Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

Hii vita haijaisha,leo itasimama ila haijaisha Netanyahu kwa kiburi chake kwakua anasaidiwa na US so anafanya anachotaka na hakuna wakumfanya lolote,angalia anavyowaua km mchwa watu wa Palestine kwa ndoano ya kuwapa chakula.
 
Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.

They far exceeded my wild expectations!!

NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
".....They far exceeded my wild expectations!!"

Nimeipenda hiyo Mkuu Nyani Ngabu
 
Mayahudu yana roho mbaya sana bora na menyewe yamechezea kichapo yakaka kwa wasiwasi yakajificha kama yanavyotesa watu Gaza.
 
Lakini hatujaona hata ndege moja ya Iran ikiruka kwenda kupiga Israel 😂😂😂 , Israel alikuwa anaingia Iran anapiga anavyotaka, mzee wa shuka wamemwacha ili afikirie mara mbili kuhusu ambition yake ya nuclear
 
Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.

Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.

Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.

Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.

Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.

Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….

View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012

Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.

Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.

Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!

Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.

Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.

Natumaini hayo makubaliano yatadumu.

Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.

Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.

They far exceeded my wild expectations!!

NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Naona unasukumwa na mahaba kuandika kuliko uhalisia wa mambo.

Israel wao hawakuwa na haja ya kulenga civilian targets shida Yao ilikuwa ni military infrastructure na nuclear targets na kama wangeamua kudondosha mabomu kwenye civilian targets unahisi Hali ingekuwlaje huko Irani? Tofauti Iko hapo tu shughulisha akili Yako kijana au maboksi yamekuathiri?
 
Mbona na iran hawaruhusu Al jazeera kuripoti nchini kwake
Kwanini ni kosa kwa Israel kuwakataza al jazeera ila ni sawa kwa iran kuwakataza
Hao Al Jazeera wanaripoti huko Gaza tunaona waziwazi walivyo bias ndio utegemee habar za upande mmoja kutoka kwao? Wakiuwawa Wanamgambo wa Hamas Al Jazeera watadai ni wajawazito na watoto, akiuwawa askar mmoja wa Israel watadai ni 10 ovyo kabisa wale jamaa
 
Lakini hatujaona hata ndege moja ya Iran ikiruka kwenda kupiga Israel 😂😂😂 , Israel alikuwa anaingia Iran anapiga anavyotaka, mzee wa shuka wamemwacha ili afikirie mara mbili kuhusu ambition yake ya nuclear
Yaan hii ndio dharau kubwa Israel amemuonyesha Iran, imagine adui anathibiti anga la nchi Yako na ana madege yanapiga popote yanapotaka .

Israel amepigana hii vita kistarabu sana na hii ndio maana ya jeshi lenye nidhamu na jeshi bora, Iran wamepigana hii vita kama vile wanamgambo wa Hamas na Hizbullah na sio kama jeshi la nchi yaan wanarusha tu madude yao yeyote litakalompata shauri yake .
 
Huu ndio ukweli na sio kushabikia tu
Iran alikuwa na pia Ana haki ya kujilinda na adui
1000039239.jpg

Huo ndio ukweli unaowakera watu fulani.
 
Lakini hatujaona hata ndege moja ya Iran ikiruka kwenda kupiga Israel 😂😂😂 , Israel alikuwa anaingia Iran anapiga anavyotaka, mzee wa shuka wamemwacha ili afikirie mara mbili kuhusu ambition yake ya nuclear
Hapa ndipo mnapokosea! Uispofahamu jambo unatakiwa ujifunze, hutakiwi kubisha

Tazama jiografia kati ya Israel na Iran kuna nchi hapo kati. Ili kufika Tehran au Tel Aviv ndege zinahitaji 'refuelling''
Ndege zinajazwa angani. Ni marekani pekee yenye midege ya namna hiyo. Walipoanza vita Israel ilipewa hizo ndege na kutumia kambi yao ya Nevatim. Iran ikapiga kambi hiyo. Israel ikahamisha ndege kwenda kambi ya UK iliyopo Cyprus.
Wakati huo huo kuna ''Fleet'' za Marekani ambazo Israel alikuwa ana uwezo wa kuzitumia.
 

