Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

Vinu vya Nuclear vipo salama kabisa, na vyombo mbali mbali vimelipoti na hata Jana Israel kashambuli Tena huko kuzuia access ya wairani huko. Nadhani Israel angekataa ceasefire kama anavyokataa na Hamas mpaka Regime change ifanyike na ndio lilikua lengo lake kubwa. Maana alisema bila Regime change basi wairani wataendelea kufadhili makundi ya kigaidi hivyo bila Regime change Bado hajafikia malengo yote.
Wairan watafadhiri makundi gani, haya yaliyouliwa viongozi ambayo wakati Iran inashambuliwa yaliufyata?

Syria hakuna tena Assad. Hakuna njia ya kupitisha silaha, imebaki Iraq pekee nayo ikifuga maadui wa Israel itapata hasara.

Israel ndio iliishambulia Iran, basi Iran ingekataa kusitisha vita. Ila wakukataa kusitisha ndio hao wanaogopa kufa kwahiyo wacha wasaini kuacha mapigano.

Centrifuges zimeharibiwa pale Fordow hizo nuclear warheads watazitengenezaje wakati hawawezi enrich Uranium. Hivyo vinu vingine achana navyo havitoi nuke.
 
Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.

Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.

Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.

Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.

Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.

Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….

View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012

Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.

Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.

Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!

Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.

Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.

Natumaini hayo makubaliano yatadumu.

Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.

Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.

They far exceeded my wild expectations!!

NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Ngoja waje Wazayuni vichwa box waliokunywa maji ya maiti na chumvi waje wapinge
 
Hizi siku kadhaa mfano mashambulizi ya juzi halikufanya kazi kabisa eti wanasema ni technical error. Kuna maeneo hayana umeme.
Israel walikuwa wanazuia vyombo vya habai kuchukua picha za baadhi ya maeneo niliona mwandishi wa bbc anazuiwa live on air.
Hawakuzoea kupambana na jeshi walizoea wanamgambo tu. Raha ni kwamba mashambulizi ya mara hii hata wananchi wao wameonja joto la hofu ya kuawa kwa siku 12.
Iran hazuii habari?. Acheni kudanganyana hakuna taifa lolote duniani likiwa vitani alizuii habari. Sasa msilete habari Kama vile Iran zake zipo wazi.
 
Iran hazuii habari?. Acheni kudanganyana hakuna taifa lolote duniani likiwa vitani alizuii habari. Sasa msilete habari Kama vile Iran zake zipo wazi.
Israeli imezidi hata kuangalia Aljazeera unaenda jela
 
Kwa Sasa,
Wakimbizi WA kiyahudi wanakimbilia Tena misri,

Kule kule walikokombolewa na nabii MUSSA.

Sasa sijajua Mungu WA wayahudi atamtuma Nabii yupi Tena awarudishe kwenye ardhi Yao😀
 
Iran hazuii habari?. Acheni kudanganyana hakuna taifa lolote duniani likiwa vitani alizuii habari. Sasa msilete habari Kama vile Iran zake zipo wazi.
Sisi tunamsema master israel ngumi alizokula na majeraha kuwa yatakuwa makubwa sana. Ajabu si mtu kula paka bali paka kula mtu
 
Nnachojua mmafdhili mkubwa wa magaidi duniani ni USA,

Ushahidi upO maana kiongozi mkubwa wa Al Qaeda na most wanted wa cia na fbi ndio alitumika kumngoa assad madarakani

Na Hadi Sasa Syria ishakua na Raisi kibaraka wa usa
 
Hawa mazayuni mashoga aka miungu wa walokole na wameshindiliwa vitu vizito makalioni mpaka wameomba poo ,mbwa hawa . Ningekuwa mimi ni Ayatolah ningeendelea kuwashikisha ukuta hawa mashoga ,mamaee zao.
Kwenu ninyi vichwa box walokole feki ,Iran sio Burundi , Iran ni mwanaume enzi na enzi , Muajemi ndio aliwatoa utumwani Babeli (Iraq) ya leo hao mashoga wenu mnaowaabudu .Naona huwa hamsomi vizuri hata hiyo Bible , usicheze na Persia , unacheza na Moto .Ile ardhi ni takatifu
Actually mpaka kwenye hivyo vitabu vya kichawi vya Talmud aka vitabu vitakatifu vya mazayuni vinavyotumiwa na mashoga wayahudi feki hao mnaowaabudu vinavyoutukana ukristo na kumuita Yesu nguruwe , vinaadhimisha na kuacknowledge siku ambayo Persia iliwatoa wayahudi toka utumwani Babeli
 
Israel bado haiaminiki...
Kwa hili la kuvizia viongozi na wataalam nukes
Iran tayari anayo blueprint ya kutengeneza nuclear na waifundisha Hadi darasani hivyo itafika kipindi hata uuwe watu wangapi wanaofahamu juu ya hiyo tech watakuwepo TU, mfano Tanzania uanze kampeni ya kueliminate walimu unahisi utafanikiwa?
 
Kazi ya Iran hiyo 😀.

IMG_8048.jpeg
 
Netanyau alipoanzisha mashambulizi aliimba wimbo wa 'regime change ' kiitikio cha huo wimbo kiliimbwa pia na Trump.

Kwa hali ilivyo nadhani huo wimbo hauimbiki tena.

T14 Armata Yoda
unajua upo JF habari zote zipo humu so uongo kadanganye wanao ambao hawasomi news. Kasikilize Lengo la Vita la Netanyahu kwanza sio kubwabwaja bwabwaja tu kama wale watu wa viroba
 
Back
Top Bottom