Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

Vinu vya Nuclear vipo salama kabisa, na vyombo mbali mbali vimelipoti na hata Jana Israel kashambuli Tena huko kuzuia access ya wairani huko. Nadhani Israel angekataa ceasefire kama anavyokataa na Hamas mpaka Regime change ifanyike na ndio lilikua lengo lake kubwa. Maana alisema bila Regime change basi wairani wataendelea kufadhili makundi ya kigaidi hivyo bila Regime change Bado hajafikia malengo yote.
Na yule chief Negotiator bwana Ali Shamkhani ambae Israel ilidai aliuawa na mabomu, yupo hai na aendelea uzuri na matibabu chini ya ulinzi mkali.

Huyu ni mmoja wa wataalam wa hali ya juu na ni lazima kwa sasa yupo kwenye hit list ya Israel.
 
Mimi kwakweli bado Iran hawajaniridhisha kabisaaaa
Yaani mtu anaingia nchini kwako kwa kukuvizia na kushtukiza na anaua karibu top level yote ya jeshi pamoja na wanasayansi muhimu kabisa wa kinyulkilia

Nilitegemea Iran itaigeuza Israel kama Gaza
Yaani ilikua ni kumwaga missiles pale kama nvua hadi hao wanaojiita taifa teule wapitie exactly walichopitia wana Gaza

Sitamani kabisa hii vita iishe
Natamani kuiona Irana ikitwanga kabisa kabisa pale Israel mpaka akili ziwakae sawa sawa
Hapo ndio wataheshimiana
 
Hapana, mkuu vita si nzuri na usiombe vita ya kutupiana makombora ya balistic na mashambulizi ya angani na F-35s.

Iran walikuwa "naive" (walijiamini kupita kiasi) baada ya kudanganywa na Trump kwamba waendeleee na mazungumzo bila kung'amua kuwa ule ulikuwa ni mtego au trap kwamba wachukulie kila kila Ok na wale target wote waendelee na maisha wakti wako vitani, ndo maana kazi ikawa rahisi kwa Israel kwa kutumia tracking software kwenye simu zao.

Musrael humpati kwenye teknolojia na kuanzia zile pagers hadi mtandao wa WhatsApp target zao walikuwa nazo sambamba.

Pili, ni mbinu ya "infiltration" kupenyeza majasusi na wale raia wa Iran (insiders) ambao wamefanikisha kuua ADS za Iran kwanza kabla ya mambo mengine, hivyo Iran kuja kugundua ADS zimepatwa, kukawa hakuna jinsi isipokuwa kufanya plan B ambayo imechukua muda lakini waliweza kuanza kurusha makombora mengine.

Muundo wa jeshi la Iran ni tofauti kidogo kwani kuna jeshi na kisha kuna jeshi la ukombozi IRGS ambalo baadae ndilo lilochukua kazi.

Hivyo wamekubali kuwe na ceasefire na sie wengine kuunga mkono ceasefire kwa mstakabali za amani ya mashariki ya kati.
 
Stress na frustrations tu za vin'gora na kwenda kwenye shelters tena halafu baada ya DK 10 mnaambiwa ni decoys au intercepted mrudi muendelee na shughuli zenu baada ya DK kadhaa tena mnatakiwa mrudi kwenye shelters tena.
 
Nakubaliana na wewe, Iran pamoja nakukaa kwenye vikwazo zaidi ya miaka 30 lakini bado ameweza kuwa strong na kusimama na superpowers.

Nafikiri labda ndio maana hawa watu hawataki wale jamaa akina Ayatollah na watu wake waongoze Ile nchi, inaonekana jamaa akili zinafanya kazi, wakiachwa wanaweza kuwa hatari sana siajabu wakawa mojawapo ya superpower.
 
Ukiona waisrael na wenyewe wanapanga msururu kukimbilia nchi jirani za Misri na Jordan kukwepa vita ujue hali ilishakuwa mbaya.

