Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

Iran hawana tofauti na Hamas kupiga kwao ni kwa ajili ya kusumbua raia ndio ujue chuki za Muslims kwa Jews.. Maeneo yote ya Jeshi hawaoni
Israel haiui raia? Hebu Angalia basi walau Al Jazeera uone Israel leo imeua raia wangapi huko Gaza!

Hata katika hii vita, Israel imeua raia wengi wa Iran kuliko Iran ilivyoua raia wa Israel!

Sijui kwa nini watu mnajitoa fahamu kiasi hicho.
 
Al Jazeera inao correspondents wake Tehran.

Ali Hashem nimetoka kumwangalia muda si mrefu akiripoti toka Tehran.

Al Jazeera inapatikana kirahisi sana YouTube. Tazama tu na utawaona akina Dorsa Jabari wakiripoti toka ndani ya Tehran.
Nimemuangalia Ali Hashem wiki nzima, tena akionyesha mabomu ya Israel yakianguka Tehran.
 
Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.

Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.

Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.

Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.

Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.

Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….

Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.

Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.

Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!

Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.

Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.

Natumaini hayo makubaliano yatadumu.

Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.

Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.

They far exceeded my wild expectations!!

NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.

NN, Iran ime ''exceed expectations ya kila mwenye akili timamamu. Lengo la Israel na US ni 'regime change'' walianza kuua ' top echelon''. Lengo halikufikiwa kila wakiua replacement inafanyika , vita inaendelea.

Mahambulizi vinu vya Nyuklia hayakufanikiwa kwa mujibu wa leaked information zilizopatikana CNN jioni hii.
Jumapili kabla ya kusitisha mapigano Israel na US walirudi kupiga vinu, walifeli na hawana uhakika.

Netanyahu kakiri ku under estimate nguvu ya Iran kwa taarifaza MOSSAD. BB kashukuru US akisema waliisadia Israel defensive and offensive. Ushahidi kuwa US ilikuwa inawaghilibu Iran wakati mazungumzo yakiendelea.
Trump kasema mashambulizi ya vinu vya Nyuklia waliyapanga weeks before! leo ni siku 12, ikimaanisha alijua

Israel imefunga anga lake kwa muda usiojulikana. Maana yake miundo mbinu ya anga ni nyaka nyaka
Israel iliaminisha kuna iron dome, David's sling, Arrow 3 na THAAD. Iran imepenyeza makombora pale ilipotaka

Military installation za IDF zimepigwa ikiwemo Nevatim , kikosi cha Anga. Ndege za Israel zina operate kutoka Cyprus katika UK Military Base. Hapa tunaongeza nchi ya 3, vita ikiwa Iran Vs UK, US.
Makombora ya Iran yalitunguliwa na Jordan na Saud Arabia. Nchi zinakuwa 5 dhidi ya Iran

Makao makuu ya IDF sasa ni magofu. Tuliambiwa ni eneo lisiloguswa na ''wanadamu''. Iran imeweza
Intelligence ya Israel (MOSSAD) ofisi zilibomolewa licha ya kuaminishwa ni intelligence kali sana duniani

Bandari ya Haifa haipo, chemical research institute hazipo tena, zimebomolewa na Iran
Institute za Technology zimebomolewa na makombora ya Iran

Kwa ufupi, Iran imepiga military base and installation, intelligence, infrastructure and Tech industry zote.

Kilichotisha ni precision ya makombora kutoka Iran hadi kupiga nyumba ya BB bila kugusa nyumba nyingine

Kwa leo, mbabe wa Middle East anajulikana, ni IRAN si Israel. Vita haikuwa baina ya Iran na Israel bali Iran na Washirika 4 wa Israel, bado Netanyahu ametema Bungo. Hakufilkia lengo lolote ametupiwa taulo na Trump.

Leo kuna mkutano wa NATO. Agenda zitakazojadiliwa ni pamoja
1. Silaha za Nyuklia za Iran
2. Ballistic missile za Iran

Yaani NATO wametishika na kiwango cha Tech ya Iran, Israel inasema Iran inaweza kupiga Paris na London ikitaka NATO wadhibiti utengenezaji makombora. Hiyo ni Israel inayoshawishi NATO.

Hofu ya kuingiza suala la makombora ni kutokana na kiwango cha Iran kilichojionyesha
Israel haitarudia tena kusihambulia Iran, kitakachofanyika ni NATO kuishambulia kwa niaba ya!

Kama ulivyosema NN , Iran watembee vifua mbele wao ndio wababe wa middle East, Israel takataka tu.
Ni takataka kwasababu ipo katika mbeleko za US, UK na Vibaraka wa middle east wakiongozwa na Saud.

