Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

Unaambiwa kwa sasa Mayahudi wanaishi kama panya ndani ya mahandaki ya nyumba zao.

Maana Iran inaporomosha mvua ya makombora na drones za maangamizi kila siku. Mikusanyiko ya watu imepigwa marufuku, waandishibwa habari wamepigwa marufuku kutoa taarifa, Mji wa Telaviv umegeuka kuwa ghost city! Shughuli za usafiri wa anga zimesitishwa!

Yote haya yanasababishwa na kikundi cha watu wachache wanaopenda kuona dunia ni uwanja wa vita na fujo! Badala ya kuwa kisiwa cha amani.
 
Israel imeipiga marufuku Al Jazeera kuripoti kutoka ndani ya ardhi yake.

Na kutokana na military censorship iliyopo, yeyote atakayerusha habari za hiyo vita bila idhini, anajihatarishia kifungo jela.
 
Israel imeipiga marufuku Al Jazeera kuripoti kutoka ndani ya ardhi yake.

Na kutokana na military censorship iliyopo, yeyote atakayerusha habari za hiyo vita bila idhini, anajihatarishia kifungo jela.
Mbona na iran hawaruhusu Al jazeera kuripoti nchini kwake
Kwanini ni kosa kwa Israel kuwakataza al jazeera ila ni sawa kwa iran kuwakataza
 
Netanyau alipoanzisha mashambulizi aliimba wimbo wa 'regime change ' kiitikio cha huo wimbo kiliimbwa pia na Trump.

Kwa hali ilivyo nadhani huo wimbo hauimbiki tena.

T14 Armata Yoda
 
Mbona na iran hawaruhusu Al jazeera kuripoti nchini kwake
Kwanini ni kosa kwa Israel kuwakataza al jazeera ila ni sawa kwa iran kuwakataza
Al Jazeera inao correspondents wake Tehran.

Ali Hashem nimetoka kumwangalia muda si mrefu akiripoti toka Tehran.

Al Jazeera inapatikana kirahisi sana YouTube. Tazama tu na utawaona akina Dorsa Jabari wakiripoti toka ndani ya Tehran.
 
Iran wana censorship kubwa sana ndani ya iran huna uhuru huo unaotaka kuaminisha watu

Sisi waafrika tuendelee kushabikia vita ila hatuna tunachojua, mfano unaiponda marekani ila bado unanganinia kuishi marekani

Ni kama waarubu wanaziponda nchi za Western lakin kila siku wanakimbilia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…