Yawezekana kama Mwanadamu Idi Amin alikuwa na Mapungufu yake ila nimegundua Afrika ya leo iliwahitaji akina Amin wengi ili kupiga hatua

tutajie maendeleo yeyote aliyoyafanay idi amini kwa kipindi chote alichotawala, zaidi ya kufukuza wahindi na kunyangánya/kuua biashara zao, kutupa vilema mto kagera, kula nyama za watu na kulala na wanawake.
Unaweza kuweka vivid evidence ya kua Idd Amini alikua anakula nyama za watu na alitupa vilema mto Kagera?
 
Kula nyama za watu mi uwa naamini ni uongo walikuwa wanamchafua ili aonekane wa hovyo.Imagine Magu hapa alijaribu kutupeleka kibabe kidogo na maendeleo tuliyaone tena kwa kasi sana but ni mangapi mabaya amesemwa na mabeberu na sisi wenyewe?Hivi tungelipata kina Magu km watano wakiongoza kwa kufululiza kwa style ya kibabe unadhani hii nchi ingefika wapi kimaendeleo!Tulingelifika mbali.Nakwambia nchi zetu bado zinahitaji viongozi wababe ili zisonge,naunga mkono mada kwani bado tunawihataji kina Idd Amin,kina Gaddaf,kina Magu ili tusonge mbele,wabongo sie tukiongozwa kwa kubembelezwa hatuwezekani tena.
Upo sahihi kabisa mkuu,

Nchi kama Ujerumani imekua ni nchi tajiri zaidi Europe yenye viwanda vingi kwa usimamizi na matokeo ya utawala wa Adolf Hitler,
Russia tunayoiona leo ni matokeo ya utawala wa Joseph Stalin ambao haukua unalea wazembe au wezi wa mali za umma,

China ya leo ipo juu kiuchumi kwa utawala wa Mao Zedong ambao haukulea wazembe na wezi,

Nchi nyingi za Europe na America zimeweka demokrasia baada ya kupiga hatua kubwa kiuchumi,kuyafikia maendeleo hua kuna gharama zake,maendeleo hayaji kwa kulala usingizi au kulea wazembe na wezi.
 
Hivi wa Ukraine kwa sasa wakiambiwa Putin anakula nyama za watu unaonaje?
Wataamini na ndivyo ilivyo...kuua watu wasio na hatia ni kula nyama za watu tu!
 
Kula nyama za watu mi uwa naamini ni uongo walikuwa wanamchafua ili aonekane wa hovyo.Imagine Magu hapa alijaribu kutupeleka kibabe kidogo na maendeleo tuliyaone tena kwa kasi sana but ni mangapi mabaya amesemwa na mabeberu na sisi wenyewe?Hivi tungelipata kina Magu km watano wakiongoza kwa kufululiza kwa style ya kibabe unadhani hii nchi ingefika wapi kimaendeleo!Tulingelifika mbali.Nakwambia nchi zetu bado zinahitaji viongozi wababe ili zisonge,naunga mkono mada kwani bado tunawihataji kina Idd Amin,kina Gaddaf,kina Magu ili tusonge mbele,wabongo sie tukiongozwa kwa kubembelezwa hatuwezekani tena.
Basi nipeni Mimi nchi ili niwapelekeshe kibabe.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Maendeleo ya kuandika kwa kuunganisha maneno kama ulivyofanya?

Kama unaona Magu alileta maendeleo unamatatizo makubwa ya kufikiri nyie ndio mnaweza hata kumwabudu shetani
Asante,kwani kila mtu ana uelewa wake, wangu ni huo na wako sijauona.Kwangu Fatique alizozifanya Magu naziona poa,zikipata muendelezo au mtu wa kiziendeleza itakuwa poa kwangu kabisa
 
Upo sahihi kabisa mkuu,

Nchi kama Ujerumani imekua ni nchi tajiri zaidi Europe yenye viwanda vingi kwa usimamizi na matokeo ya utawala wa Adolf Hitler,
Russia tunayoiona leo ni matokeo ya utawala wa Joseph Stalin ambao haukua unalea wazembe au wezi wa mali za umma,