Ngoja tusherehekee ushindi wa Iran.
 
Naona unasukumwa na mahaba kuandika kuliko uhalisia wa mambo.

Israel wao hawakuwa na haja ya kulenga civilian targets shida Yao ilikuwa ni military infrastructure na nuclear targets na kama wangeamua kudondosha mabomu kwenye civilian targets unahisi Hali ingekuwlaje huko Irani? Tofauti Iko hapo tu shughulisha akili Yako kijana au maboksi yamekuathiri?
Raia wangapi wamekufa Iran ukilinganisha na Israel?

Pili, ikiwa Israel ililenga maeneo hayo nini kimewashinda kufanya hivyo Gaza? Hivi kufuta mtaa Mzima wa Teheran si kuua Raia.

Iran imepiga maeneo ya kijeshi na kimkakati. Israel ilisema '' makombora yana precision'' unajua maana yake?
 
Ni kweli kabisa
Na sasa Iran ataacha mashambulizi kama Israel hatapiga tena sehemu za Iran.
Hili ni fundisho kwa Israel na sidhani kama atamchokoza tena Iran
Nafikiri pia ni fundisho kwa Iran sidhani kama ataendelea kuwafadhiri magaidi wa kumchokoza Israel. Iran amejifunza kwamba Israel anauwezo wa kumfuata nyumbani na kumletea madhara na washirika wake Urusi na China wakakaa kimya. Israel pia amejua kuwa Iran anaweza kujitutumua na kufika Tel Aviv akaleta usumbufu. Heshima kwa wote itakuwepo na huenda amani ikatawala mashasriki ya kati.
 
Yaan hii ndio dharau kubwa Israel amemuonyesha Iran, imagine adui anathibiti anga la nchi Yako na ana madege yanapiga popote yanapotaka .
Israel haijafanya chochote! Vita ilipiganwa na UK na US. Kazi ya UK kupitia Royal airforce ilikuwa kudhibiti anga.
Kazi ya US kutoka pentagon ni ku provide intelligence. Kazi ya Jordan ni kutoa vituo vya kuzuia makombora.
Kazi ya Saud Arabia ni kutoa urahisi wa kufika Iran! Haya mambo si rahisi ndugu yangu
Israel amepigana hii vita kistarabu sana na hii ndio maana ya jeshi lenye nidhamu na jeshi bora, Iran wamepigana hii vita kama vile wanamgambo wa Hamas na Hizbullah na sio kama jeshi la nchi yaan wanarusha tu madude yao yeyote litakalompata shauri yake .
Israel haikupigana acha upuuzi. Leo Netanyahu kasema '' anamshukuru Trump kwa ku provide Defensive and Offensive assistance'' Unajua maana yake! Amesema BB

Trump aliagiza ndege za Israel zisitishe mashambulizi zikiwa angani, na zili tii! nani commander in chief wa majeshi ya Israe. Ni hivi Israel imesadiwa na Nchi 5, sasa inapigana kistarabu vipi.

Ndege zao zilikuwa Cyprus, hakuna pa kuziweka ndani ya Israel zisifikiwe

Ni hivi, Mbabe anayejadiliwa na NATO ni Iran. Israel ni jina tu hakuna kitu na vita hii imewapa kiburi nchi jirani kwamba bila msaada wa US, UK n.k. Israel inapigika haraka sana.

MOSSAD, IDF, Tech Indust etc zimefutika Israel.. nNetanyahu anasema '' MOSSAD hawakutupa taarifa za uwezo halisi wa Iran''.
 
Kuna hoja ukizidoma humu unajua moja kwa moja zimetoka kwenye vijiwe vya kahawa.