Ubishi umekwisha! Israel si lolote si chochote! Mbabe wa middle East ni Iran

MOSSAD wamefeli, tutaeleza zaidi, lakini kwanza, ni habari hiyo '' Israel' si lolote bila US na UK
 
Israel haiui raia? Hebu Angalia basi walau Al Jazeera uone Israel leo imeua raia wangapi huko Gaza!

Hata katika hii vita, Israel imeua raia wengi wa Iran kuliko Iran ilivyoua raia wa Israel!

Sijui kwa nini watu mnajitoa fahamu kiasi hicho.
Kwa sku 10 ikipigana na Iran, Israel imeua raia 800. Jioni ya leo 92 wameuawa. Wote ni watoto na akina mama
Israel ilitumia mwanya wa Vita na Iran kushambulia Gaza wakati wa kugawa chakula. Yaani wanaua watu wenye njaa halafu kuna wajinga wanasema eti magaidi ni Hamas, ISIS! Hivi inachofanya Israel kama si ugadi ni nini

NN, una kauli yako ninayo iita kauli ya mwezi huu '' Watanzania ni Wapumbavu sana''
 
HAKUNA CHA MAANA HUYO IRAN ALICHOKIFANYA HII VITA BADO MBICHI MNO WEWE HATA AKILI HUNA YANI LEO RWANDA APIGANE NA TANZANIA NA BADO TANZANIA IENDESHWE WHAT ISRAEL DID HAUTAKUJA TENA KUSIKIA SIJUI HEZBOLLAR
HAMNAS
PUMBU YEMEN
WAMESHAJUA MKIFANYA USENGE TUNAENDA USO KWA USO NA HII NI RECORD ISRAEL IMEWEKA KATA MIKIA KISHA MAMA YAO
 
Don't you ever think the other guy is less crazy than you.

Yani uingie nchi ya watu uue magenerali wao, Then wewe ufikirie you are safety kisa una Iron dome? Lazima wakushangaze.

Ni kweli iran imepata hasara kubwa kuliko Israeli, Ila israeli imepata madhara ambayo hawakuyatarajia.

Mbaya zaidi, Dunia inaona, next watajua wap pakuitekenya israeli
 
HAKUNA CHA MAANA HUYO IRAN ALICHOKIFANYA HII VITA BADO MBICHI MNO WEWE HATA AKILI HUNA YANI LEO RWANDA APIGANE NA TANZANIA NA BADO TANZANIA IENDESHWE WHAT ISRAEL DID HAUTAKUJA TENA KUSIKIA SIJUI HEZBOLLAR
HAMNAS
PUMBU YEMEN
WAMESHAJUA MKIFANYA USENGE TUNAENDA USO KWA USO NA HII NI RECORD ISRAEL IMEWEKA KATA MIKIA KISHA MAMA YAO

Hahaha ndo mnavojiaminisha ujinga
 
Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.

Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.

Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.

Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.

Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.

Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….

View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012

Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.

Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.

Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!

Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.

Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.

Natumaini hayo makubaliano yatadumu.

Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.

Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.

They far exceeded my wild expectations!!

NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Hawa wamejitakia wenyewe, si wa kuwaonea huruma hata kidogo.
 
Umefafanua vizuri,kweli inavyoonekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko tunavyoiona.
Endeleeni kubashiri lakini kinachojulikana vinu vya nyukilia vimesambaratishwa!
 
Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.

Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.

Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.

Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.

Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.

Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….

View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012

Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.

Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.

Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!

Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.

Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.

Natumaini hayo makubaliano yatadumu.

Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.

Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.

They far exceeded my wild expectations!!

NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Sisi hatuna maneno mengi. Tunachojua ni kwamba vinu vya nyuklia viko mbendembende!
Screenshot_20250625-033204_Chrome.jpg
 
Sisi hatuna maneno mengi. Tunachojua ni kwamba vinu vya nyuklia viko mbendembende!
Sijui upo upande gani wa Dunia

Vyombo vya habari vya Marekani vinajadili '' Intel leak'' kwamba vinu havikuathiriwa kama walivyotaka.

Jumapili kabla ya kusitisha mapigano, Israel kwa mwongozo wa US walirudi kupiga vinu kule Fordow! Kwanini unadhani walirudi.
 
Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.

Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.
Upo sahihi kwa 10000%! Nilisoma kwenye credible source moja kwamba media zimepangiwa nini cha kuripoti na nini cha kutoripoti. Nakumbuka last year wakati mapigano na Hamas yapo kwenye kilele, wakaipiga ban Aljazeera na kuifungashia virago! Watu tukajua kwa sababu ni media ya Qatar itakuwa too bias! Wakati tunaelekea kumaliza mwaka wakaiwekea vikwazo hadi Heartz ambalo ni Gazeti la Kiisrael! Sasa ikiwa hakukuwa na significant or serious damage kutoka kwa Hamas na bado Israel walifanya censorship, vipi kuhusu sasa!
 
