Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

Na bahati mbaya sana huo mfano unawahusu CCM kwa nyakati hizi.

Na hivi upo kwenye payrol, watakuzima usipokuwa na ulimi mzuri kwao
Nimeshasema nyumbu huwa wana tabia moja. Hii inazidi kujidhihirisha😁😁
 
Sipendagi sana kumjadiri mtu, napenda sana kujadiri tabia za mtu pamoja na HOJA. Mimi sio mwana chama wa Chadema though nimekua shabiki wake since NCCR ilivopoteza mwelekeo, nimewapigia KURA several times except mwaka 2000 cause hawakua na mgombea. Nimewafatilia both Lissu na Mbowe, nasikitika sana kusema hawa 2 wamekiua chama, siioni Chadema imara tena baada ya January 21, 2025; tamaa za hawa 2 za kutaka ukubwa wa chama, zimekisambaratisha chama, kwasasa wapenzi wa Chadema tumegawanyika, hatuna mtazamo mmoja tena. Bado nawalaumi wote 2 kwa upuuzi hu walio ufanya. Namlaum Mbowe kwa kutokuzisoma nyakati, namlaumu sana Lissu kwa ukigeu geu wake but again kwa kutojua kukagua aina ya maneno ya kusema; in leadership sio kila unacho kijua lazima kiende public. Nani asie jua kwamba ili umtie mimba mkeo au mwanamke no lazima uutumbukize utupu wako kwenye utupu wake? Je unaweza kutamka public kwamba ulimlomba mkeo na ndio maana akapafa mimba? Kwangu mimi hawa wote wamekosa busara; I wish apatikane mgombea mwingine independent na ashinde nafasi hiyo ya uenyekiti kuliko these 2. Ni kama Membe na Lowassa kwenye uchaguzi wa ccm mwaka 2015, thank God alipatikana ambaye hakutokana nao. Lissu na Mbowe mmekiua chama mlicho kijenga kwa jasho na damu, RIP Chadema.
 
Nenda kahama kakutane na NDEGESELA asiyejua kusoma wala kuandika.Halafu uliza company zake na majumba yake
ndo ujue elimu na mali wala haviendani kabisa.
Yericko ana vitu vingi sana vinavyomtambulisha kama msomi. Ni yeye pekee wa kuthibitisha kuhusu elimu yake. Ila mimi naamini jamaa kasoma.
 
Hivi ulishawahi kusoma vitabu vya huyu mtu? Mie awali nilidhani kuna kitu ndani kumbe porojo tu za kufikirika zisizo kuwa na maana yeyote, kwaufupi ni vipeperushi vya hadithi vilivyolazimishwa kuwa kitabu
 
Umemaliza yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…