Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

Umenena vema
 
Huna ajenda na wewe ni CHAWA tu!! Shughulika kwanza na hao tunaowajua. Au na wewe waziri kakupa hela uje uzuge humu?
 
Yericko anapenda kukuza mambo sana,huyo abaki kulima bamia tuu
 
Yericko Nyerere ana hoja za msingi, msako mkali kuwatia nguvuni (purge) dhidi ya wasaliti ndani ya CCM walio mawaziri ili kuwangoa na wajulikane ni jambo lisilowezekana kutofanyika ili utawala wa awamu ya sita uweze kubaki hadi October 2025.

Watuhumiwa mawaziri walitakiwa kutumia njia ya kisiasa kwa kujiuzulu na kuonesha hadharani kisiasa hawamuingi mkono kiongozi wao au kuunda charma kipya kama cha Jacob Zuma kule South Africa au kujiunga na vyama vingine kwa uwazi kisiasa badala za njama za chini kwa chini kumuondoa kiongozi wao mkuu

Soma: Jacob Zuma alipotumia njia ya kisiasa isiyo ya kihaini, kukipinga chama tawala na uongozi wake wa ANC :
 
Ccm ipi ya kupoteza watu maboya? Magufuli alipiga propaganda mwenyewe miaka mitano, ilipofika wakati wa uchaguzi akaishia kuupora maana aliona alichoshindwa kuamini wakati wa kampeni. Usiwape sifa wasizokuwa nazo boss.
100%
 
100%
Leo ya kwetu Kesho ya kwetu
 
Yericko ana akili sana.
Hoja naiunga mkono
 
Mbona hapo anazungumzia mjadala kuhusu either kuapishwa kwa gwaride ama sivyo kwa sababu ya msiba kulikua na opinion mbili tofauti? (Sherehe msibani)

Halafu mjadala mwingine ukawa wa aapishwe kabla ama baada ya msiba nako kukawa na opinio mbili?

Ni wapi katika hayo mazungumzo amenena kwa kinywa chake General Mobeyo ya kwamba kuna “kundi lililokua linaweka mgomo Rais Samia hasiapishwe na kuwa Rais wa JMT no matter what?
 
Huyu yeriko Nyerere ni mjukuu wa Nyerere au ni mjukuu wa Nyerere rapa?
 
Hayo yalikua enzi za ujima,kipindi hicho watanzania wengi ni mbumbumbu.ccm wanatumia mabavu kutawala na kuweka wajinga wenzao kama makonda.mtu kazuiwa kwenda UK/USA kisa uuaji, Bado anarudishiwa vyeo.ni akili iyo??katiba mpya hawataki,why???
Kwaiyo kuzuiwa tu kwenda USA ndo ushahidi wa mauaji?
 
Makonda ndiye mtu pekee anayeweza msaidia Samia , ambaye amezungukwa na genge la Msoga ambalo halimtaki kwa Sasa

Samia awarudie kundi la Magufuli na kuachana na Msoga hili kundi la Magufuli ndilo la kumvusha
Avushwe ili akafanye nini? Wananchi tunataka mtu mwenye uwezo wa kukuza uchumi, kuwajibisha mafisadi, kulinda rasilimali zetu. Huyu tuliyenaye ameshindwa yote. Kwà maana hiyo,
hakuna haja ya kuendelea naye tena.
 
Mbona Chalamila ndiyo alitoka tuhuma nzito kuwa Kuna mawaziri wanasafiri kwenda ughaibuni kutafuta fedha za kugombea urais lakini hajaitwa na kamati ya Bunge,Why Makonda?
Chuki tu!
 
Sijui kati ya Yericko Nyerere na Lucas Mwashambwa nani anamuiga mwenzake kwa kuandika maelezo mareeeeefu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…