Kuna hoja mtu anakuambia Israel ni mkorofi, wanasahau Iran na proxy zake slogan yao ni kuifuta Israel kwenye ramani, nchi kama hiyo wanairuhusuje kwa mfano kumiliki silaha za maangamizi.


Wamekazana Israel anasaidiwa as if kuna vita ambayo ishawahi pigwa nchi ikakosa ally wake, wanasahau hata Kagera war tu, Tz ilisaidiwa na Mozambique.

Ukirudi kwenye hii vita, kama lengo la Iran ilikuwa ni kushambulia maeneo ya kiraia basi wamefanikiwa ila kama lengo ni kushambulia sehemu nyeti basi Israel ni wazi kafanikiwa zaidi.
Mkuu ndio ushangae sasa, Urusi yenyewe pamoja na kuwa super power amezaidiwa na Iran , North Korea na china kwenye vita ya Ukraine.
Israel imepeleka kilio kikubwa kwa Iran japo na yenyewe imepata hasara hasa kwenye miundo mbinu ya kiraia
 
Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.

Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.

Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.

Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.

Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.

Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….

View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012

Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.

Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.

Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!

Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.

Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.

Natumaini hayo makubaliano yatadumu.

Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.

Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.

They far exceeded my wild expectations!!

NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Umeongea facts mkuu, katika hii vita kaonyesha kuwa ni hatari sana,lkn upande mwingine kajifunza jambo,kaona weakness zake zilipo,bila shaka atarekebisha kwa haraka,kule kuuliwa kwa wanasayansi wake kwa mpigo,yafaa awe makini zaidi wakati mwingine,ahimarishe sana kitengo chake cha ujasusi.
 
Nafikiri pia ni fundisho kwa Iran sidhani kama ataendelea kuwafadhiri magaidi wa kumchokoza Israel. Iran amejifunza kwamba Israel anauwezo wa kumfuata nyumbani na kumletea madhara na washirika wake Urusi na China wakakaa kimya. Israel pia amejua kuwa Iran anaweza kujitutumua na kufika Tel Aviv akaleta usumbufu. Heshima kwa wote itakuwepo na huenda amani ikatawala mashasriki ya kati.
Kwenye vita kusaidia sio lazima apige kelele, China asingekubali Iran ianguke kwakuwa anategemea kupata cheap oil,
Pia nchi zinatengeza siraha kama china Huku zikiwa na amani huwa zinataafuta real test ground Kuna uwezekano hata baadhi ya missile zilizorushwa na Iran zikatoka sehemu nyingine huku wahusika wakiangalia kama zinatoa matokeo waliotarajia
 
Israel haiui raia? Hebu Angalia basi walau Al Jazeera uone Israel leo imeua raia wangapi huko Gaza!

Hata katika hii vita, Israel imeua raia wengi wa Iran kuliko Iran ilivyoua raia wa Israel!

Sijui kwa nini watu mnajitoa fahamu kiasi hicho.
Hahahahahaha ndo wabongo hao kujitoa ufahamu kisa Mzayuni,
Wao wanaamini wazayuni hawafi hata wakishambuliwa kwa kombora,
Wanaamini mzayuni ndo mwenye Jeshi mahiri duniani, wakati humu humu mitandaoni wanaona Netanyahu akililia silaha na usaidizi wa Marekani vitani
Wanaamini mzayuni ndo mwenye kila teknolojia kali duniani, kumbe dunia imebadilika mataifa yanayojitambua yanawekeza pia kwenye teknolojia
Ujinga mkubwa kabisa ni kuamini wazayuni ndo watoto wa Mungu, halafu wao, huyo Mungu aliwaleta kuwatumikia wazayuni
 
God Bless Khamenei
Long Live Tehran
God Bless Iran
Ninachofurah kama mwanamchi wa huku kidubwa juu ni kua wenye nguvu wameona amani ni bora wala hatuhitaji mshindi cause haya maisha yangepanda juu ya mafuta na bidhaa kutokuja afrika sijui ingekuaje big up all or looser nor win
 
Back
Top Bottom