hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Ha ha ha haInatakiwa kumuulizia mkiwa mmekaa sehemu ambayo haina mawe au vitu vya kuumiza.
Si mlikuwa mnamsifia kuwa ni kamanda mtunzi wa vitabu mbobezi, sa'imekuweje tena?😁Kananuka rushwa ya Abdul na Mama.yake
Mwijaku😁Nitajie Chawa aliyejenga ghorofa la floor tatu.(3 storey building)
Hakuna namna mkuu.Personal attacks
Siasa ni kitu cha ovyo sanaHizi spana ni kali mno
Jasusi wa wapi kitabu chake kanadanganya wale wamam wakislamuwLimsindikiza nyererr safari ya UN kuwa ni masista washirika la Mary knoll..Mnamchafua jamaa. Yericko ni IT bingwa na Jasusi mbobevu.
Hana tafauti na steve nyerereMinikajua Yericko ni wa mkoa wa Mara kwenye ukoo wa Nyerere kumbe sio bwana!😀😁
Usitudanganye hapa. kinachombeba kuuza ni umaarufu na janjajanja tuwatu waliosoma hata vitabu vyao ukisoma unapata kitu kama akina joel Nanauka nk. Yule % kubwa ni story kasimuliwa ni sawa nawewe uandike kuhusu vita ya israel na parestina. nikufatilia tu huku na huko. sasa anakuletea kitabu cha Moscow Vita bado inapigwa kule na yeye yupo anachuma bamia kwake then uamini kilichoandikwa kina uhalisia 100%?Akili ni kile kinachobaki baada ya kuondoa elimu ya darasani na chuoni...Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Yericko yuko vizuri kichwani na vitabu vyake huwa navisoma sana tuu... kama unadhani ni kazi nyepesi andika walau kitabu kimoja na kikubalike upate tuzo kama yeye...
Nenda kahama kakutane na NDEGESELA asiyejua kusoma wala kuandika.Halafu uliza company zake na majumba yakeKwa kuweza kuidhibiti hela hadi kujenga ghorofa itoshe kusema Yericko ana akili. Sitakubali maisha yangu yote kuwa Yeriko kaishia VETA. Mtu wa VETA hawezi kuwa kama Yeriko. Endapo mwenyewe Yeriko atathibitisha kuwa ni kweli alisoma VETA ndo nitaamini. Wanasiasa wengi sio vilaza sema wameamua kutumia akili zao kifedhuli.
Kumbe!! ukiamua kubadili ubini unaweza fanya hivyo kila unapojisikia na sheria haikubani 🥸. Bas sawaNasikia kwa sasa anatarajia kujiongezea yericko nyerere Mbowe
We ukitaka uone rangi za wabongo uende angainst na walio wengi. We unadhani bashite atakuja kusahau?Siasa ni kitu cha ovyo sana
Aliukanakumbe wakumpuuza kam kaukana ubin wa ababa ake ni mtu wa ovyoi
Mtunzi wa vitabu mbobezi ni Mzee Mohamed SaidSi mlikuwa mnamsifia kuwa ni kamanda mtunzi wa vitabu mbobezi, sa'imekuweje tena?😁
Labda hukuwahi lakini makamanda wenzako kibao walimpa hizo sifa😁Mtunzi wa vitabu mbobezi ni Mzee Mohamed Said
Sikuwahi kumpa credit Yericko maana hata anavyoandika unaona kabisa ananakili kazi za wengine. Mimi huwa nasoma sana
Kwani wanaompigania Mbowe kwani nao siyo makamanda? Kikubwa ni kuwatambua kama.makamanda wa gizaLabda hukuwahi lakini makamanda wenzako kibao walimpa hizo sifa😁