Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

Mange hayupo serikalini Mkuu.
Ila Makonda ni mserikali na mccm yupo kwenye majukumu yake ya kila siku
Kinachokufanya useme Mange hayupo serikalini Kama Makonda ni hivyo vyeo rasmi vya Makonda.

Lakini tukizijadili siasa za Siasa “kisiasa, tunamkosa vipi Mange kwenye meza moja na Makonda?

Mcheza hizo kete anaweza kuwa tofauti? Na Kama ni yule yule madhumuni yake haswa ni Yapi?
 
Ninavyoona, ili nchi inyooke akina Makonda ndio wanaotakiwa, ni JPM anaekuja kimya kimya. Big up Makonda.
 
Na hii ndiyo sababu kuu ya mkwamo wa mabadiriko ya Katiba ama upatikanaji wa Katiba mpya ambayo ipo kwa ajili na mujibu wa wananchi wa Tanganyika.
 
Mambo mazito haya
 
Move na steps za Mange tsnhu kipindi cha JPM zipo dhahiri kuwa hayupo pamoja na serikali wala chama.

Ni jeshi la kujitegemea, tunaweza its Muasi ambaye yupo kwaajili yake yeye mwenyewe.

Tofauti na Makonda, move na steps za Makonda katika siasa za siasa zipo dhahiri kuwa anafanya majukumu yake ya kiserikali, kisiasa na kichama.

Uhusika aliojipa ndio unafanya chama na serikali kumtumia vile alivyo.

Mange yupo kwaajili yake yeye mwenyewe.

Ingawaje anaweza kukodishwa
 
Umesema kweli Mkorintho.
 
Watanzania sisi ni wajinga....tunajadili vitu vya hovyo.

Hivi kuna Rais Nchi hii alitukanwa zaidi ya Magufuli?

Kwanza Ukosoaji tangu lini ukawa matusi?
 
wewe kwa sasa umeacha kuandika makala za hekaya nini ndugu

naona ni kama umechezwa na machale ivi
 
Uko kwenye kundi la Wajinga Wafrika wasiopenda Kusoma.
Tanzania ina wajinga wengi sana

Hilo jina huwa nasikia ni mwandishi wa vitabu

Nilinunua kitabu chake kimoja niliishia page ya tatu in short ni mweupe sana
 
Huoni kwamba Hapo ndipo ulipo ufanano wa Mange na Makonda, tofauti ni mmoja ni hadharani wakati mwingine ni mafichoni?

Haiwezekani kwenye awamu ya tano mchezesha kete pia aliwachezesha kwa namna ile ile wanayochezeshwa sasa hivi?

Na master wa awamu ile ndio wa awamu hii?

Mmoja yuko upande wa Rais mwingine yuko dhidi ya Rais, ni Kama marudio ya awamu ya tano?!

Je hakuna pattern hapo ya mchezesha kete?

Anaendelea sasa kwasababu lengo lake halijatimia? Ama ndilo lengo tangu awamu hiyo ila sasa anaendelea na mchezo wake?
 
Ccm ipi ya kupoteza watu maboya? Magufuli alipiga propaganda mwenyewe miaka mitano, ilipofika wakati wa uchaguzi akaishia kuupora maana aliona alichoshindwa kuamini wakati wa kampeni. Usiwape sifa wasizokuwa nazo boss.
 
Ile ilikuwa aibu ya Dunia.

Alidhani Watanzania wanadanganyika na vile vifedha alikuwa anamwaga masokoni
 
Watanzania sisi ni wajinga....tunajadili vitu vya hovyo.

Hivi kuna Rais Nchi hii alitukanwa zaidi ya Magufuli?

Kwanza Ukosoaji tangu lini ukawa matusi?

Njia pekee ya kudili na Watu wenye matusi ni kuwapuuza.

Magufuli alipigana hata vita ambavyo hakutakiwa kupambana navyo.

Hakuna jibu shambulio baya kama kukaa kimya.
 
Njia pekee ya kudili na Watu wenye matusi ni kuwapuuza.

Magufuli alipigana hata vita ambavyo hakutakiwa kupambana navyo.

Hakuna jibu shambulio baya kama kukaa kimya.
Mwisho wa siku aka loose focus akaishia kufanya yasiyofaa.....na hayakuwa nna faida kwake na wanaomzunguka.
 
Ccm ipi ya kupoteza watu maboya? Magufuli alipiga propaganda mwenyewe miaka mitano, ilipofika wakati wa uchaguzi akaishia kuupora maana aliona alichoshindwa kuamini wakati wa kampeni. Usiwape sifa wasizokuwa nazo boss.

Magufuli hakuwahi kuwa mwanasiasa.
Kama angekuwa mwanasiasa huenda mpaka leo angekuwepo.

Siasa ndio hizi unazoziona hivi leo.
 
Hizi nguvu mbili ndiyo hatari kwa nchi hivi sasa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…