Hakuna kitu kibaya kama kila saa unasikia mikelele ya Sirens, huwezi kufanya shughuli zako, unakaa kwenye handaki hupati jua la kutosha.
Ile sauti inatisha sana mkuu ni kama starring yuko peke yake msituni halafu kamera inahamishiwa kwingine unaona msafara wa maadui wa kutosha na kale ka sauti wanakuuujaaaaa.
 
Wewe uko Igalula unaongea mambo ya Israel..!!!

Uharibifu mkubwa uliofanywa Iran hauwezi kuonekana kwa sababu vyombo vya habari vya kigeni hiviko Iran lkn uharibifu ni mkubwa sana kwenye kambi za kijeshi na maeneo mengine nyeti.

Israel wameepuka sana kushambulia makazi ya watu tofauti na Iran.
 
Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.

Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.

Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.

Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.

Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.

Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….

View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012

Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.

Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.

Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!

Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.

Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.

Natumaini hayo makubaliano yatadumu.

Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.

Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.

They far exceeded my wild expectations!!

NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
only Irn.jpeg
only Irn.jpeg
 
Israel imeipiga marufuku Al Jazeera kuripoti kutoka ndani ya ardhi yake.

Na kutokana na military censorship iliyopo, yeyote atakayerusha habari za hiyo vita bila idhini, anajihatarishia kifungo jela.
Kwann hawataki habari zao zirushwe!
 
Mimi kwakweli bado Iran hawajaniridhisha kabisaaaa
Yaani mtu anaingia nchini kwako kwa kukuvizia na kushtukiza na anaua karibu top level yote ya jeshi pamoja na wanasayansi muhimu kabisa wa kinyulkilia

Nilitegemea Iran itaigeuza Israel kama Gaza
Yaani ilikua ni kumwaga missiles pale kama nvua hadi hao wanaojiita taifa teule wapitie exactly walichopitia wana Gaza

Sitamani kabisa hii vita iishe
Natamani kuiona Irana ikitwanga kabisa kabisa pale Israel mpaka akili ziwakae sawa sawa
Hapo ndio wataheshimiana
Watagwee mara ngapi
 
Hapana, mkuu vita si nzuri na usiombe vita ya kutupiana makombora ya balistic na mashambulizi ya angani na F-35s.

Iran walikuwa "naive" (walijiamini kupita kiasi) baada ya kudanganywa na Trump kwamba waendeleee na mazungumzo bila kung'amua kuwa ule ulikuwa ni mtego au trap kwamba wachukulie kila kila Ok na wale target wote waendelee na maisha wakti wako vitani, ndo maana kazi ikawa rahisi kwa Israel kwa kutumia tracking software kwenye simu zao.

Musrael humpati kwenye teknolojia na kuanzia zile pagers kadi mtandao wa WhatsApp target zao walikuwa nazo sambamba.

Pili, ni mbinu ya "infiltration" kupenyeza majasusi na wale raia wa Iran (insiders) ambao wamefanikisha kuua ADS za Iran kwanza kabla ya mambo mengine, hivyo Iran kuja kugundua ADS zimepatwa, kukawa hakuna jinsi isipokuwa kufanya plan B ambayo imechukua muda lakini waliweza kuanza kurisha makombora mengine.

Muundo wa jeshi la Iran ni tofauti kidogo kwani kuna jeshi na kisha kuna jeshi la ukombozi IRGS ambalo baadae ndilo lilichukua kazi.

Hivyo wamekubali kuwe na ceasefire na sie wengine kuunga mkono ceasefire kwa mstakabali za amani ya mashariki ya kati.
Mkuu nakuelewa vizuri sana
Tatizo ni kwamba Israel anajiona njia pekee ya kutatua changamoto zake za kikanda basi ni kutembeza kichapo

Sasa ili ifikie mahali atambue kwamba kichapo sio njia nzuri ni lazima na yeye achapwe bara bara kabisa

Na kiukweli mi nina maoni tofauti sana japo siipendi Iran haswa ku utawala wake wa kisharia
Lakini nadhani Iran wakiwa na nyukilia adabu itakuwepo pale mashariki ya kati...., shida zikitokea zitakua zinamalizwa na meza ya mazungumzo
 
Back
Top Bottom