Upo sahihi kabisa mkuu,
Nchi kama Ujerumani imekua ni nchi tajiri zaidi Europe yenye viwanda vingi kwa usimamizi na matokeo ya utawala wa Adolf Hitler,
Russia tunayoiona leo ni matokeo ya utawala wa Joseph Stalin ambao haukua unalea wazembe au wezi wa mali za umma,
China ya leo ipo juu kiuchumi kwa utawala wa Mao Zedong ambao haukulea wazembe na wezi,
Nchi nyingi za Europe na America zimeweka demokrasia baada ya kupiga hatua kubwa kiuchumi,kuyafikia maendeleo hua kuna gharama zake,maendeleo hayaji kwa kulala usingizi au kulea wazembe na wezi.