Yaya Toure akosoa uwepo wa Fainali 2 kwenye Michuano ya Afrika

Mgeni huyo, kaanza jana kufatilia mpira. Yeye ni tamthilia tu
 
Waliokuona hauna akili walikuwa sahihi sana,na Mimi naungana nao
 
SIYO KWELI...

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Utopolo mliupiga mwingi ingawaje haikua zari lenu


Punguzen kuweweseka
 
Tatizo huku kwetu mechi bila mashabiki bado sana.

Hatuna u big fish wa kuwa na mashabiki nje ya milaka yetu kiasi cha kujihakikishia upate sapoti sehemu yeyote.
Mashabiki sio wanaocheza mpira. Kipinsi cha CORONA timu zilikuwa zinacheza bila mashabiki na maisha yaliendelea.
 
Mechi iwe bure uwanja utajaa popote pale hata Kwa Mkapa ukileta al-ahly Vs Wydad uwanja unajaa...
Lengo la mashindano ni kuzalisha pesa sio kufanya bonanza, unless wewe ulupie ticket zote ili watu waingie bure.

Bado sioni sababu ya kuzikataa pesa ili kuridhisha baadhi ya raia wanaokosa makombe maana kila mtu anapata nafasi ya kucheza kwake.

Cha maana ni kuondoa goli la ugenini ili game ziwe moto muda wote.
 
Km sio mfuatiliaji wa mpira unaweza kuhisi hii sheria ya goli la ugenini ni yanga pekee imewaathiri. Ukamkufuru mungu na kuwaonea huruma yanga kwa yaliyowakuta ukihisi hiyo sheria ilitungwa hapo uwanjani baada ya mechi kuisha.
 
Lagos mbali hapo tu rwanda,kenya,burundi,congo,au uganda tu.
 
Huu uzi umetawaliwa na watu wenye machungu ya kupoteza fainali hivyo watu wanatoa maoni bila reasoning.


Yani mtu anadai eti fainali iwe bure, na wakati huohuo bado anayataka mabilion ya CAF. Sasa hayo yatakuwa mashindano au bonanza?

Point ya msingi ni kufuta goli la ugenini, hilo la fainali mbili bado ni sahihi kwa aina ya walala hoi waliopo Africa.
 
Kwahiyo ile game mliipoteza kwasababu ya dakika? Ile game hamukuwa na uwezo wa kufunga tena, plan yenu ya kushambulia ilikuwa imebanwa tayari ndiomaana ilifikia hatua kocha akaamua kujaribu bahati kwa kufanya sub holela.

Bila ile penalty sidhani kama kungekuwa na lolote la maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…