Jamiitrailer
Member
- Oct 20, 2019
- 80
- 208
Yericko Nyerere katika andiko lake refu juzi ambalo lililenga kumjenga zaidi Mbowe katika namna ya kumshusha thamani Lissu ili kumpigia kampeni Mbowe katika nafasi ya uenyekiti Chdema alisema kitu kimoja ambacho wasomaji wengi hawajakigusia.
Katika jaribio lake lake la kutaka Lissu asiaminike katika kauli zake ,bwana Yericko alisema kauli iliyowahi kutolewa na Lissu mara kadhaa kuhusu kutaka kuhongwa na Abdul,mtoto wa rais Samia aliyeletwa kwake na mmoja wa watendaji wakubwa wa Chadema haina mashiko kwa sababu huyo mtendaji wa Chadema anayemsema Lissu kimsingi alimuonea huruma Lissu kila siku akidai stahiki za malipo ya matibabu yake....na kwa vile ana CONNECTION ya kibiashara na Abdul,akaona aitumie hiyo fursa ili amsaidie Lissue kulipwa.
Hapa sina nia ya kuuliza maswali kwamba huyo kiongozi wa Chadema walijuana lini na Abdul.
Nia yangu hapa ni kusema kwamba wananchi kama mimi tusio wanachama wa chama chochote cha siasa, walikiunga sana mkono chama cha Chadema katika miaka hiiya karibuni kwa fikra kwamba kitakuja kuwa MTATUZI KERO ZA WANANCHI katika namna ambayo haki zao za msingi zitatolewa kujali bila rushwa ,upendeleo au uwepo wa CONNECTIONS na watoto wa wakubwa.
Sasa kama Yericko ambaye amejinadi kama mwanachama wa Chadema,na huyo mwenyekiti wake wa sasa bwana Mbowe hawaoni hatari kumletea Lissu mtu ambaye wao wako connected naye ili asaidie malipo ya Lissu kinyume na taratibu...,wanadhani sisi wananchi wa kawaida tulioiamini Chdema kwamba ingesaidia kuondoa masuala ya undugu,kujuana na urafiki katika maeneo ya huduma serikalini, tutawaelewaje?
Ina maana kwamba Chadema ikiwa madarakani itafanya yaleyale ya ccm ya kupata huduma kwa kujuana kwanza?
Andiko la Yericko limeonesha ni mwepesi mno kichwani.