Hivi huko shule mlikuwa mnaenda kushoma ujinga bwege mwenzako anakupa na like ngoja nikupe darsa.Bahari ya Shamu sio bahari nyekundu.
Hasara anayoipata misri ama yeyote sio hoja kwasasaTatizo matumizi ya akili kwenu ni kharam.
Nina uhakika akili unazo ila hauzitumii mdiyo maana unaleta nyuzi za ajabu tu humu.
Unavyoshangilia meli kubadilisha route, je umejiuliza ni mapato kiasi gani ambayo Egypt atapoteza kwa Meli zinazopita pale kwenda Israel kutotumia route ile?
UmejIuliza ni asilimia ngapi ya marine trade ya Israel inapita Red sea ukiringanisha na Mediterranian sea?
Biashara kati ya Israel na nchi zinazotegemea kupitisha mizigo kupitia red sea ipoje?
Unaposema wanapata hasara kuzunguka, ni hasara kiasi gani na umeipima vipi?
Au tu Like tu habari yako na kushangilia?
View attachment 2843102
Hapo ni baada ya mahandaki kuanza kujazwa maji, wameona isiwe tabu.
Umeandika nini sasa mkuu?Hivi huko shule mlikuwa mnaenda kushoma ujinga bwege mwenzako anakupa na like ngoja nikupe darsa.
Bahari ya Shamu (kwa KiingerezaRed Sea; kwa Kiarabu Ψ§ΩΨ¨ΨΨ± Ψ§ΩΨ£ΨΩ Ψ± BaαΈ₯r al-AαΈ₯mar, al-BaαΈ₯ru l-βAαΈ₯mar;
Unaongea fikra zako hujui kinachowakuta mabwana zako huko Gaza.Sasa Israel inamalizana na HAMAS, baada hapo itawageukia hao Yemen. Ila wakianza kutandikwa usije humu kulialia
Hahaha dah mkuu it seems you lack information. It's not my responsibility to enlighten you about Red sea and Black sea.What are the differences between the Black Sea and the Red Sea?
Usiwe punguani wewe Waisrel wenyewe wanasema wanapata hasara ebu wasome.Tatizo matumizi ya akili kwenu ni kharam.
Nina uhakika akili unazo ila hauzitumii mdiyo maana unaleta nyuzi za ajabu tu humu.
Unavyoshangilia meli kubadilisha route, je umejiuliza ni mapato kiasi gani ambayo Egypt atapoteza kwa Meli zinazopita pale kwenda Israel kutotumia route ile?
UmejIuliza ni asilimia ngapi ya marine trade ya Israel inapita Red sea ukiringanisha na Mediterranian sea?
Biashara kati ya Israel na nchi zinazotegemea kupitisha mizigo kupitia red sea ipoje?
Unaposema wanapata hasara kuzunguka, ni hasara kiasi gani na umeipima vipi?
Au tu Like tu habari yako na kushangilia?
View attachment 2843102
Hapo ni baada ya mahandaki kuanza kujazwa maji, wameona isiwe tabu.
The Director General of the Port of Eilat discussed the losses incurred by the port, attributing them to threats from Yemen that disrupted about 85% of portβs profits.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Wewe punguani unakataa unakuja hasara unalete ushabiki mandazi nimecheka hao ndiyo Hamas unatunga story mashoga wenzako ndiyo watakuamini wanakamata raia wanawatesha wanasema Hamas>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Aliyekudanganya kwamba zile meli zinapita Yemen ni nani?Hasara anayoipata misri ama yeyote sio hoja kwasasa
Kwasasa hoja nikwamba yemen haitakua njia ya kupeleka mahitaji kwa mazayuni ambao wakiishayapata wanatumia kuwaulia ndugu zao wa Palestine
Houthi kamatieni hapo hapo
Weww kweli ni Zombie, halafu punguani. Umeleta hapa andiko kwamba wanasema faida imepungua, unaelekezwa unaanza kutekenyeka na kujizungusha kiuno.Usiwe punguani wewe Waisrel wenyewe wanasema wanapata hasara ebu wasome.
The Director General of the Port of Eilat discussed the losses incurred by the port, attributing them to threats from Yemen that disrupted about 85% of portβs profits.
Changing the maritime navigation route will raise the prices of imported products by an estimated 3%, which would increase the financial burden on the Israelis by about ten and a half billion shekels, or about 3 billion dollars
Wewe punguani unakataa unakuja hasara unalete ushabiki mandazi nimecheka hao ndiyo Hamas unatunga story mashoga wenzako ndiyo watakuamini wanakamata raia wanawatesha wanasema Hamas
Hamas ni hawa hapa.
View: https://x.com/aryjeay/status/1735621484096233485?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Nilikuwa nataka kukupa darsa kiduchu umeshindwa kujibu.Hahaha dah mkuu it seems you lack information. It's not my responsibility to enlighten you about Red sea and Black sea.
There are a million sources for you to dig in.
Huyo wa kumpiga yupo mahututi hata mateka wake kashindwa kuwasaidia na wanamsubiri kwa hamu wampe kichapo kama cha 2006 alichopewa na hezbollah sema mjanja sasahivi hachokozi watu hovyohovyo kashtuka kuwa mtegoHao Yemen wanajitia kidole wananusa wanapiga chafya.
Watapigwa siku moja tu walie km mbwa mwitu
Wewe pimbi kweli unapiga nini sasa hata hueleweki unaleta ushabiki mandazi tu uzi wangu unaijileza vizuri tu.Weww kweli ni Zombie, halafu punguani. Umeleta hapa andiko kwamba wanasema faida imepungua, unaelekezwa unaanza kutekenyeka na kujizungusha kiuno.
Mimi ni Pimbi kweli, vipi unataka niku-Pimbue?Weww pimbi kweli unapiga nini?
Askari mmoja wa Israel anafariki inakuwa "talk of the town". Wapalestina wanakufa kama nzige hakuna anayejali, hata Waarabu wenyewe hawajali.Unaongea fikra zako hujui kinachowakuta mabwana zako huko Gaza.
View: https://x.com/aryjeay/status/1735602243926188408?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Yemen Taifa teule , God bless YemenWaisrael wa Makambako na Bonyokwa wengi hawafahamu mziki wa Yemen utasikia ohooo!! yemen masikini hawa wapewe kichapo, leo hii mabwana zao wanazunguka Africa
Ww tuwekee tafsiri ya hayo maneno ww unaye jua.We mwehu kweli unaelewa hata anaongea nini?
Hao waliokuandikia hapo ni kobazi wenzio uongo mtupu.
Hao Hamas washapukutishwa,hukohuko ndani ya mashimo yao km panya.
Akili hunaHao Yemen wanajitia kidole wananusa wanapiga chafya.
Watapigwa siku moja tu walie km mbwa mwitu
Hahahaha unajifariji matatizo yao ya ndani tunayajua ngoja nikuongezee huenda ulikuwa hujui.Aliyekudanganya kwamba zile meli zinapita Yemen ni nani?
Halafu Yemen haijawahi kutishia kushambulia hizo meli. Wanaoteka na kutishia mashambulizi ni hicho kikundi cha kigaidi cha Hourthi ambacho hata hakiundi serikali pamoja na kukamata maeneo mengi ya nchi.
Kiongozi wa Yemeni ni Rashad al-Alimi na huyo anapambana na Hourthi.
Hivyo mnapokuja kujadili mambo humu muwe mnajielimisha kwanza. Kujiita Bwana Utamu isiwe sababu ya kulambwalamwa hovyo mpaka unajisahau kutumia logic ndogo tu.