Honestly we couldn’t care less, nyoyo zetu zimesuuzika israel kupitia yale anayopitisha wenzie miaka yote. Mtu gani kila siku yeye yuko vitani 😏 nachukia uonezi mimi 😡
Israel ndio anaonewa na majirani zake. Na lengo lao linajulikana ni kuifuta dola ya Israel pale Middle East. Inachofanya Israel ni kujilinda tu
 
Halafu ndo kiongozi mmoja wa Israel alikua anaitishia Urusi - na juzi wanasema wakimalizana na Iran anayebaki na Turkey - hapa ndo niliona hawa jamaa hazimo. Ulimwengu umebadirika kila mtu sasa hivi yuko vizuri kwa kiasi chake.
Israel aendelee kupambana na vikundi na nchi za waarabu wasiojielewa..
 
Israel haiui raia? Hebu Angalia basi walau Al Jazeera uone Israel leo imeua raia wangapi huko Gaza!

Hata katika hii vita, Israel imeua raia wengi wa Iran kuliko Iran ilivyoua raia wa Israel!

Sijui kwa nini watu mnajitoa fahamu kiasi hicho.
nimeona 40.
 
Lakini pia Israel imefanikiwa kurudisha nyuma mipango ya nuclear ya Iran kwa miaka kadhaa japo imepata hasara kwa kiasi kikubwa.
Nadhani hii itakua changamoto kubwa kwa Wayahudi, next time itabidi wajipange upya ili kukabiliana na maadui zake bila kutegemea usaidizi wa Marekani na washirika wake wa magharibi.
 
Hakuna shaka kuwa safari hii Israel imepata zaidi ya ilichokuwa inakitafuta kwa kuishambulia Iran.

Pia hakuna shaka kabisa kuwa Iran inao uwezo wa kupambana na Israel moja kwa moja na kusababisha madhara makubwa sana.

Vilevile, Iran imeonyesha kuwa, Israel, bila kupigwa tafu na Marekani, ni mchumba mbele ya Iran.

Iron dome ya Israel kumbe wala haina sifa wala ubora ambao tulikuwa tunaaminishwa inao.

Hiyo iron dome saizi yake ni hayo makundi tu ya wanamgambo na sungusungu kama Hamas, Hizbollah, na hao Wahouth wa huko Yemen.

Kama licha ya military censorship iliyopo ndani Israel na tumeweza kupata picha kama hizi….

View attachment 3381009View attachment 3381010View attachment 3381011View attachment 3381012

Pata picha ya yale ambayo hatuyaoni kutokana na kuwepo kwa hiyo military censorship.

Hali hii ndo inayonifanya nihitimishe kuwa hali ndani ya Israel ni mbaya kuliko.

Na yote hayo ni kwa hisani ya jeshi la Iran!

Nchi ambayo inapambana peke yake dhidi ya mataifa mawili yenye silaha za nyuklia na ni nchi ambayo ipo chini ya vikwazo vingi vya kiuchumi, imejitahidi sana.

Jana kumetangazwa kuwepo kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.

Kwa uzoefu wangu, kama kweli hayo makubaliano yapo, yanaweza yasidumu hata kwa siku mbili na wataanza kulaumiana na kunyoosheana vidole kuhusu nani kaanza kuyakiuka.

Natumaini hayo makubaliano yatadumu.

Wairan wana sababu zote za kujivunia jinsi nchi yao ilivyopambana na kuisababishia madhara Israel, madhara ambayo Israel haijawahi kuyapata.

Iran wana haki zote za kutembea vifua mbele na vichwa juu kwa somo walilowapa Israel.

They far exceeded my wild expectations!!

NB: Na kwa vile propaganda ni sehemu muhimu sana ya vita, kama Iran ingekuwa haisababishi madhara makubwa, Israel wangetuonyesha na wangejitapa kuwa iron dome yao ni kiboko.
Kwanza angalia idadi ya wakimbizi waliokimbia nchi ndo utajua nani kachakazwa
 
Lakini pia Israel imefanikiwa kurudisha nyuma mipango ya nuclear ya Iran kwa miaka kadhaa japo imepata hasara kwa kiasi kikubwa.
Nadhani hii itakua changamoto kubwa kwa Wayahudi, next time itabidi wajipange upya ili kukabiliana na maadui zake bila kutegemea usaidizi wa Marekani na washirika wake wa magharibi.
Wakati huo wanajipanga watakuwa wamechelewa maana inaonyesha kabisha kuwa muiran yupo mbele ya muda
 
Back
Top Bottom