China ya leo ipo juu kiuchumi kwa utawala wa Mao Zedong ambao haukulea wazembe na wezi,

Nchi nyingi za Europe na America zimeweka demokrasia baada ya kupiga hatua kubwa kiuchumi,kuyafikia maendeleo hua kuna gharama zake,maendeleo hayaji kwa kulala usingizi au kulea wazembe na wezi.
Safi sana
 
tutajie maendeleo yeyote aliyoyafanay idi amini kwa kipindi chote alichotawala, zaidi ya kufukuza wahindi na kunyangánya/kuua biashara zao, kutupa vilema mto kagera, kula nyama za watu na kulala na wanawake.
Hopeless Creature una Ushahidi gani kuwa Marehemu Idi Amin Dada alikuwa akila Nyama za Watu? Alishakula yako au ya Dada yako? Kuna Watu ni Mapopoma ( hamna Akili ) hadi nashangaa kwanini Covid-19 haikuondoka nanyi tu ili tubaki na wenye kujua Kufikiri.
 
Huko kuzimu ulishawahi fika ama unahadithiwa tu!!!
Kwa ushahidi wa elimu ya mambo yasiyoonekana.
Chochote kifanyikacho kwenye maisha yanayoonekana ni photocopy ya ulimwengu usioonekana. Mobutu yupo kuzimu kwa ushahidi wa waenda kuzimu anajutia uovu wake. Hittler ni pure shetani aliyevaa mwili wa binadamu, yupo kuzimu.
 
Kula nyama za watu mi uwa naamini ni uongo walikuwa wanamchafua ili aonekane wa hovyo.Imagine Magu hapa alijaribu kutupeleka kibabe kidogo na maendeleo tuliyaone tena kwa kasi sana but ni mangapi mabaya amesemwa na mabeberu na sisi wenyewe?Hivi tungelipata kina Magu km watano wakiongoza kwa kufululiza kwa style ya kibabe unadhani hii nchi ingefika wapi kimaendeleo!Tulingelifika mbali.Nakwambia nchi zetu bado zinahitaji viongozi wababe ili zisonge,naunga mkono mada kwani bado tunawihataji kina Idd Amin,kina Gaddaf,kina Magu ili tusonge mbele,wabongo sie tukiongozwa kwa kubembelezwa hatuwezekani tena.
Safi sana Mkuu. Huwa napenda mno Intelligent JamiiForums Members kama Wewe na siyo hii Mipopoma ( Mipumbavu ) mingi ambayo imekurupuka Kuchangia huu Uzi wangu pasipo hata tu kufanya Critical Analysis juu ya uliokuwa Utawala wa Marehemu Idi Amin Dada, Propaganda za Magharibi na Uhalisia wake Kamili Kitabia na Kimaisha.
 
Upo sahihi kabisa mkuu,

Nchi kama Ujerumani imekua ni nchi tajiri zaidi Europe yenye viwanda vingi kwa usimamizi na matokeo ya utawala wa Adolf Hitler,
Russia tunayoiona leo ni matokeo ya utawala wa Joseph Stalin ambao haukua unalea wazembe au wezi wa mali za umma,

China ya leo ipo juu kiuchumi kwa utawala wa Mao Zedong ambao haukulea wazembe na wezi,

Nchi nyingi za Europe na America zimeweka demokrasia baada ya kupiga hatua kubwa kiuchumi,kuyafikia maendeleo hua kuna gharama zake,maendeleo hayaji kwa kulala usingizi au kulea wazembe na wezi.
Chief You are very Intelligent Creature!!
 
Hopeless Creature una Ushahidi gani kuwa Marehemu Idi Amin Dada alikuwa akila Nyama za Watu? Alishakula yako au ya Dada yako? Kuna Watu ni Mapopoma ( hamna Akili ) hadi nashangaa kwanini Covid-19 haikuondoka nanyi tu ili tubaki na wenye kujua Kufikiri.
Lakini aliuwa watu
 
Back
Top Bottom