Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

Hivi huyu ndo yule mengele au?
 

Nitajie Chawa aliyejenga ghorofa la floor tatu.(3 storey building)
 
Nitajie Chawa aliyejenga ghorofa la floor tatu.(3 storey building)
Huyu jamaa sitopenda kumuongelea Sana .

Ila amesoma na Mjomba wangu VETA na kwenye miaka ya 2007-2008 mwanzoni walikuwa wanajifunza Sana lugha ya kiingereza


Walikuwa rafiki Sana na huyo uncle wangu baadae walipata vyeti kutoka India vikionesha wana Elimu ya masters .

Uncle wangu alikuwa na yeye Chadema huku akifanya Kazi katika miradi ya kufunga minara ya simu

Uncle yeye alikuwa Darasa la 7 baada ya kufeli ndo alikuja DSM around 2003 akasoma QT hakutoboa na mwaka 2006 akaenda VETA


So walikuwa Vijana fulani wajanja waongo ,waongo


Wote hawa kipindi cha kikwete walipata pesa nyingi Sana maana walikuwa wakipewa Tag na viongozi mbali mbali .

Yericko alikuwa na Kampuni yake ya kufunga wiring na yule uncle wangu alikuwa anecheza na Minara pamoja satellite.


Kumiliki ghorofa Kwa hela walizopata ni jambo la kawaida .
 
Bwana wee hamna kitu mbwembwe tu
Akili ni kile kinachobaki baada ya kuondoa elimu ya darasani na chuoni...Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Yericko yuko vizuri kichwani na vitabu vyake huwa navisoma sana tuu... kama unadhani ni kazi nyepesi andika walau kitabu kimoja na kikubalike upate tuzo kama yeye...
 
Tuzo za kutuomba Tumpigie kura, wewe unadhani bila sisi kumpigia kura Ananini
 
Tuzo za kutuomba Tumpigie kura, wewe unadhani bila sisi kumpigia kura Ananini
Sasa mbona wewe huandiki ili tukupigie kura? Pinganeni kwenye misimamo ya kisiasa na hata kidini lakini mpeni maua yake,acha roho ya kichawi. Kwanza watanzania nowadays kusoma hawapendi kabisa, ndiyo maana adui ujinga tunaye kitaa. Sasa mwenzio anaandika vitabu na anapigiwa kura anashinda kwa nini usimpe maua yake? Mbona akina mondi, harmonize wanapigiwa kura na kubeba tuzo?? Dogo punguza roho ya korosho aiseee...
 
Kwa kuweza kuidhibiti hela hadi kujenga ghorofa itoshe kusema Yericko ana akili. Sitakubali maisha yangu yote kuwa Yeriko kaishia VETA. Mtu wa VETA hawezi kuwa kama Yeriko. Endapo mwenyewe Yeriko atathibitisha kuwa ni kweli alisoma VETA ndo nitaamini. Wanasiasa wengi sio vilaza sema wameamua kutumia akili zao kifedhuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…