polepole ilifata viwango vyote vya utafit?
 
Ikiwa ccm unaita chafu....
Ikiwa chadema kwann wasianzishe vyama vyao...
Nimekusoma kaka
 
Mwandiko mkubwa hoja zero
 
Achana na mtu anaepapaswa kupata buku 7
 
Na watakamatwa sana kama watajifanya wakaidi katika kufuata sheria na taratibu. Kama wanadhani jumuiya za kimataifa ndiyo zitawasaidia basi wamefeli sana.
Furushi uhakika wa msosi huna upo kusifia na kupongeza
 
Katika watu mavi kichwani ni wewe kweli elimu haimsaidii mtu
 
siku milija ya buku 7 ikikata mbona tutaongea vizuri
 
Kama zilivyo siasa chafu za kuamini ccm inaiba kura kaka....

Lijuaz kataja hadi majina na step kwa step.

Lijualikali kusema haitakiwi iisihie hapo, hiyo ni jinai na mahamani ndio angeweza kudhibitisha hayo anayosema. Kinyume na hapo ni siasa chafu.
 
Ikiwa ccm unaita chafu....
Ikiwa chadema kwann wasianzishe vyama vyao...
Nimekusoma kaka

Acha kupotosha nilichosomea, nimesema waliondoka ccm kwa kwa malalamiko hayo hayo, na sasa wameondoka cdm kwa malalamiko hayo hayo. Ni kwanini wasianzishe vyama vyao tukaona haki wanayoisema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…