utala utala TU
JF-Expert Member
- Aug 13, 2024
- 222
- 343
Iran taifa teule
Uzuri wa Marekani ndo huo sasa!Iran wana censorship kubwa sana ndani ya iran huna uhuru huo unaotaka kuaminisha watu
Sisi waafrika tuendelee kushabikia vita ila hatuna tunachojua, mfano unaiponda marekani ila bado unanganinia kuishi marekani
Ni kama waarubu wanaziponda nchi za Western lakin kila siku wanakimbilia huko
Huwa anashindwa mpaka usaidizi wa marekani namataifa ya ulaya ndio anachomoa, vitabu vingi ni propaganda za magharibi ila ukweli unaonekana bayana tu.Soma vita vyote vya Israel tokea mwaka 1947 mwanzoni anaonekanaga ameshindwa ila counter attack zake huwaga ni balaa
Hakuna sehemu nimekuambia utatekwa kwa maksudi umeamua kubadilisha madaUzuri wa Marekani ndo huo sasa!
Nchi inakuruhusu uiseme vibaya na hakuna watu wasiojulikana wataokuteka na kukupoteza.
Najua kwa akili ndogo, hiyo ni concept ngumu sana kuielewa.
USA baby 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Still the greatest country in the history of existence, flaws and all.
View attachment 3381049
Anataka twende kwenye mavitabu waliojitungia , na tuuache uhalisia hii ni maajabuHuwa anashindwa mpaka usaidizi wa marekani namataifa ya ulaya ndio anachomoa, vitabu vingi ni propaganda za magharibi ila ukweli unaonekana bayana tu.
Inawezekana vizuri tuHakuna sehemu nimekuambia utatekwa kwa maksudi umeamua kubadilisha mada
Kwa akili ya kawaida Huwezi ishi inchi ambayo hukubaliani na sera zake tena umefunga safari kwenda kuishi kwao na sio mzaliwa
We jamaa kichwani ni mzima kweli?Hakuna sehemu nimekuambia utatekwa kwa maksudi umeamua kubadilisha mada
Kwa akili ya kawaida Huwezi ishi inchi ambayo hukubaliani na sera zake tena umefunga safari kwenda kuishi kwao na sio mzaliwa
Uliyemquote hajamaanisha USA kuwaacha huru wanaoiponda, bali wale wanaoiponda kisha kupenda kuishi kwenye nchi yao wakati wanawaona ni makafiriUzuri wa Marekani ndo huo sasa!
Nchi inakuruhusu uiseme vibaya na hakuna watu wasiojulikana wataokuteka na kukupoteza.
Najua kwa akili ndogo, hiyo ni concept ngumu sana kuielewa.
USA baby 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Still the greatest country in the history of existence, flaws and all.
View attachment 3381049
Mimi huwezi ntoa hapa ukanipeleka saud arabia nchi ambayo haipo compatible na ninayo yaaminiInawezekana vizuri tu
Umekimbilia kwenye personal attack hiyo ni ishara wewe ndo unamatatizo ya akili kwanini usijikite kwenye hojaWe jamaa kichwani ni mzima kweli?
Nisije nikawa napoteza muda wangu kujibizana na mtu mwenye mtindio wa ubongo bure 🤣.
mkuu huo unakuwa ni unafikiInawezekana vizuri tu
US ni nyumba ya kila mtu na imejengwa karibu na dunia nzima , labda native American ndio wanahaki ya kudai ni kwao🤔Uliyemquote hajamaanisha USA kuwaacha huru wanaoiponda, bali wale wanaoiponda kisha kupenda kuishi kwenye nchi yao wakati wanawaona ni makafiri
yaaani unaitukana nyumba yangu na wakati huo unatamani kuishi ndani ya nyumba yangu😂
Dennis Robert ShughuruUS ni nyumba ya kila mtu na imejengwa karibu na dunia nzima , labda native American ndio wanahaki ya kudai ni kwao🤔
Marekani si nchi mbaya.Uliyemquote hajamaanisha USA kuwaacha huru wanaoiponda, bali wale wanaoiponda kisha kupenda kuishi kwenye nchi yao wakati wanawaona ni makafiri
yaaani unaitukana nyumba yangu na wakati huo unatamani kuishi ndani ya nyumba yangu😂
Ayaaaaaa wenye nyumba mkuu ni wale watoa viza😂US ni nyumba ya kila mtu na imejengwa karibu na dunia nzima , labda native American ndio wanahaki ya kudai ni kwao🤔
Mmarekani mweusi yupo marekani kabla hata haijaitwa marekani lilikuwa ni mapori aondoke aende wapiMarekani si nchi mbaya.
Marekani si nchi timilifu.
Marekani ina mapungufu yake pia.
Lakini mazuri ya Marekani yanayazidi kwa mbali sana mabaya yake.
Na ndo maana hata Wamarekani weusi ambao wamepitia kila aina ya manyanyaso, hawaondoki Marekani kwenda kutafuta maisha kwingineko.
Hakuna jamii iliyo timilifu.
Na propaganda pia ni sehemu ya vita.. Tena muhimu sana...Yawezekana = Probability, ishu serious za vita huwa hazihitaji ramli chonganishi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sina shida na ubaya/uzuri wa USA maana nchi zote hazijakamilikaMarekani si nchi mbaya.
Marekani si nchi timilifu.
Marekani ina mapungufu yake pia.
Lakini mazuri ya Marekani yanayazidi kwa mbali sana mabaya yake.
Na ndo maana hata Wamarekani weusi ambao wamepitia kila aina ya manyanyaso, hawaondoki Marekani kwenda kutafuta maisha kwingineko.
Hakuna jamii iliyo timilifu.