Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.

Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.

Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.

Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.

Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.

Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….

View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012

Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.

Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.

Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!

Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.

Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.

Natumaini hayo makubaliano yatadumu.

Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.

Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.

They far exceeded my wild expectations!!

NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Hatari sana
 
Umekimbilia kwenye personal attack hiyo ni ishara wewe ndo unamatatizo ya akili kwanini usijikite kwenye hoja

umesema marekani ni greatest country nimekuuliza swali mbona unashangilia iran kumshinda marekani kumbe iran kamshinda greatest country marekani

KUMBE HUWEZI HIMILI KUKOSOLEWA ILA UNAPENDA KUKOSOA

Jitahidi uwe na consistency na hoja zako
Unaona sasa….ndo maana nikauliza kama una mtindio wa ubongo au la!

Vita iliyopo ni kati ya Israel na Iran.

Sasa Iran kamshinda wapi Marekani?

Marekani ndo nchi yenye jeshi lenye nguvu zaidi hapa duniani.

Iran itaishindaje Marekani kijeshi?

Unaongelea vitu ambavyo hata sijavizungumzia.

Kijeshi Marekani na Iran wala hakuna cha kulinganisha.

Mimi nimezungumzia Iran kupambana na Israel na Iran kuilipua Israel halafu wewe unasema nashangilia Iran kuishinda Marekani!

Unanipotezea muda wangu tu. Kabishane na majuha wenzio huko.

You’re ignored.
 
Soma vita vyote vya Israel tokea mwaka 1947 mwanzoni anaonekanaga ameshindwa ila counter attack zake huwaga ni balaa
Israel/wayahudu hawajawai kushinda kwa nguvu za kijeshi katika vita yoyote ile
huwa inatumia propaganada ya kuwa vita imesitishwa au wataacha kwa dkk kadhaa au kupeleka false information then wanafanya ambush ghafra fuatilia vita vyao vyote wapo hvyo

lkn kwa miaka michache hii ya karibun wameanza kushtukiwa mbinu yao
kma ulikuwa unachunguza kauri za trump utagundua walikuwa wanatumia hiyo mbinu ambapo trump alikuwa anapost vitu havieleweki ili kutaka kuwaingiza maboya IRAN
kukosa IRAN kuharibuwa mifumo yake ya ULINZI WA ANGA na intenejesia mbovu ya ndani iliyofeli
Israel isingeweza kusurvive hii vita hata kwa siku 3 mbele hata kam angekuja kusaidiwa na marekani
Angeomba poo mapema sana
we ona pamoja na ISRAEL kuzichakaza kambi za kijeshi za IRAN mfululizo week nzima lkn still IRAN bado inavurumisha makombora

kuna vitu ambavyo si US wala ISRAEL bado hawajavijua kuhusu IRAN na ndivyo wana mashaka navyo
7BU kam ilivyo ISRAEL ikitaka kuipiga IRANI sehemu yoote inaipiga kwa NDEGE ZAKE VITA kutokana na ANGA LA IRAN LIPO UCHI
na iran ipo hvyo ikitaka inaipiga ISRAEL popote pale kutokana na mifumo yake ya ULINZI ya israel imeshachoka yaan kwa hali iliyo siku mbili hizi ISRAEL kwa sasa mifumo yake ya Ulinzi na ya QATAR ipo vinzuri kuliko ISRAEL

Hakuna CEASEFIRE ni mpango wa US na ISRAEL kurudi tena kwa kishindo lkn safari hii kipele cha ISRAEL kimepatwa MKUNWAJI hakuna janja janja
ADUI aliyemchokoza safari ni zaidi ya KICHAA hanaga maneno yeye anatandika tu MAKOMBOLA sehemu anayoitaka
Pamoja tunakubari kuwa IRAN itashindwa 7bu wote tunafahamu kwa nguvu za US na vile iran ipo pekeyake inezungukwa na MAJIRANI WANAFIQ ukizingatia mifumo yake ya ULINZI imeharibiwa kwa kiasi kikubwa lakini IRAN haitakubari kuanguka kizembe itahakikisha TAIFA LA ISRAEL litajuta mpk kizazi cha TANO kwa kike ilichofanya kuichokoza IRAN itaandikwaa katika HISTORIA kile ISRAEL ilichofanyiwa na IRAN baada kuichokoza
 
Unaona sasa….ndo maana nikauliza kama una mtindio wa ubongo au la!

