Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

Netanyau alipoanzisha mashambulizi aliimba wimbo wa 'regime change ' kiitikio cha huo wimbo kiliimbwa pia na Trump.

Kwa hali ilivyo nadhani huo wimbo hauimbiki tena.

T14 Armata Yoda
Ikitokea ceasefire hakuna mshindi hapo, kuna kigezo kingine cha kutafuta mshindi kinatumika. Mshindi hutangazwa direct endapo kuna unconditional surrender, aliyepewa masharti bila akakubali ndio kashindwa.

Kwenye ceasfire au peace plan wote wamekubaliana. Tunarudi sasa kwenye chanzo cha vita.
Israel ilikuwa na lengo la kuharibu vinu vya nyuklia vya Iran, Iran huwa inaimba wimbo wa "Death to Zionists State, Death to Israel". Kipi kimefanyika hapo?

Tukija kwenye casualties. Israel imeua Wakuu wa majeshi wawili wa Iran, Chief of Staff mmoja (second in command), Chief of Airforce na mfyatua makombora mkuu, Chief of Intelligence na maafisa wengine waandamizi. Iran hata mgambo wa Israel kashindwa, ni kuua raia tu.
Israel katawala anga la Iran bila kikwazo.

Sasa Israel apigane kwa sababu zipi tena wakati urutubishaji wa nyuklia Iran hawezi tena. Iran ndio ilitakiwa igome kusitisha vita, Israel haina haja ya kugoma wakati lengo limetimia. Na Iran ikirudia kurutubisha Uranium tena utaona mashambulizi ya Israel yanajirudia.
 
Kuna mtu nimemwambia hakuna mshindi so far kanijia juu

Hii mijadala inaushabiki sana wanao discuss wameshachagua upande
 
Mimi nikafanyaje marekani nikadandie mafanikio ya watu wengine na kujiona mjanja mintafia hapa hapa Tanzania kitovu change kilipotupiwa
Hizi ni kauli za kushindwa mkuu nazijua vizuri mno na Watanzania wengi wana kaugonjwa ka kuchukia watu walio nje au waliofanikiwa haya wewe upo zako madibila huko shida nini kumsema mtu alieko China au USA kwani akiwepo madibila unamsaidia nini ni wangapi upo nao huko Namtumbo mnapata tabu wote na hakuna kitu mnafanya kusaidiana..
 
Na kuna wengi tu ambao hawaitukani.

Na wapo raia wengi tu wa Marekani wanaoitukana Marekani.

So what’s your point?
Kwa mmarekani kuitukana nchi yake sio tatizo
Kuitukana nchi yako na bado unaishi humo humo ni matatizo ya akili
Sio tatizo maana yake ni kwamba utawala mambo wanayoyafanya hauawaridhishi wananchi wake
 
Iran ikikubali kusitisha mapigano nitawaona mashoger sana mtu akufate nyumbani kwako akupige alafu akuambie usimrudishie kipigo..

Iran juu chini hapaswi kukubali vita iishe.. ni mara mia ayatollah Ali kamenei akafia vitani kuliko kukubali huu upuuzi..
 
Hivi Israel nae aanze sasa kushanbulia residential building za Tehran ili mzani ubalansi sasa
Aanze mara ngapi?
Watu karibu 600 waliopoteza maisha Iran waliuwawa ndani ya kambi za jeshi?
Wale makamanda na viongozi wa vyombo vya usalama na wanasayansi wa nuclear walio uwawa wengi walishambuliwa katikati ya makazi ya raia.
Wengine wakiwa wamelala na familia zao.
 
Sema hii dunia ina ubabe mwingi sana
Marekani ana silaha nyingi za nuclear
Israel anazo pia na amegoma kusaini makubaliano ya kupunguza silaha za nuclear wala kuruhusu wakaguzi kwenye vinu vyake
Iran hana hizo nuclear na ameruhusu wakaguzi
Lakini bado kashambuliwa, watu wake wameuliwa na hakuna anayemtetea
Ulaya na Marekani zinamshtumu yeye tu
Vikwazo anawekewa yeye tu wakati huo Israel anapewa misaada ya kijeshi na kuua wapalestina kila siku
Hii dunia hii.
Hii dunia imejaa unafiki tu
 
Kabisa!

Iran ndo victim hapo.

Netanyahu akili zake sijui zina kasoro gani. Labda sababu baba yake alipata wakati mgumu kukubalika Israel as a scholar akakimbilia US.
Labda sababu kaka yake Yoni alilipia gharama ya juu kabisa ya kutengeneza Taifa la Israel.
Chochote anachofikiri, haya anayoyafanya ukanda wa Gaza na sasa Iran, sio sawa
 
Ikitokea ceasefire hakuna mshindi hapo, kuna kigezo kingine cha kutafuta mshindi kinatumika. Mshindi hutangazwa direct endapo kuna unconditional surrender, aliyepewa masharti bila akakubali ndio kashindwa.

Kwenye ceasfire au peace plan wote wamekubaliana. Tunarudi sasa kwenye chanzo cha vita.
Israel ilikuwa na lengo la kuharibu vinu vya nyuklia vya Iran, Iran huwa inaimba wimbo wa "Death to Zionists State, Death to Israel". Kipi kimefanyika hapo?

Tukija kwenye casualties. Israel imeua Wakuu wa majeshi wawili wa Iran, Chief of Staff mmoja (second in command), Chief of Airforce na mfyatua makombora mkuu, Chief of Intelligence na maafisa wengine waandamizi. Iran hata mgambo wa Israel kashindwa, ni kuua raia tu.
Israel katawala anga la Iran bila kikwazo.

Sasa Israel apigane kwa sababu zipi tena wakati urutubishaji wa nyuklia Iran hawezi tena. Iran ndio ilitakiwa igome kusitisha vita, Israel haina haja ya kugoma wakati lengo limetimia. Na Iran ikirudia kurutubisha Uranium tena utaona mashambulizi ya Israel yanajirudia.
Duh et urutubushwaji wa nuclear hawezi tena 😂😂😂
 
Iran ikikubali kusitisha mapigano nitawaona mashoger sana mtu akufate nyumbani kwako akupige alafu akuambie usimrudishie kipigo..

Iran juu chini hapaswi kukubali vita iishe.. ni mara mia ayatollah Ali kamenei akafia vitani kuliko kukubali huu upuuzi..
Ndio ashakubali sasa. Vinu vya nyuklia chakari, wakuu wa majeshi wawili wamefyekwa, mkuu wa Airforce kauwawa, mkuu wa Intelligence kauwawa.

Baada ya hapo anasaini kuacha vita. Kisha wanamgambo wa JF wanakwambia eti Iran kashinda 😂
 
Kwani regime change imefikia wapi na hiyo nuclear chakali kwa mujibu wa nani?
 
Back
Top Bottom