Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Unaambiwa kwa sasa Mayahudi wanaishi kama panya ndani ya mahandaki ya nyumba zao.
Maana Iran inaporomosha mvua ya makombora na drones za maangamizi kila siku. Mikusanyiko ya watu imepigwa marufuku, waandishibwa habari wamepigwa marufuku kutoa taarifa, Mji wa Telaviv umegeuka kuwa ghost city! Shughuli za usafiri wa anga zimesitishwa!
Yote haya yanasababishwa na kikundi cha watu wachache wanaopenda kuona dunia ni uwanja wa vita na fujo! Badala ya kuwa kisiwa cha amani.