Yawezekana kama Mwanadamu Idi Amin alikuwa na Mapungufu yake ila nimegundua Afrika ya leo iliwahitaji akina Amin wengi ili kupiga hatua

Hapo ulipo agiza chochote ntakuja kukulipia!

Umemalizaaaaa, kweli watanzania mpaka sasa hatujuwi tunataka nini

Ova
 
Ongezea pia, wahindi hela waliyokuwa wakipata walikuwa wanahamisha nje, makwao

Ova
 
Fatique za kupiga risasi kina Lissu na kawaita wasaliti?
Hata hivo ulivonijibu mwanzoni nilijua kbs Wewe umejibu kiupinzani badala ya kufikiri unaweza kumpenda anaetaka kumwaga ugali wako na watoto wako nyumbani?Mie nikiona unataka kuniharibia kibarua changu huwezi pona hakika.Mambo ya risasi hizo zaweza kuwa chuki binafsi na si cheo,unoko una gharama zake bro
 
Sijawahi kuona au kusikia Lincoln, King Leopold II, Alexander the great na wengine wengi wakitajwa kuonekana kule pamoja na kuua watu wengi
Lakini pia walikua na umaarufu mkubwa hapa duniani kuliko hata hao kina Idd amini
Hata kama awatajwi haimaaishi hawapo kule, kuzimu magereza yapo mengi na selo zipo nyingi na vitengo vipo vipi,KILA dhambi Wana selo zao,
 
Umemalizaaaa kabisa ndugu
 
Angewapenda wananchi wake wangempigania sio kunsaliti kama walivyokuja kumsaliti Ibilisi mwenzie Gadaffi!

Ona rais wa Ukraine anavyopiganiwa na wananchi wake, rais ukiwa mwovu vita ikitokea wananchi watakusaliti tu
Unataka kusema wale waliyomuahidi Lissu kuwa wataingia barabarani kuandamana vyovyote vile itakavyokuwa ila mwisho hawakutokea ina maana walimsaliti na hivyo tatizo ni Lissu?
 
Kupata nguvu gani tena kwani majeshi hunywa damu?
Shetani umpa dikteta nguvu na mamlaka na uwezo wa kutawala dikteta umlipa shetani kafara ya damu za watu kwa kuwaua.Mfano mugabe ameua watu 2000,hayupo dikteta ambae ajaua mtu Ili kumfurahisha shetani.
 
Nimekuuliza nguvu gani hizo maana nguvu za dikteta hutoka kwa jeshi tu ndio maana hata huyo Mugabe jeshi lilipompiga chini akawa si lolote wala chochote sasa hizo nguvu unazosema wewe alizonazo dikteta ni zipi?
 
Unataka kusema wale waliyomuahidi Lissu kuwa wataingia barabarani kuandamana vyovyote vile itakavyokuwa ila mwisho hawakutokea ina maana walimsaliti na hivyo tatizo ni Lissu?
Una akili ndogo kama mwenyekiti wa chama chenu...kazi kurembua tu
 
One sided News zilituharibu sana kuhusu Idd A. Dada.
Sawa sawa na wengi tunaojaribu kubeza kila jambo lililofanywa na serikali ya awamu ya tano. Cha kushangaza hata wale waliokuwa waandamizi serikalini.
 
Hata kwa waliyoishi Uganda enzi zake wanakuambia jamaa hakuwa mmbaya kihivyo

Ova
 
One sided News zilituharibu sana kuhusu Idd A. Dada.
Sawa sawa na wengi tunaojaribu kubeza kila jambo lililofanywa na serikali ya awamu ya tano. Cha kushangaza hata wale waliokuwa waandamizi serikalini.
Tatizo watanzania hawajui nini wanataka

Ova
 
Tatizo watanzania hawajui nini wanataka
Ni kweli asee!
Chanzo kikubwa ni watu wa media.
Wanahabari huamua kwa makusudi kuchagua kutuhabarisha kile wanataka wao kwa masilahi yao bila kujali uhalisia wa mambo.
 
Idd Amin.... My president of all the time

Nadhan Hadi dunia inakunjwakunjwa na mola kama karatasi hakutakuja tokea "IDDI" mwingine nchini kampala

Go.....IDDI Go....... vizuri havidumu!
 
Kwa Mtanzania kumshabikia Iddi Amini ni Uhaini, haustahili kuishi
 
Nimekuuliza nguvu gani hizo maana nguvu za dikteta hutoka kwa jeshi tu ndio maana hata huyo Mugabe jeshi lilipompiga chini akawa si lolote wala chochote sasa hizo nguvu unazosema wewe alizonazo dikteta ni zipi?
Nguvu ni uwezo wa kuliamrisha jeshi likutii,ambayo ikishaondolewa Hakuna utii.
 
kaulize uganda au waganda nini kizuri alifanya hata kimoja tu, zaidi ya kutaka kuifanya uganda iwe nchi ya kiislam. alinyangánya biashara kwa wahindi akafukuza wazungu na kuwa mzinzi mkuu. ukimsikiliza hata kwenye clip zake tu utajua alikuwa mwanadamu mwenye IQ ndogo sana kama ubongo wa samani pamoja na kuwa na mwili mkubwa.
 
Unaweza kuweka vivid evidence ya kua Idd Amini alikua anakula nyama za watu na alitupa vilema mto Kagera?
nimesema tuambieni kicho chochote cha maendeleo alikifanya idi amini ndio na sisi tuwaletee evidence. au mnataka pia evidence kwamba alikusanya walemavu na kiuwalisha mamba mto kagera? mnataka? msimtetee kwasababu alikuwa muislam, ameichafua sana hiyo dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…