Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

Screenshot_20241225_165902.jpg
 
Mnamchafua jamaa. Yericko ni IT bingwa na Jasusi mbobevu.
Jasusi wa wapi kitabu chake kanadanganya wale wamam wakislamuwLimsindikiza nyererr safari ya UN kuwa ni masista washirika la Mary knoll..
Hadi mzee Mohamed Said aliposahihisha na members wengine kumwambia ukweli kuwa alidanganya
 
Akili ni kile kinachobaki baada ya kuondoa elimu ya darasani na chuoni...Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Yericko yuko vizuri kichwani na vitabu vyake huwa navisoma sana tuu... kama unadhani ni kazi nyepesi andika walau kitabu kimoja na kikubalike upate tuzo kama yeye...
Usitudanganye hapa. kinachombeba kuuza ni umaarufu na janjajanja tuwatu waliosoma hata vitabu vyao ukisoma unapata kitu kama akina joel Nanauka nk. Yule % kubwa ni story kasimuliwa ni sawa nawewe uandike kuhusu vita ya israel na parestina. nikufatilia tu huku na huko. sasa anakuletea kitabu cha Moscow Vita bado inapigwa kule na yeye yupo anachuma bamia kwake then uamini kilichoandikwa kina uhalisia 100%?
 
Kwa kuweza kuidhibiti hela hadi kujenga ghorofa itoshe kusema Yericko ana akili. Sitakubali maisha yangu yote kuwa Yeriko kaishia VETA. Mtu wa VETA hawezi kuwa kama Yeriko. Endapo mwenyewe Yeriko atathibitisha kuwa ni kweli alisoma VETA ndo nitaamini. Wanasiasa wengi sio vilaza sema wameamua kutumia akili zao kifedhuli.
Nenda kahama kakutane na NDEGESELA asiyejua kusoma wala kuandika.Halafu uliza company zake na majumba yake
ndo ujue elimu na mali wala haviendani kabisa.
 
Hapo kwenye zero umenikumbusha stori za mjomba wangu.Bibi yangu alikuwa ananisimulia kuwa mjomba wako alipataga zero form four akasingizia matokeo hayajatoka 1993 hiyo.Sasa bwana bibi akaamua kwenda shule kufatilia kimya kimya.
Kufika akaulizwa unajua kusoma mama? .Akawajibu ndioo.Matokeo yalikuwa hivi 1.Kisw F 2.Engl F3.Hist F 4.Bios F 5.Maths F 6.Civ F. 7.Geo F.8 B/K F 9.Comm F.
 
Anatunga mavitabu ya uongo uongo mwiingi sana kabisa...Mwambieni kama Ni mwanasiasa aite Mkutano wa Hadhara pale Kigamboni tuone watu wangapi watafika...Yeriko ..Ntobi na Ndg yao Boni ndio wanaongoza kumtukana Lissu bila sababu kwa kweli hao watu wote hutumwa na Mbowe kumbe Mbowe ni dhaifu sana kabisa nilishasema huyu Mbowe sio Mpinzani...

Anatutishia ohh nina mali ndani na njeya nchi hivi jamani Mbowe ana Mali gani??? Disco lake pale Bilicanas alijitwalia nyumba ya umma kiujanja ujanja ikarudishwa Serikalini sasa anatuambia mali atueleze ni zipi hizo mali na analipa kofi kaisi gani?? Na ameajiri watu wangapi?? MBOWE chadema ile sio yako watu wote mko nao wamepigania ni mali ya umma mnavyosema ccm imegeuza nchi kama mali yao bimafsi wanauza kila kitu na wewe elewa iyo ni mali ya umma!!!
 
Back
Top Bottom