Yemen inalazimisha meli za Israel kuzunguka Afrika kupata hasara kubwa ya kiuchumi

🚨🇾🇪 BREAKING: Tukio jingine katika Bahari Nyekundu, wanajeshi wa Yemen walilenga meli chini ya bendera ya Liberia (inayomilikiwa na Ujerumani) kwa sababu ilipuuza maonyo yote ya Yemen. Moto ulizuka kwenye meli.

Meli nyingine inaonekana iliagizwa kubadili njia kuelekea Yemen.

Wanaambiwa geuza meli wanaleta ubishi.
 
Bahari ya Shamu sio bahari nyekundu.
Hivi huko shule mlikuwa mnaenda kushoma ujinga bwege mwenzako anakupa na like ngoja nikupe darsa.

Bahari ya Shamu (kwa KiingerezaRed Sea; kwa Kiarabu البحر الأحمر Baḥr al-Aḥmar, al-Baḥru l-’Aḥmar;
 
Tatizo matumizi ya akili kwenu ni kharam.
Nina uhakika akili unazo ila hauzitumii mdiyo maana unaleta nyuzi za ajabu tu humu.
Unavyoshangilia meli kubadilisha route, je umejiuliza ni mapato kiasi gani ambayo Egypt atapoteza kwa Meli zinazopita pale kwenda Israel kutotumia route ile?
UmejIuliza ni asilimia ngapi ya marine trade ya Israel inapita Red sea ukiringanisha na Mediterranian sea?
Biashara kati ya Israel na nchi zinazotegemea kupitisha mizigo kupitia red sea ipoje?
Unaposema wanapata hasara kuzunguka, ni hasara kiasi gani na umeipima vipi?
Au tu Like tu habari yako na kushangilia?

View attachment 2843102
Hapo ni baada ya mahandaki kuanza kujazwa maji, wameona isiwe tabu.
Hasara anayoipata misri ama yeyote sio hoja kwasasa
Kwasasa hoja nikwamba yemen haitakua njia ya kupeleka mahitaji kwa mazayuni ambao wakiishayapata wanatumia kuwaulia ndugu zao wa Palestine
Houthi kamatieni hapo hapo
 
Umeandika nini sasa mkuu?

Kwa kiswahili hiyo Red Sea au Bahr al-Ahmar ndio inaitwa Bahari ya Shamu na sio Bahari Nyekundu kama ulivyoandika wewe.
 
What are the differences between the Black Sea and the Red Sea?
 
Hahaha dah mkuu it seems you lack information. It's not my responsibility to enlighten you about Red sea and Black sea.

There are a million sources for you to dig in.
 
Tatizo matumizi ya akili kwenu ni kharam.
Nina uhakika akili unazo ila hauzitumii mdiyo maana unaleta nyuzi za ajabu tu humu.
Unavyoshangilia meli kubadilisha route, je umejiuliza ni mapato kiasi gani ambayo Egypt atapoteza kwa Meli zinazopita pale kwenda Israel kutotumia route ile?
UmejIuliza ni asilimia ngapi ya marine trade ya Israel inapita Red sea ukiringanisha na Mediterranian sea?
Biashara kati ya Israel na nchi zinazotegemea kupitisha mizigo kupitia red sea ipoje?
Unaposema wanapata hasara kuzunguka, ni hasara kiasi gani na umeipima vipi?
Au tu Like tu habari yako na kushangilia?

View attachment 2843102
Hapo ni baada ya mahandaki kuanza kujazwa maji, wameona isiwe tabu.
Usiwe punguani wewe Waisrel wenyewe wanasema wanapata hasara ebu wasome.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
The Director General of the Port of Eilat discussed the losses incurred by the port, attributing them to threats from Yemen that disrupted about 85% of port’s profits.

Changing the maritime navigation route will raise the prices of imported products by an estimated 3%, which would increase the financial burden on the Israelis by about ten and a half billion shekels, or about 3 billion dollars
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Wewe punguani unakataa unakuja hasara unalete ushabiki mandazi nimecheka hao ndiyo Hamas unatunga story mashoga wenzako ndiyo watakuamini wanakamata raia wanawatesha wanasema Hamas

Hamas ni hawa hapa.

View: https://x.com/aryjeay/status/1735621484096233485?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hasara anayoipata misri ama yeyote sio hoja kwasasa
Kwasasa hoja nikwamba yemen haitakua njia ya kupeleka mahitaji kwa mazayuni ambao wakiishayapata wanatumia kuwaulia ndugu zao wa Palestine
Houthi kamatieni hapo hapo
Aliyekudanganya kwamba zile meli zinapita Yemen ni nani?
Halafu Yemen haijawahi kutishia kushambulia hizo meli. Wanaoteka na kutishia mashambulizi ni hicho kikundi cha kigaidi cha Hourthi ambacho hata hakiundi serikali pamoja na kukamata maeneo mengi ya nchi.

Kiongozi wa Yemeni ni Rashad al-Alimi na huyo anapambana na Hourthi.
Hivyo mnapokuja kujadili mambo humu muwe mnajielimisha kwanza. Kujiita Bwana Utamu isiwe sababu ya kulambwalamwa hovyo mpaka unajisahau kutumia logic ndogo tu.
 