Vita iliyopo ni kati ya Israel na Iran.

Sasa Iran kamshinda wapi Marekani?

Marekani ndo nchi yenye jeshi lenye nguvu zaidi hapa duniani.

Iran itaishindaje Marekani kijeshi?

Unaongelea vitu ambavyo hata sijavizungumzia.

Kijeshi Marekani na Iran wala hakuna cha kulinganisha.

Mimi nimezungumzia Iran kupambana na Israel na Iran kuilipua Israel halafu wewe unasema nashangilia Iran kuishinda Marekani!

Unanipotezea muda wangu tu. Kabishane na majuha wenzio huko.

You’re ignored.
Msitukanane tujadili kwa hoja tu sisi ni weusi vita ni ya weupe tusigombane kwa sababu sisi ni ndugu
 
Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.

Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.

Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.

Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.

Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.

Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….

View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012

Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.

Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.

Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!

Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.

Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.

Natumaini hayo makubaliano yatadumu.

Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.

Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.

They far exceeded my wild expectations!!

NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Nyani Ngabu hapa umezungumza bila kuingiza hisia.

Safi sana mkuu, uhalisia lazima usemwe hata kama ni mchungu.
 
Umesema kweli kabisa. Na huu ndio ukweli wenyewe. Israel amekalishwa chini. Hiyo ceasefire itakuwa ni wao Israel wameomba kupitia wakubwa ili wasiendelee kuaibishwa.

Kama Israel ingekuwa imeitwanga Iran kisawasawa basi kamwe usingeona ceasefire. Mbona kule Gaza hawataki ceasefire?

Israel saizi yao ni wanamgambo wasio na silaha ila askari wenzao hamna kitu.

HII NI AIBU YA KARNE KWA TAIFA TEULE
 
Unaona sasa….ndo maana nikauliza kama una mtindio wa ubongo au la!

Vita iliyopo ni kati ya Israel na Iran.

Sasa Iran kamshinda wapi Marekani?

Marekani ndo nchi yenye jeshi lenye nguvu zaidi hapa duniani.

Iran itaishindaje Marekani kijeshi?

Unaongelea vitu ambavyo hata sijavizungumzia.

Kijeshi Marekani na Iran wala hakuna cha kulinganisha.

Mimi nimezungumzia Iran kupambana na Israel na Iran kuilipua Israel halafu wewe unasema nashangilia Iran kuishinda Marekani!

Unanipotezea muda wangu tu. Kabishane na majuha wenzio huko.

You’re ignored.
Kama vita sio ya marekani
Kwanini marekani kamshambulia iran kama vita sio yake

Vita sio yako unaweza hangaika nayo kweli

Vita sio yako ilihali na wewe unarusha makombora
 
Msitukanane tujadili kwa hoja tu sisi ni weusi vita ni ya weupe tusigombane kwa sababu sisi ni ndugu
Sasa kama mtu haelewi hata anachokiongelea, nimuiteje sasa?

Wapi nimefurahia Iran kumshinda Marekani ilhali vita ni kati ya Israel na Iran?

Kuna sehemu nimeandika kuwa nimefurahishwa na Iran kumshinda Marekani?

Mambo ya ajabu kabisa hayo.

Kijeshi Iran itawezaje kumshinda Marekani?

Ana mauerue huyo jamaa. Anaona vitu ambavyo havipo.
 
Back
Top Bottom