Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

Isreil imepima uwezo wa Iran imeuona.
Maamuzi ya kuendelea kupigana au kuheshimiana wanayo wenyewe.
Na Irani akifunga njia ya baharini inayotumika kusafirisha mafuta sehemu kubwa ya Dunia itahisi maumivu ya vita hiyo.
 
Ikitokea ceasefire hakuna mshindi hapo, kuna kigezo kingine cha kutafuta mshindi kinatumika. Mshindi hutangazwa direct endapo kuna unconditional surrender, aliyepewa masharti bila akakubali ndio kashindwa.

Kwenye ceasfire au peace plan wote wamekubaliana. Tunarudi sasa kwenye chanzo cha vita.
Israel ilikuwa na lengo la kuharibu vinu vya nyuklia vya Iran, Iran huwa inaimba wimbo wa "Death to Zionists State, Death to Israel". Kipi kimefanyika hapo?

Tukija kwenye casualties. Israel imeua Wakuu wa majeshi wawili wa Iran, Chief of Staff mmoja (second in command), Chief of Airforce na mfyatua makombora mkuu, Chief of Intelligence na maafisa wengine waandamizi. Iran hata mgambo wa Israel kashindwa, ni kuua raia tu.
Israel katawala anga la Iran bila kikwazo.

Sasa Israel apigane kwa sababu zipi tena wakati urutubishaji wa nyuklia Iran hawezi tena. Iran ndio ilitakiwa igome kusitisha vita, Israel haina haja ya kugoma wakati lengo limetimia. Na Iran ikirudia kurutubisha Uranium tena utaona mashambulizi ya Israel yanajirudia.
Kuna hoja ukizidoma humu unajua moja kwa moja zimetoka kwenye vijiwe vya kahawa.

Kuna hoja mtu anakuambia Israel ni mkorofi, wanasahau Iran na proxy zake slogan yao ni kuifuta Israel kwenye ramani, nchi kama hiyo wanairuhusuje kwa mfano kumiliki silaha za maangamizi.

Wamekazana Israel anasaidiwa as if kuna vita ambayo ishawahi pigwa nchi ikakosa ally wake, wanasahau hata Kagera war tu, Tz ilisaidiwa na Mozambique.

Ukirudi kwenye hii vita, kama lengo la Iran ilikuwa ni kushambulia maeneo ya kiraia basi wamefanikiwa ila kama lengo ni kushambulia sehemu nyeti basi Israel ni wazi kafanikiwa zaidi.
 
Malengo ya iran tokea 1978 baada ya mapinduzi ni kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia

Swali la kujiuliza Israel imefutwa kwenye ramani ya duniani kwa sababu hayo ndo malengo ya iran

Ila watu wanakuambia iran amefikia malengo
 
Kwani nani kaanza kuishambulia Iran?
Maana mnayakurupukia malengo ya Iran mnasahau alie vamia alitaka regime change, huyu ndio wa kuulizwa kafanikiwa
Achani ujinga
 
Malengo ya iran ni kuifuta Israel tokea mwaka 1978 ndo mzizi wa vita wa mpaka vya leo

Ndio Israel wanataka regime change iran sababu huu uongozi wa ayatollah ulishaapa kuiondoa kwenye raman ya dunia na middle East
 
Mbona iran kamshinda Israel ipo wazi? Ndio maana uonaona Us kaingilia kati .
Kamshinda kwa vipi? Ushabiki kwa kweli unaondoa common sense. Alichofanya US ni kuvipiga mabomu vinu vya nuclear kwa mabomu ambayo Israel hana, basi. Mengine yote kafanya muisrael.
 
Malengo ya iran ni kuifuta Israel tokea mwaka 1978 ndo mzizi wa vita wa mpaka vya leo

Ndio Israel wanataka regime change iran sababu huu uongozi wa ayatollah ulishaapa kuiondoa kwenye raman ya dunia na middle East
Unajua kusoma kwa ufahamu ndugu Rais?
Nani kaanza Uvamizi?
Je alieanza alitarajiwa kufanikisha kaweza?
Haya kavamia na regime change haijatokea una la kusema?
 
Kuna hoja ukizidoma humu unajua moja kwa moja zimetoka kwenye vijiwe vya kahawa.

Kuna hoja mtu anakuambia Israel ni mkorofi, wanasahau Iran na proxy zake slogan yao ni kuifuta Israel kwenye ramani, nchi kama hiyo wanairuhusuje kwa mfano kumiliki silaha za maangamizi.

Wamekazana Israel anasaidiwa as if kuna vita ambayo ishawahi pigwa nchi ikakosa ally wake, wanasahau hata Kagera war tu, Tz ilisaidiwa na Mozambique.

Ukirudi kwenye hii vita, kama lengo la Iran ilikuwa ni kushambulia maeneo ya kiraia basi wamefanikiwa ila kama lengo ni kushambulia sehemu nyeti basi Israel ni wazi kafanikiwa zaidi.
Iran hakupanga kumshambulia Israeli.

Israel ndie alieanzisha vita ambayo baada ya kuelemewa akaomba msaada kwa Donald trump na msaada kapewa na yameisha. Na Israel imefanya hivyo katikati ya mazungumzo kati ya Iran na Marekani huku Qatar akiwa msuhuhishi.

Pia ndani ya vita vilokuwa vikiendelea, Iran walikuwa bado wakiongea na EU ambao walimwita waziri wa mambo ya nje ya Iran mjini Geneva.

Iran alikuwa akijibu mashambulizi na kuwa wakisisitiza kwamba ni "self defence".

Hata mashambulizi ya Marekani nayo yamebaini kuwa Iran tiyari walikwishahamisha kila aina ya mipango yao na makabrasha yote pamoja na vifaa vyote muhimu kutoka katika vinu viloshambuliwa.

Na kuona hivyo hakuna mmarekani alieuawa na Iran, Trump kasema sasa basi hamna vita na kamwambia Netanyahu ceasefire ifuatwe.
 
Back
Top Bottom