Usiwe punguani wewe Waisrel wenyewe wanasema wanapata hasara ebu wasome.

The Director General of the Port of Eilat discussed the losses incurred by the port, attributing them to threats from Yemen that disrupted about 85% of port’s profits.

Changing the maritime navigation route will raise the prices of imported products by an estimated 3%, which would increase the financial burden on the Israelis by about ten and a half billion shekels, or about 3 billion dollars

Wewe punguani unakataa unakuja hasara unalete ushabiki mandazi nimecheka hao ndiyo Hamas unatunga story mashoga wenzako ndiyo watakuamini wanakamata raia wanawatesha wanasema Hamas

Hamas ni hawa hapa.

View: https://x.com/aryjeay/status/1735621484096233485?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Weww kweli ni Zombie, halafu punguani. Umeleta hapa andiko kwamba wanasema faida imepungua, unaelekezwa unaanza kutekenyeka na kujizungusha kiuno.
 
Hahaha dah mkuu it seems you lack information. It's not my responsibility to enlighten you about Red sea and Black sea.

There are a million sources for you to dig in.
Nilikuwa nataka kukupa darsa kiduchu umeshindwa kujibu.

Black Sea is located between Europe and Asia. It is surrounded by six countries and it is very important to all of them because it provides them access to the Mediterranean waters, through the Bosporus straits.The Red Sea is located in Middle East. It is a rich and diverse ecosystem.
 
Hao Yemen wanajitia kidole wananusa wanapiga chafya.
Watapigwa siku moja tu walie km mbwa mwitu
Huyo wa kumpiga yupo mahututi hata mateka wake kashindwa kuwasaidia na wanamsubiri kwa hamu wampe kichapo kama cha 2006 alichopewa na hezbollah sema mjanja sasahivi hachokozi watu hovyohovyo kashtuka kuwa mtego
 
Weww kweli ni Zombie, halafu punguani. Umeleta hapa andiko kwamba wanasema faida imepungua, unaelekezwa unaanza kutekenyeka na kujizungusha kiuno.
Wewe pimbi kweli unapiga nini sasa hata hueleweki unaleta ushabiki mandazi tu uzi wangu unaijileza vizuri tu.
 
Weww pimbi kweli unapiga nini?
Mimi ni Pimbi kweli, vipi unataka niku-Pimbue?
Maana hata hauleweki unachotaka zaidi ya kujivunja vidole.
Kajifunze mamna ya kuleta mijadala kuichambua
 
Waisrael wa Makambako na Bonyokwa wengi hawafahamu mziki wa Yemen utasikia ohooo!! yemen masikini hawa wapewe kichapo, leo hii mabwana zao wanazunguka Africa
Yemen Taifa teule , God bless Yemen
 
We mwehu kweli unaelewa hata anaongea nini?
Hao waliokuandikia hapo ni kobazi wenzio uongo mtupu.
Hao Hamas washapukutishwa,hukohuko ndani ya mashimo yao km panya.
Ww tuwekee tafsiri ya hayo maneno ww unaye jua.
 
Safi sana,,,,Kuna clip nimeona mbabu wa kizayuni anasema kiumbe yeyote asiyekua Jew ni Mnyama sio mwanadam,mwingine akawa anamtemea mate sister nikachoka[emoji1373]hawa watu wanaabudu shetani sio Mungu huyu tunaemuabudu,,,sijawahi Ona viumbe katili kama hawa vitukuu vya NAZIS.
 
Aliyekudanganya kwamba zile meli zinapita Yemen ni nani?
Halafu Yemen haijawahi kutishia kushambulia hizo meli. Wanaoteka na kutishia mashambulizi ni hicho kikundi cha kigaidi cha Hourthi ambacho hata hakiundi serikali pamoja na kukamata maeneo mengi ya nchi.

Kiongozi wa Yemeni ni Rashad al-Alimi na huyo anapambana na Hourthi.
Hivyo mnapokuja kujadili mambo humu muwe mnajielimisha kwanza. Kujiita Bwana Utamu isiwe sababu ya kulambwalamwa hovyo mpaka unajisahau kutumia logic ndogo tu.
Hahahaha unajifariji matatizo yao ya ndani tunayajua ngoja nikuongezee huenda ulikuwa hujui.
Acha kudanga watu Wahouthi ni koo kubwa Yemen inayotoka katika mkoa wa Saada kaskazini magharibi mwa Yemen. karibu asilimia 35 ya wakazi wa Yemen. Ni koo hiyo ambao ni Mashia kiongozi wao Zaydi alitawala Yemen kwa miaka 1,000, kabla ya kupinduliwa mwaka 1962 eti unawaita kikundi cha ugaidi wewe kweli punguani

Wahouthi walitoka katika ngome yao ya kaskazini na kuchukua udhibiti wa Sana'a, mji mkuu wa Yemen. Kwa msaada wa Iran, waliteka sehemu kubwa ya magharibi mwa Yemen.

Wahouthi wanalenga kutawala Yemen yote na kuunga mkono harakati za nje dhidi ya Marekani, Israel na Saudi Arabia.

Kwa hiyo usiwachukulie poa kabisa.
 
Back
Top Bottom